Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Sawa mm nimesoma Aviation, sijaona takataka yeyote ya wavaa kobaz popote kwenye materials zangu. Aya niletee mvaa kobaz ambae ana mchango wowt uku
As early as the 9 th century A.D., a Muslim scholar named 'Abbas Ibn Firnas pioneered the study of aviation. Ibn Firnas invented a gliding device which managed to be airborne for a short duration of time. Although he was badly injured during a bad landing, he successfully pioneered the theory on the structure of ornithopter which is a vital component for aircraft stability during landing. This article unveils the early history of aviation beginning from the early period of Islamic golden age to the 20 th century A.D. that has witnessed Western effort in introducing machine in aircraft. This research employs a qualitative method via library research and document analysis. It argues that the invention of ornithopter by 'Abbas Ibn Firnas has inspired the West to further develop the aviation technology thus influenced the modern method of flying. Therefore, naturally 'Abbas Ibn Firnas should be recognised as 'the father of the aviation field' for his invaluable contribution to the contemporary field of aviation technology of the world.
SIJUI KAMA UTAKUWA NA JIBU
 
Hana jibu
 
1.
Bila Algebra mzungu asimgeona ndani.
Mpaka leo mzungu anatumia namba za kiarabu 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,hana namba zake.
2.Mpaka leo mpaka leo mzungu anatumia neno alphabet(la kiarabu na la waislamu)
3.Mpaka leo mzungu hana alphabet zake,anatumia za kilatini,wakati muarabu ana alphabet zake.
 
Simple logic tu, Inakuaje Allah MKAMILIFU aumbe kitu Kidhaifu??? Yan how comes a well fixed modern machine produces low quality products?
Hivi akili yako ni ndogo kiasi hicho ama unajizima data tu?
 
Kumbe wew bado kabsa yan . Ushubwada wa theories mm SIUTAKI nielewe nimesema wapi mvaa kobaz ameconvert findings into useful product?. Mfano Mmarekan kaja na boeing (useful product) Europeans (Airbus) etc, sasa njoo katika format hii maana leo huwez kusema et midege ya Boeing au Airbus mvaa kobaz anahusika utafungwa wew. Come with complete useful products ambazo zimetokana na findings sio hayo matakataka
 
Kumbe wew bado kabsa yan . Ushubwada wa theories mm SIUTAKI nielewe nimesema wapi mvaa kobaz ameconvert findings into useful product?. Mfano Mmarekan kaja na boeing (useful product) Europeans (Airbus) etc, sasa njoo katika format hii maana leo huwez kusema et midege ya Boeing au Airbus mvaa kobaz anahusika utafungwa wew. Come with complete useful products ambazo zimetokana na findings sio hayo matakataka y
Hivi akili yako ni ndogo kiasi hicho ama unajizima data tu?
Sijui
 
1 Sio udaktari tu,hata namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,ni namba za kiarabu,mzungu hana namba zake .
2.Neno alphabet ni neno la kiarabu,mzungu na mwingine yoyote duniani,atakayesoma,akianza shule anafundishwa alphabet(neno la kiarabu na la waislamu).hata wewe umefaidika kwa namba za kiarabu 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,na neno alphabet.
3.Mwarabu ana alphabet zake,mzungu anatumia za kilatini
4.Hisabati nzima mzungu anatumia namba za kiarabu,anatumia algebra(muarabu,muislamu)anatumia Chemesrty(!kemia)neno la kiarabu.Alkaline,Alkene,alcohol,(!maneno ya kiarabu)
 
Acha kujidanganya, wakifunga hizo Hospital watu wengi sana watakufa kwa kukosa huduma, fanyeni research kwanza, ni kam mnapewa huduma ya bure tuu
Mkuu, watazifunga kwa sababu zipi?? Hospitali za makanisa wakati zinajengwa hazikujengwa ili zitegemee mikataba ya serikali / ubia, wateja wangepatikana tu. Serikali ikaona iongeze nguvu kwa kuweka wafanyakazi na kutoa madawa. Sasa unaposema zitafungwa,zitafungwa kwa sababu ipi?? Mimi ninashauri serikali wajenge hospitali zao kwa kutoa fedha hiyo wanayoilipa kwenye mkataba wa MoU, hakuna hospitali ya kanisa itayokufa..mbona hizo za Aga Khan hazipati mgao na hazijafa na ndio hospitali ghali kuliko zote nyingine?
 
Hana jibu
Kweli nyie bure kabsa, mwenzako anaongelea yale matakataka ya zamaniii GLIDERS yale ata wachina waliyatengeneza sana. Mm naongelea ENGINE POWERED AIRCRAFTS ndio maana nikakupa mfn wa boeings au airbus ni mvaa kobaz yupi anaingia hapo???. Kwasababu leo ukitaka kwenda kuhiji utapanda hayo maGliders???
 
Mm uko sina shida kaka, shida iko hapa when did they convert those findings into useful products?? kutumia maneno au vitu vya lugha nyingne sio shida, shida ni wapi wavaa kobaz wamevitumia hvyo kudominate the world of technology?????
 
Kigiriki na Kilatini siku hizi vimekua Kiarabu?
Yaani nyie mkiona neno lina herfu AL' , mnatimua mbio kuambiana hiyo imetokana na KiarabuπŸ˜€. Shwaini kabisa.
Nenda kajifunza, siyo unamezeshwa tu maandiko ya Ustaadhi Donge halafu unakuja kutunza utumbo huku JF ili uje ku mislead wengine.
 
Mm uko sina shida kaka, shida iko hapa when did they convert those findings into useful products?? kutumia maneno au vitu vya lugha nyingne sio shida, shida ni wapi wavaa kobaz wamevitumia hvyo kudominate the world of technology?????
Kikapu huyo, achana naye hawezi kukupa jibu. Vyote alivyoviandika hapo ni shida tupu, ni theories walizotengenezewa ili kuwatoa unyonge tu. Ni wanyonge tu huwa wanakumbatia hizo story ili wajione na wao ni watu.
Unapokua unaongea nao uwe unatambua unaongea na viumbe wanaohitaji kufarijiwa, sababu wanajiona ni wanyonge sana mbele ya wengine ndiyo maana hasira ni njenje na hata wakuja kwako wanakuwekea masharti uishi watakavyo wao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hawa ndugu zangu katika iman hawanisumbui kabsa najua ni Wadhaifu sana sana! Yan mfano mtu unamwuliza wapi hawa wavaa kobaz wametumia findings kudominate the world's technology anakuletea ushwabwada wa AD uko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tumeanza kutambiana kwenye 0123456789 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ ila waTZ SISI HAPA.
 
Pia nimeona unaingiza na mambo ya dini uku. Hapa hatujadili mambo ya imani au dini mm nakufa na mwarabu kwa upande wa technologia na sio dini yake!!
 
Akikuelewa niite mbwa. Hawa ndugu zetu shida yao ni kuishi kwa hisia na sio uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…