Kwa kweli, baada ya hili suala la DPW, tunataka na Mkataba usio na Kikomo kati ya Serikali na Kanisa uwekwe hadharani nao tuujadili na tukubaliane juu ya vifungu vyake kama bado kwa zama hizi tunautaka ama tuachane nao. MOU kati ya Kanisa na Serikali, pia hatuutaki kwa sababu serikali ndio inawajibu wa kutoa huduma za jamii kwa watu wake ikiwemo afya na elimu. Hatuwezi kukubali kuendelea kutoa bilions of Shilings kwa kanisa endlessly wakati kila siku serikali imekuwa ikijenga hosp na vituo vya afya kote nchini. Je hizo zinazolipiwa kanisani ni kwa nini? Mikataba yote ya janja janja ipigwe chini.