Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Yaani wao wasipounga mkono wana athari gani ? Wasipounga mkono wao kwani tatizo ni nini? Yaani TEC huu ukuu wa kujifanya wanaweza kuamua mambo kwa ajili ya taifa hili aliwapa nani?
Alafu sasa hawanajema Wala shukran hawa jamaa atakama Serikali itawasikiliza Bado itaona haifai hawa niwakuwa puuza tu ni mijitu milafi na wabinafsi sana wamejiweka kuwa wao ni daraja la kwanza
 
Si kweli mbona mengi tu hayana shida
 
Kwa nini serikali isijiimarishe kwa mabilioni hayo?
 

Bro umeandika mengi mkataba uvunjwe serikali itoe huduma inawezekana kama Magu alike ha hospital kila wilaya tuache story mkataba uvunje kila mtu atoe huduma tuache mwembwe
 

Acha maneno ndio mkataba uvunjwe hauna tija kwa sasa serikali Inano serikali
 

Wanafiki wakubwa wale wale sio wapo kwa ajili ya Mungu wapo kwa ajili ya maslahi ya hapa duniani
 
  • Kwa hiyo unalinganisha mkataba kati ya Kanisa na serikali na mkataba wa dp world na serikali?
  • unaelewa maana ya PPP?
 
Si kweli mbona mengi tu hayana shida
Nipe mfano mmoja tu.
Mpk wizara zote nyeti wanapambana mpk mwisho asilae muislamu
Wizara ya elimu ndio imewaumbua kabisa mpk wakaamua kusema wazi kuwa Hata iweje muislamu hawezi kusimamia elimu Tanzania. Wakampiga vita kigoma malima na kabla ya kuachia madaraka akaamua kubadili system jumla.
Akaondoa majina kwenye mitihani ya taifa akaweka namba ili Wakristo wasifelishe kila jina la kiislamu.
Haya yako wazi kabisa Tanzania.
Waislamu hawana tamaa ya madaraka hata siku moja.
Wazee wetu ndio waliomuweka Nyerere kwenye kiti kwa roho safi.
Wakamsapoti kwa kila hali.
kanisa KATOLIKI lilipoingia likaanza kampeni ya kuondoa muislamu mmoja mmoja serikalini.
Na muislamu anaebaki ni yule ambae hatopinga chochote kitakachosemwa na KANISA.

HIO NDIO SHIDA YA WAKRISTO.
ROHO MBAYA SANA. hali ya kuwa sisi wote ni watanzania. Hakuna mwarabu wala mzungu hapa.
Basi Chuki tu iko ndani ya mioyo yao.
 
Mteteeni Ustadhati wenuuu mkuu mambo magumuu
Kijana wa kiume kupiga picha ukaelekea huko unakowenda kisha ukaweka kwenye Avatar yako sio jambo jema.


Acha kabisa kijana.
Taifa linahitaji vijana waliokamilika.
 
Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Jibu kwanza hoja iliyopo mezani ya dpw
Alafu tukimalizana nalo lete hoja yako tutakupa majibu sahihi kwa kila hoja utakayokuwa nayo kuhusu jambo hilo

Busara haiwezi kuwa hivyo
Ikiwa umekosea nikikwambia basi unatafuta makosa yangu ili kujipatia uhalali wa kosa ulilofanya hiyo siyo sawa
bali unanifahamisha kwamba wewe siyo mzalendo hata kidogo
 
Unasumbuliwa na udini,mbona Zanzibar haina raisi au mbunge Mkristo Hana mmoja Wala kiongozi yeyeto,na hakuna mwenye chuki Hilo.
Wawafelishe ili iweje sasa.
 
tuseme tuu ukweli masheikh wengi hawana akili hata kidogo.
 
Unasumbuliwa na udini,mbona Zanzibar haina raisi au mbunge Mkristo Hana mmoja Wala kiongozi yeyeto,na hakuna mwenye chuki Hilo.
Wawafelishe ili iweje sasa.
Zanzibar ni nchi tofauti kabisa na Tanganyika.
Ina watu wake na imani yake na dasturi zake.

Na km una elimu japo kidogo tu ya historia unatambua kuwa sababu ya Zanzibar kuunganishwa na Tanganyika ni moja ktk mipango ya Vatican (mfumo kristo) kuweza kudhibiti Waislamu na hakuna kingine.

Mpk leo bajeti ya Zanzibar inapangwa Dodoma.
Mapato yote ya Zanzibar yanapangiwa matumizi Dodoma. Na mengine mengi sana. Sina muda wa kuyaeleza hapa.

Unauliza "wakristo wawafelishe Waislamu ili iweje sasa" !
Are you seriously asking this question? Are you insane?

Km mpk leo hujajua kwanini WAKRISTO walioko madaraka wanafelisha Waislamu kusudi ktk mitihani yao basi hio topic haikufai wewe .
Km kweli HUJUI basi bora uendelee kutokujua manake huna utakaloweza kufanya zaidi ya kuumia kichwa tu.

Waislamu wamepigwa vita sana sana Tanzania tena kwa miaka mingi sana sana.

We unadhani system ya kuchagua rais MKATOLIKI ksiha muislam kidha MKATOLIKI miaka yote ni bahati tu eti?

Hebu jaribuni kumteua mtu ambae atagombea URAIS hapo asiekuwa MKATOLIKI uone Km hata NEC itampitisha.

Kijana we kaa ukifahamu kuwa Ubaya haulipi.
Ni maangamizo tu.
Wakristo wakipata hizo senti za Haramu wanaskia raha kwa muda mfupi tu. Lkn RIZIKI YA HARAMU siku zote ina madhara
 
Na chuo chetu cha TANESCO mlichopewa na Benjamin Mkapa Mkatoliki mkirudishe mnachojua kufuga majini tu
Mi nashangaa sana kwa wakristo . Kila mara mnadai Waislamu wanafuga majini.
Halafu kila siku jioni pale kanisani magomeni mapipa utaskia kwa sauti kubwa wanatoa majini.
Ina maana hayo majini hayana pengine pa kuingia ispokuwa kwa wakristo tu?

Na why hatusikii wahindi wakitoa majini au wapagani ispokuwa ni WAKRISTO TU?

Hebu nisaidie hapo.
UKRISTO NA MAJINI mna mkataba gani usio na mwisho?
Au na nyie mmesaini mkataba usio na muda upande wa majini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…