Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

Mkuu naomba wewe uwe shahidi katika pambano la pili, huyo kinyago aseme tukutane popote pale Dar then wewe uje kuwasimulia watu nini kitatokea, wanaodhani hapa ni mtu mmoja ndio watajua ukweli, kikubwa asije akabeba tena nyundo yake ile.
niko radhi kuliandaa freely ila lazim mkubali kusign
 
Mkuu naomba wewe uwe shahidi katika pambano la pili, huyo kinyago aseme tukutane popote pale Dar then wewe uje kuwasimulia watu nini kitatokea, wanaodhani hapa ni mtu mmoja ndio watajua ukweli, kikubwa asije akabeba tena nyundo yake ile.
Huna kazi za kufanya eeeeh??
 
niko radhi kuliandaa freely ila lazim mkubali kusign
Mkuu andaa mkataba huo me nasign mapema tu, nina hamu sana na jamaa huyo nilipe kisasi, ila mkataba useme wazi kuwa tunaenda kupigana kwa mtindo upi kama ni boxing, kick boxing au mixer na silaha maana siku ile tulikubaliana tunapingana ngumi ila yeye akavunja sheria akanipiga na nyundo.
 
unaweza kuta hapo ulipo umekaa kwa dada ako aliyeolewa unatype mikono juu unasubiri dada ako ajunjwe ili na mume wa dada ako aiombe aito.mbe na yako
Masikini weeee unafaaa ujiite Mjinga wa Muleba πŸ˜‚sio Nshomile na maisha yangu biashara yangu familia yangu sio mpuuzi kama wewe umedandia malori ya kutoka Kahama Isaka kuja Dar kupigana imbecile unapigana bila pesa heshima my foot hata Mandonga analipwa kwa kupigwa πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Dah si mchezo
 
Huna kazi za kufanya eeeeh??
Kazi ya kufanya ninayo, unadhani hii ist niliyoenda nayo tabata kupigana ilikuwa ya shemeji? Mimi nachotaka kulinda heshima yangu, sitaki mtu anidharau hasa asiyenijua. Huu ujumbe uwafikie wote humu wanaowadharau watu kisa wako nyuma ya keyboard, sisi wengine ugomvi hauishii jukwaani, nakutafuta na nakupiga ndoga za kutosha kulinda heshima yangu.
 
Kumbe anachangamsha Kijiwe tu [emoji28][emoji119]
Jf imekuwa na watoto wengi, waanzisha nyuzi na wachangiaji wote vijana wadogo.

Sasa huyu ana 30yrs ndo mkubwa saana huenda wachangiaji ni wadogo zaidi.

Zamani jf ilitumiwa na watu wazima, mashuhuri na wenye fikra nzito usingekutana na utoto unaoendelea hapa
 
Nime note kitu kimoja. Huyu ni mtu mmoja ana ID Mbili...........


ID Moja ikiwa inajibu hoja flan kwa maelezo mengi, ID nyingine ina stop. ID hizo mbili hazifanyi kaz Kwa mkupuo
Zote zina tusi moja, zote zina tabia ya kuandika maelezo marefu na zote hazina hasira kwa kilichotokea ni as if walikutana kushindana kuogelea

Upuuzi
 
Embu achana na ujinga endelea na maisha yako, heshima pesa tu.
 
Ni kweli, naona ukuaji wa teknolojia na urahisi wake ndiyo umefanya Vijana wengi kuwa na access na mitandao.
 
Kwa hiyo kwa umri wangu huu wa 30 yrs, unahisi umenizidi nini zaidi ya uzee. Umeanza kutumia jf mwaka juzi baada ya kununua tecno ya touch wakati mimi nimeanza kutumia internet wakati huo tunaingia mitandao ya the grid, mig n.k.

Hapa kwangu ukitaka madini utapata na ukitaka ngumi pia utapigwa vilevile inategemea umekuja vipi, ukijileta kama mtoa mada nakukalisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…