Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Unajikiaje kuwa mtu mzima, halafu unamiliki akili za kitoto?
Jibu hoja.

Kiufupi TEC wanasema maaskofu wakatoliki wanapinga mkataba huo wa Tanzania na Dubai na wanataka sauti ya wengi isikilizwe wakiwa na maana asilimia kubwa ya Watanzania wanaungana na kauli hiyo ya TEC. Mkataba na Serikali wananchi gani walishirikishwa?
 
Waislamu waislamu waislamu
 
Mkataba wa Roliondo ulishilikishwa., Meremeta ulishilikiswa, IPTL na scrow ulishilikiswa., hata huu wa waarabu usingevuja ungejuwa.

Mkataba wa Roliondo ulishilikishwa., Meremeta ulishilikiswa, IPTL na Escrow ulishilikiswa., hata huu wa waarabu usingevuja ungejuwa.
Wambie Maskofu
 
Wengi wasikilizwe maana yake TEC wamefanya research wakagundua wengi wapo upande upi, ndio wakaja na maneno; "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu"

Wewe mswahili mfia dini na wenzako naona mnalowesha server tu kwa machozi yenu.
 
Walichoshindwa kufanya wakati wa Ukoloni wamefanikiwa kwa urahisi sana kwenye Ukoloni Mamboleo...; Watu mnagombana kwa Imani zenu zilizokuja na Merikebu; Hamuangalii ni nini kinafanyika bali ni nani au kwa mkono wa nani anakifanya !!!

Kweli Divide and Rule.....
 
Ajabu hawa jamaa tec wafungue chama cha siasa hawana jipya, tunawajua ni branch ya chadema watulie dawa iwaingie
 
Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
kosa la nan hapo serikali au TEC , je wakukuambia ww ni serikali au TEC ? MBONA UNAONESHA UTOTO WA HALI YA JUU , BADO UNATHIBITISHA MADHAIFU YA SERIKALI YAKO HLF WKT HUO HUO UNAIUNGA MKONO , MIKUBWA JINGA NI MING SN SIKU HZ
 
TEC wametoa tamko kuhusu mkataba wenu wa kimangungo.

Na nyinyi kama wivu unataka kuwaua kwa sababu tu serikali imeingia ubia na taasisi za dini kwa lengo la kuboresha huduma za afya kote nchini, nendeni mkawaambie Bakwata nao waje na tamko la kupinga! Na siyo kulia lia tu hovyo kama watoto wachanga.
 
Usisahau kurejesha chuo cha Tanesco Morogoro.
 
TEC inafahamu kwamba mwaka 2014 maaskofu wote Katoliki Tanzania akiwemo Kardinali Pengo na wasaidizi wake walipokea mamilioni ya shilingi pesa taslimu na nyingine kwenye akaunti zao kama Askofu Nzigilwa (milioni 80 benki) na Kilaini (milioni 40 benki). Inajua fedha hizo zilitoka katika kampuni yenye makando kando ya rushwa ya kihistoria Tanzania. Wananchi wengi walipiga kelele lakini fedha hizo hazikurudi wala hakuna kumbukumbu za kanisa katoliki kupinga na kusema Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…