Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

yani mtu kajiunga mwezi wa 4 mwaka huu eti anatuambia kuwa anajulikana na kwa mishe zake za kujiuuza[emoji23].

Dogo sikia kabishane na watoto wenzako Tuachie JF sisi wakongwe.

Huoni hapo verified Expert member.

We kweli ni douchbag
dogo ? dah aisee kweli uko gizani.

oya mwanangu umagombana hadi na pisi za kwenda aisee badala ya kutupia mistari kumtongoza huyu muhabesh unasutana nae🤣🤣🤣

aiseee kweli ishi uone mengi...
 
dogo ? dah aisee kweli uko gizani.

oya mwanangu umagombana hadi na pisi za kwenda aisee badala ya kutupia mistari kumtongoza huyu muhabesh unasutana nae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

aiseee kweli ishi uone mengi...

hapa nilipo hakuna rangi ya Papa sijawahi kuona mpka nimekula wazambia botswana zimbabwe malawi nakdhalika kweny kuzunguka kwangu.

Huwa sinyenyekei Papa kiasi hiko.

Huyu manzi ni Mjinga sana
 
Oya naomba pambano ila tukapiganie baharini unachukua mashahidi zako wawili na mimi wawili hela ya boti natoa mimi tunaenda kuleee zinapopaki meli kubwa alafu tunapiga kachu kwanza uwanja utakua kwenye maji kama huwezi elea imekula kwako. Unasemaje mkuu ni kufurahisha nafsi na mazoezi kidogo.
Jambo Jambo?

Hiki ni kisa cha kweli na kama mods wataniruhusu nitaweka PM screenshot za mimi na Jamaa jinsi tulivyochapana.

Jamaa anajiita “Medecin“ humu sijui alitokea wap ila nakumbuka alikuwa ananiqoute kwa matusi kweny nyuzi fulani na mimi bila hiyana nikawa namjibu mpka jamaa akahamia PM kwa matusi kedekede mpka tukapanga kuonana ili tuzichape na tukawekeana masharti ya kutokuenda na mtu pale tunapokutana.

Jamaa kweli alipanga location maeneo ya Tabata shule uwanjani na mida ya kukutana ilikuwa ni saa 12 jioni na tuzichape baada ya watu wa mazoezi n mpira kumaliza ratiba zao.

Ila kwa machale nilisogea pale saa 10 masaa mawili kabla ya kukutana ili nihakikishe kama hajabeba watu wengine na kunidhuru.

Kweli Jamaa mida ya saa 12:06 alisogea na kigari chake aina ya IST pearl white na nilimjua maana kila mtu alimwambia mwenzake atavaa vipi au ana usafiri gani ili iwe urahisi kwa kutambuana,Sasa yule Jamaa sijui Alijua pengine atakutana na mtu mwenye kitambi na miwani na boyaboya i don know ila ni kama alipigwa na butwaa baada ya kuniona na aliniona kirahisi maana nilisimama katikati ya uwanja namuangalia upande wa lami anakotokea.

Alivyofika akauliza wewe ndo nshomile nikamjibu ndio na haraka nikamwambia Hapa tunazichapa na atakayezidiwa anakimbia na hakuna kumkimbiza wala kufuatana wala polisi wala nini. Akajibu Poa.

Jamaa alikuwa kavaa traki nyeusi na jezi ya Arseno juu mimi nilikuwa nimevaa kadeti na shati la draft tu.

Kwa haraka haraka Tulianza kuzichapa hapohapo nilimtamdika ngumi 6 zikapenya 4 na 2 aliziblock huku yeye akirusha ngumi 3 na ikapenya moja.Jamaa akaanza kuhema sana kurusha ngumi 3 tu, nilimtime nikampa Upper cut 1 ambayo ilimpeleka chini na nikamsubiri ainuke na alipoinuka nili “swing”na Left Jab ya nguvu iliyompeleka chini mara ya 2 na kuanza kuvuja damu puani.

Mlinzi wa Shule ya Mtambani (jirani na tabat shule) alitoka anapiga mayowe kututaka tutoke hapo lasivyo atatuiitia wezi, wakati nahangaika kumjibu yule mlinzi jamaa akaanza kukimbia kuelekea lami kwenye gari lake alilopaki, nikijua anakimbia mazima kumbe kaenda kuchukua Sime kwenye gari na akaanza kuja kuelekea upande wangu kunikata, nilihamaki lakini nikajituliza ili nimzime nalo lasivyo anaweza kunidhuru.

nilimpokonya sime na mbinu ya Sei-Wong mi kwa umaridhawa naikalichukua sime bila yeye kujua namna nilivyolipora halafu nikamzima na Left swing back kick iliyompeleka chini na safar hii hakuinuka na alianza kulia kilio kikubwa akiomba msaada kwa watu.

Walinzi wakaitana wakaanza kuja upande wetu, nikaona jau hii nikachora mpka road na kudaka boda mpka njia panda chang'ombe.

Toka hapo [mention]Medecin [/mention] hajibu PM zangu, kama yumo akome na siku nyingine akirudia niko free kumkanda tena.

* Usiache kupiga pusha ups walau 100 na squats 50 kwa siku kwa mwanaume, siyo unakulakula na kuwa na likitambi la hovyo.

TUJIFUNZE KUHESHIMU WATU, KAMA HUWEZI UGOMVI TULIZANA.

AVOID EXPECTATIONS TO AVOID DISSAPOINTMENTS.

Nshomile,
kwa sasa Dar es Salaam.
 
mapigano gani.

Mimi nimechanganya
1.Nina basics za kick boxing hasa swing kicks
2.nina basics za boxing
3.Karate Dann 3

Nina uzito wa kilo 85 wewe je?

Pambano liendane na uzito sitaki kuua[emoji23]
 
Upuuzi
 
Huwezi niua mkuu mimi nina kilo 76 lakini umeelewa uwanja ni baharini kwenye maji mm nina uzoefu wa kuogelea kusukuma ngumi kwenye maji kumtumia adui kama boya la kuelea sasa jipange nisije nikakuua kwenye maji😂😂😂😂
 
Huwezi niua mkuu mimi nina kilo 76 lakini umeelewa uwanja ni baharini kwenye maji mm nina uzoefu wa kuogelea kusukuma ngumi kwenye maji kumtumia adui kama boya la kuelea sasa jipange nisije nikakuua kwenye maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenye maji utaniweza, Panga kwingine mkuu siwez kuogolea kiasi hiko
 
Jamani msifike huko kikubwa kusameheana na kusonga mbele!
Huo ugomvi hakuna kusameheana mpaka ifanyike rematch.

Ugomvi wameuleta huku maana yake ushakuwa wetu sote. Hii lazima twende rematch tupate mshindi kihalali.

Ngoja waendelee kuzichapa kwenye komenti kabla ya kwenda uwanjani kiukweli kweli.

Mashabiki tujikusanye kuhipe hili pambano kabambe sana hapa jeiefu.

#UGOMVI #NIWETU #SOTE #PAMBANO #LIRUDIWE

Cc: Nshomile wa Muleba Medecin
 
mimi sina shida mkuu.

Nikweli nilimtamdika kisawasawa ila mktaka safari hii muwepo sawa sina shda
 
Huo ugomvi hakuna kusameheana mpaka ifanyike rematch.

Ugomvi wameuleta huku maana yake ushakuwa wetu sote. Hii lazima twende rematch tupate mshindi kihalali.

Ngoja waendelee kuzichapa kwenye komenti kabla ya kwenda uwanjani kiukweli kweli.

Mashabiki tujikusanye kuhipe hili pambano kabambe sana hapa jeiefu.

#UGOMVI #NIWETU #SOTE #PAMBANO #LIRUDIWE

Cc: Nshomile wa Muleba Medecin
Na mimi ndicho ninachokitaka mkuu, nataka rematch ili nimuonyeshe kuwa aliniotea na nyundo ile siku. Andaa pambano siku yoyote akiwa free me napigana.
 
Wasioijua tabata shule watakuamin ...lakin hyo shule imepakana na kituo Cha polisi kiasi kwamba mda wote polisi wapo hapo uwanjani ni ngumu kutokea ugomvi eneo Hilo haswa kwa mda uliosema ..acha kudanganya watu
Ni kweli ila polisi hawanaga habari na hapo uwanjan, na pia jamaa walikua km wanafanya mazoez tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom