Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

Mkuu kupigana mpka kuwe na motive halafu si muda wote ntashinda pengine unaweza kunidunda
Mm sio mgomvi mara ya mwisho kugombana ni miaka 20 iliyo pita nikiwa A_Level
Kwenye mpira jamaa alikua ananipiga rafu namwambia ananiomba msamaha nikipata mpira ananipiga kiatu alaf ananiomba msamaha aisee nikachoka NDIO nikageuka MikevTyson πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“πŸ€“
 

sasa huyu medicin alizidi.

hata kama ingekuwa wewe ungetaka kupigana
 
haina noma.

Ila atakayepigwa anaruhusiwa kukimbia ila naruhusiwa nibebe nyundo yangu wewe huruhusiwi
Ile nyundo kama ndio amekupa babu yako kujeruhi watu basi safari hii kwenye rematch kutakuwa na mashuhuda na nitawaambia wakukague kama unayo waichukue halafu tuone utaringia nini.
 
Yaani Mimi sikubali mwana JF mwenzangu akandwe, lazima nimtetee.

naomba kuingilia kati huu ugomvi nimsaidie bwana medecin....

tukutane wapi tuzichape mkuu, najua huniwezi hata kwa dawa. πŸ˜„πŸ€ πŸ€ 
 
Yaani Mimi sikubali mwana JF mwenzangu akandwe, lazima nimtetee.

naomba kuingilia kati huu ugomvi nimsaidie bwana medecin....

tukutane wapi tuzichape mkuu, najua huniwezi hata kwa dawa. [emoji1][emoji1783][emoji1783]
Mkuu asante kwa kunisaidia ila usikubali kupigana nae akiwa na hiyo nyundo.
 
Ilikuwa ni nyundo kweli mkuu? Au ngumi nzito? πŸ˜…πŸ˜…
 
Lile sime lilikuwa chini ya seat ya gari yangu, wakati naondoka baada ya kunipiga nyundo akawa ananifuata yeye na wenzie wanne wameshika fimbo, nyuma yao sijui alimkodi yule babu mlinzi kazi yake ikawa kupiga yowe tu ooh wanauwana! wanauwana! Walipokaribia nilipo kwenye gari ndio nikachomoa sime kuwatisha na kweli wakaogopa wakasimama, mimi huyo nikazama kwenye gari nikaondoka.
 
Ni nyundo kaka we muuize huyo mtu kama alikuja na nyundoau hakuja nayo. Halafu alishawapanga watu wake ili akizidiwa waje kumsaidia.

Sikuwa na nyundo wewe.

Ulileta zarau sana wewe PM.

Kama unabisha turudie pambano na naomba wakina [mention]Analyse [/mention] wawepo kama mashahidi ili waone kama nina nyundo au ngumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…