Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

Likapigiwe the super dome tujue mbabe ni yupi
 
Kwani haiwezekani id mbili zinakitumia msg? Ushahidi wako ni dhaifu mno
Naomba tuonane bro! Hata leo.

Sasa hapo siwez tena kukuaminisha kuwa nilimbonda jamaa na sina id hiyo.

Angalia nyuzi zake anazopost nanuangalie zangu kama kuna mfanano wa mwandiko
 
Vijana ugomvi siyo sifa, pambaneni humu humu JF kwa hoja. Ya hapa myaache hapa hapa.

Katika kupigana lolote linaweza kutokea, binadam tunatembea na umauti, unaweza hata usimpige mtu, ile mmeshikana tu na wakati wake umefika kadondoka kakata pumzi, unaenda kunyea debe ujana wako wote.

Ushetani wa hapa muuwache hapa hapa.

Mimi nawashauri siku nyingine mkitaka kupigana tangazeni hapa JF tuwatafutie promoter wa mandonga, mkiumizana mpate japo vijisenti vya kufutia machozi.
 
Ngumi kama nyundo au nyundo nyundo
 

Sawa mkuu. Tumekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…