Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Kuwa na id kongwe sio hoja, mimi bado kijana tu 30 years, nimeanza kutumia internet tangu 2006 huko, nimeijua jf tangu inaitwa jamboforum, nikajiunga 2011. Sina id zaidi ya hii yangu, mwanzo nilikuwa najiita Jembekillo nadhani unaujua uzi wangu wa kupeana likes, baadae nikabadili jina nikajiita Medecin ndio ninayoitumia sasa.Can not be
Angalia pattern yakupokezana..
Kinachoshangaza, ID moja kongwe miaka 12. Swali ni, huyu mtu alijiunga akiwa mdogo sanaa..[emoji848] kiasi kwamba bado hajamature mpaka leo au ndo wajinga nao huzeeka..[emoji848]
Huyo nshomile sijui simfahamu zaidi ya kukutana nae siku ile aliyoniotea kwa kunipiga nyundo mara nne kichwani na mara mbili mkononi. Kwa hiyo suala la multiple id ni hisia zenu kwamza siwezi kujinasibisha na huyo mshamba wa Kahama vijijini huko. Mimi nimezaliwa na kukulia mjini, natumia jf tangu wakati huo niko na miaka 14.