Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

You really caught fade with him?

Hard for me to believe.

JF is full of pussies.
 
Hapa tatizo ni umri...... adolescent ages......mwanaume kamili aliekomaa kuhakiki..... hapigani na mwanaume mwenzake.......

Anapigana na maisha yake

nyie ndo wake zenu wanashikwa matter col mbele yenu mnaishia kucheka na kujifanya hamtaki kupigana.
 
Wote mburula.

Siku nyingine utajiamini kwenda kwa vi push ups vyako, atakuja mtu na bastola anakupiga risasi moja tu unakufilia mbali.
Hahahaaa but why pull out the blicky if you’ve agreed to throw hands?

Back in my day we threw hands. No gunplay, knives, or homies jumping in.

It was just one on one.
 
Masikini weeee unafaaa ujiite Mjinga wa Muleba [emoji23]sio Nshomile na maisha yangu biashara yangu familia yangu sio mpuuzi kama wewe umedandia malori ya kutoka Kahama Isaka kuja Dar kupigana imbecile unapigana bila pesa heshima my foot hata Mandonga analipwa kwa kupigwa [emoji23]

Pathetic moron.

Siwezi kushindana na mwanamke aliye chini ya...!
Kukaa kahama ni mishe zangu, nimezaliwa dar kusoma primary mpka Udsm.

Ona ulivyo kuwa mjinga kukaa dar unaona fahari wakati hata nchi jirani hujawahi kufika,Mwambie mume wa dada ako akupe hata 1m uende ukasabahi hata kenya hapo.Usikubali kufa kama mbwa bila exposure na kula kwa kuombaomba kwa mume wa dada ako.

Idiot
 
Jf imekuwa na watoto wengi, waanzisha nyuzi na wachangiaji wote vijana wadogo.

Sasa huyu ana 30yrs ndo mkubwa saana huenda wachangiaji ni wadogo zaidi.

Zamani jf ilitumiwa na watu wazima, mashuhuri na wenye fikra nzito usingekutana na utoto unaoendelea hapa

Halafu umejiunga 2021 unakuja hapa eti JF ya watoto.

Unaweweseka ukiwa wap.
Kwahyo siku hizi kupigana ni watoto?

Nyie ndo mnakabwa kutwa na hamjitetei vibaka wanawashika matter col wakimaliza kuwakaba mnaishia kulialia tu.

MWANAUME NI MAMBO MATATU

UJASIRI, UMILIKI NA NGUVU/AKILI
 
Matusi ni kosa la jinai, ilitakiwa umkamate umpeleke polisi, hapo ungekuwa "responsible citizen", nyie ndio mnaosababisha serikali inang'ang'ania kufundisha uraia na kujitambua badala ya kufundisha sayansi na kilimo
Wamemalizana kiungwana hapo
 
Pathetic moron.

Siwezi kushindana na mwanamke aliye chini ya...!
Kukaa kahama ni mishe zangu, nimezaliwa dar kusoma primary mpka Udsm.

Ona ulivyo kuwa mjinga kukaa dar unaona fahari wakati hata nchi jirani hujawahi kufika,Mwambie mume wa dada ako akupe hata 1m uende ukasabahi hata kenya hapo.Usikubali kufa kama mbwa bila exposure na kula kwa kuombaomba kwa mume wa dada ako.

Idiot
Dah ningeweka picha zangu nchi nilizo tembea Ila sio mtu wa showoff za kijinga halafu sitaki ID yangu ijulikana maana najulikana na wengi kutokana na mishe zangu@Gily unamsikia mshamba wa Muleba 😁eti nchi jirani😂anyways nikutakie jioni njema Mandonga mtu kazi au Ibrahim Classic
 
Dah ningeweka picha zangu nchi nilizo tembea Ila sio mtu wa showoff za kijinga halafu sitaki ID yangu ijulikana maana najulikana na wengi kutokana na mishe zangu@Gily unamsikia mshamba wa Muleba [emoji16]eti nchi jirani[emoji23]anyways nikutakie jioni njema Mandonga mtu kazi au Ibrahim Classic

yani mtu kajiunga mwezi wa 4 mwaka huu eti anatuambia kuwa anajulikana na kwa mishe zake za kujiuuza[emoji23].

Dogo sikia kabishane na watoto wenzako Tuachie JF sisi wakongwe.

Huoni hapo verified Expert member.

We kweli ni douchbag
 
Mm mwenyewe nakusaka kichizi nshomile.. tukutane mbagala ground hapa zakiem nikutoe ngebe.
Nshomile wa Muleba

Haina noma mkuu.

Nimekuja kusalimia mke na watoto home Tabata chang’ombe kwa wiki nzima, Kabla sijageuka kahama nitakucheki tubadilishe mikono kadhaa na atakayeshinda aje atangazwe jf ila ukishaona mwenzako kakimbia hakuna kumkimbiza ili kumpiga zaidi.

Hata kukubali kusshindwa ni uanaume[mention]Sir Midabwada [/mention]
 
Nshomile wa Muleba siku ile uliniotea mbwa wewe nilikuwa nimetoka bar nilishtua kidogo, nataka rematch nilipe kisasi. Halafu hukunipiga ngumi bali ulitumia nyundo na niliiona ndio maana nikakimbia. Kabla ya kuonana tulipanga tukikutana tutapigana ngumi sasa nyundo ilikuwa ya kazi gani.
Safari hii tuweke na kiingilio acheni ujinga. Hiyo hela mjue. Ngoja nioganaizi mambo mkazichape Koko watu tuenjoi
 
Sijui, lakini hii miandiko miwili yote inafanana.

Ukizingatia jambo lililofanyika, ukalipima kwenye utimamu wa akili ya binadamu, unagundua ni fiction, na miandiko kufanana ndo unapigia kabisa mstari kua ni fiction.

Sio mbaya, amedramatize



Ukisoma between lines, hawa hawakupigana kwa sababu hizi ID mbili ni za mtu mmoja. Ni kwa macho ya kijasusi tu utagundua hili.
Ni drama maana hii ilishaletwa na ID nyingine, kisa hiki hiki cha kutukanana hadi PM then kupanga mapigano, ila kule anasema hawakupigana

Thread 'Niliwahi kukorofishana na member wa JamiiForums, ilipelekea mpaka tukapeana namba tukutane tuzichape mtu mbili tu' Niliwahi kukorofishana na member wa JamiiForums, ilipelekea mpaka tukapeana namba tukutane tuzichape mtu mbili tu
 
Jambo Jambo?

Hiki ni kisa cha kweli na kama mods wataniruhusu nitaweka PM screenshot za mimi na Jamaa jinsi tulivyochapana.

Jamaa anajiita “Medecin“ humu sijui alitokea wap ila nakumbuka alikuwa ananiqoute kwa matusi kweny nyuzi fulani na mimi bila hiyana nikawa namjibu mpka jamaa akahamia PM kwa matusi kedekede mpka tukapanga kuonana ili tuzichape na tukawekeana masharti ya kutokuenda na mtu pale tunapokutana.

Jamaa kweli alipanga location maeneo ya Tabata shule uwanjani na mida ya kukutana ilikuwa ni saa 12 jioni na tuzichape baada ya watu wa mazoezi n mpira kumaliza ratiba zao.

Ila kwa machale nilisogea pale saa 10 masaa mawili kabla ya kukutana ili nihakikishe kama hajabeba watu wengine na kunidhuru.

Kweli Jamaa mida ya saa 12:06 alisogea na kigari chake aina ya IST pearl white na nilimjua maana kila mtu alimwambia mwenzake atavaa vipi au ana usafiri gani ili iwe urahisi kwa kutambuana,Sasa yule Jamaa sijui Alijua pengine atakutana na mtu mwenye kitambi na miwani na boyaboya i don know ila ni kama alipigwa na butwaa baada ya kuniona na aliniona kirahisi maana nilisimama katikati ya uwanja namuangalia upande wa lami anakotokea.

Alivyofika akauliza wewe ndo nshomile nikamjibu ndio na haraka nikamwambia Hapa tunazichapa na atakayezidiwa anakimbia na hakuna kumkimbiza wala kufuatana wala polisi wala nini. Akajibu Poa.

Jamaa alikuwa kavaa traki nyeusi na jezi ya Arseno juu mimi nilikuwa nimevaa kadeti na shati la draft tu.

Kwa haraka haraka Tulianza kuzichapa hapohapo nilimtamdika ngumi 6 zikapenya 4 na 2 aliziblock huku yeye akirusha ngumi 3 na ikapenya moja.Jamaa akaanza kuhema sana kurusha ngumi 3 tu, nilimtime nikampa Upper cut 1 ambayo ilimpeleka chini na nikamsubiri ainuke na alipoinuka nili “swing”na Left Jab ya nguvu iliyompeleka chini mara ya 2 na kuanza kuvuja damu puani.

Mlinzi wa Shule ya Mtambani (jirani na tabat shule) alitoka anapiga mayowe kututaka tutoke hapo lasivyo atatuiitia wezi, wakati nahangaika kumjibu yule mlinzi jamaa akaanza kukimbia kuelekea lami kwenye gari lake alilopaki, nikijua anakimbia mazima kumbe kaenda kuchukua Sime kwenye gari na akaanza kuja kuelekea upande wangu kunikata, nilihamaki lakini nikajituliza ili nimzime nalo lasivyo anaweza kunidhuru.

nilimpokonya sime na mbinu ya Sei-Wong mi kwa umaridhawa naikalichukua sime bila yeye kujua namna nilivyolipora halafu nikamzima na Left swing back kick iliyompeleka chini na safar hii hakuinuka na alianza kulia kilio kikubwa akiomba msaada kwa watu.

Walinzi wakaitana wakaanza kuja upande wetu, nikaona jau hii nikachora mpka road na kudaka boda mpka njia panda chang'ombe.

Toka hapo [mention]Medecin [/mention] hajibu PM zangu, kama yumo akome na siku nyingine akirudia niko free kumkanda tena.

* Usiache kupiga pusha ups walau 100 na squats 50 kwa siku kwa mwanaume, siyo unakulakula na kuwa na likitambi la hovyo.

TUJIFUNZE KUHESHIMU WATU, KAMA HUWEZI UGOMVI TULIZANA.

AVOID EXPECTATIONS TO AVOID DISSAPOINTMENTS.

Nshomile,
kwa sasa Dar es Salaam.
Katafute jukwaa la watoto we nyumbu
 
Hahahaaa but why pull out the blicky if you’ve agreed to throw hands?

Back in my day we threw hands. No gunplay, knives, or homies jumping in.

It was just one on one.
Wanasema "All is fair in love and war"
 
Back
Top Bottom