Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
- Thread starter
- #201
Katafute jukwaa la watoto we nyumbu
Kipapa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katafute jukwaa la watoto we nyumbu
Huyu ni member mmoja mwenye ID mbili. Nshomile wa Muleba now hayupo online dakika 7 sasa. Anaonekana online Medecin
Mnapigana na hamsemi.
Napenda kuona mtu mzima amevimba mdomo au anaongea mkono kaziba mdomo au anavaa miwani km Fundi chomelea.
Kwa hyo Arsenal wao popote pale wanaonewa, kuanzia timu hadi Mashabiki[emoji16]
Nafkiri ni Mwana Israel mwenzangu huyu.Yeye alikuja na IST wewe ulikuja na ile Range Rover 2022 au Ulikuja na X7? Vip Lambogini yako ishafika bandarini? Nataka kuja kukodisha Bentley yako kwenye harusi ya ndugu yangu ,vipi Aston Martin yako ile nyeusi bado anaitumia mkeo?
Kama alikupiga kweli..tafuta mwalimu ustaadhi..akuivishe mazoez ya shotokan miez minne mfululizo...ndio una rematch ..usirudishwe na mihemkoMkuu naomba uwe promoter wa hii rematch, nataka kumuonesha mimi ni nani, sina kitambi kama anavyojinadi ila alikuja na nyundo akanipiga nayo mara nne kichwani na mbili nilizipunch zikatua mkononi, hala nilipo nauguza majeraha nikipona nataka marudio na wewe uwe shuhuda na ikiwezekana ulete mrejesho jukwaani.
sijajua kama ana ID hiyo mkuu
Kinachosikitisha kituo Cha polisi na huo uwanja ni hatua kadhaa,,,hapo walipokua angepiga mluzi TU polisi wangefika.Matusi ni kosa la jinai, ilitakiwa umkamate umpeleke polisi, hapo ungekuwa "responsible citizen", nyie ndio mnaosababisha serikali inang'ang'ania kufundisha uraia na kujitambua badala ya kufundisha sayansi na kilimo
Nyegeraa waitu!!!Okebwa kumtela entwe
Kaka hata nikifanya mazoezi mwaka mzima kama ataitumia ile nyundo aliyonipiga nayo siku ile bado ataendelea kushinda, me nachotaka turudie pambano bila silaha, mbona namkalisha mapema tu.Kama alikupiga kweli..tafuta mwalimu ustaadhi..akuivishe mazoez ya shotokan miez minne mfululizo...ndio una rematch ..usirudishwe na mihemko
Daah,Tabata shule na vitongoji vyake unidanganyi popote.Joined 2016.
Alokuambia naongelea umaarufu kunuka wa JF nani usokuwa na faida
?? Halafu mie sio mgeni JF kwa taarifa yako niko kitambo kwa ID nyingine nikafungua hii mpya,wenye kujiuza Dada zako wa Muleba sio mie[emoji23]halafu Waswahili wanasema ukibishana na mpumbavu mpumbavu utakuwa wewe, mjinga mpuuze, mbwa ni mbwa hata akivishwa dhahabu anabaki kuwa mbwa watasema tu yule mbwa kavaa dhahabu [emoji23]
Daah,Tabata shule na vitongoji vyake unidanganyi popote.
Ukifika Tena hapo Tabata shuleni unistue.View attachment 2644914
mzee nshomile huyu dada nilishawah kukutajia kuwa ni watu naowafahamu rejea nilikuambiaPathetic moron.
Siwezi kushindana na mwanamke aliye chini ya...!
Kukaa kahama ni mishe zangu, nimezaliwa dar kusoma primary mpka Udsm.
Ona ulivyo kuwa mjinga kukaa dar unaona fahari wakati hata nchi jirani hujawahi kufika,Mwambie mume wa dada ako akupe hata 1m uende ukasabahi hata kenya hapo.Usikubali kufa kama mbwa bila exposure na kula kwa kuombaomba kwa mume wa dada ako.
Idiot
tag haikuja haina haja ya kubishana nae sis hakujuiDah ningeweka picha zangu nchi nilizo tembea Ila sio mtu wa showoff za kijinga halafu sitaki ID yangu ijulikana maana najulikana na wengi kutokana na mishe zangu@Gily unamsikia mshamba wa Muleba 😁eti nchi jirani😂anyways nikutakie jioni njema Mandonga mtu kazi au Ibrahim Classic