ni kweli , na hili linatutafuna sana Tanzania, bado ipo nafasi ya sisi kujikomboa toka katika mawazo haya ya Hovyohovyo.Halafu eti tunajiuliza kwa nini nchi yetu haindelei pamoja na kuwa huru miaka yote hii 50.
teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!
Unajuwa kuwa wachina walitujegenea sisi ile reli ya Tazara baada ya miaka 30 tu ya uhuru wao, lakini sis leo hii miaka 50 bado hatuwezi kujijengea hata kidaraja bila kuomba msaada kwa vile tunatumia muda wetu mweingi kwenye vijiwe kutafuta ati nani anapendelewa na serikali. Viongozi wakubwa wa nchi hii ni waislamu lakini kila kukicha, hatuishi minong'ono hii ya kudai wakristu wanapendelewa. Tutaacha lini upuuzi huu?
very low thinking!
GT,
Mkuu ndio hapo naposema kila siku watu wanakataa OIC bila kujua wala kufikiria kwa sababu tu kuna jina la Uislaam lakini ni serikali hiyo hiyo imeweka mikataba kibao na Taasisi za Kikristu kwa kutumia jina la Vatican ambayo ni Taasisi ya kidini vile vile.
..
Hautakuwa mchango wa kanisa??? tena sema mchango wa wananchi wote "wanaowapa pesa za kuendesha" huwezi kusema kitu ni cha kanisa wakati hela zinatoka "serikalini"Choko choko tu hizi hakuna lolote. Nani asiyejua mchango wa kanisa katika elimu,afya na huduma zingine za jamii?
Hautakuwa mchango wa kanisa??? tena sema mchango wa wananchi wote "wanaowapa pesa za kuendesha" huwezi kusema kitu ni cha kanisa wakati hela zinatoka "serikalini"
a) pesa za kununulia vifaa vya hospitali (x-rays, etc...)zote za kanisa inatoka serikalini...na wafanyakazi wanalipwa na serikali hiyo inaitwa joint ownership..kanisa linajitangaza tuuu..(kujifaragua) kwamba linatoa service sanaaaaaa...anyone can do that? wanatafuta wanachama tuuu (marketing strategy)
b) Shule nyingi za kanisa wafanyakazi na majengo yamejengwa kwa kutumia fedha za serikali hiyo haiwezi kuwa mali ya kanisa ila ni joint ownership...so kanisa lisijidai lina..mchango mkubwa sana...in fact mutual society yeyote inaweza kufanya hivyo...kwahiyo isipate sababu ya kujinadi..(marketing strategy kama kawa) kwamba inafanya sanaaa!
Having said that "wako smart kuchukua hela" kutoka serikalini kama alivyo smart EL muasisi wa mpango wenyewe so if EL is fisadi kanisa unaweza kuweka square root??
c) All in all Kanisa limeshazoea kupendelewa, waumini wake wamezoea kupendelewa utawaona wanapiga kelele kweli ukweli ukisemwa kwamba wanapendelewa "wamebariki, nakuabudu upendeleo"
mbaya zaidi kwani kuna nafuu yoyote basi huko mashuleni na mahospitalini kwao kwa mwananchi wa kawaida (hata kwa waumini wenyewe japo wanakamata mshiko kutoka serikalini).in terms of price, etc..that remains to be debated!!
Ngoshwe said:Naona kwenye "Cover page" Hii hati ya Makubaliano (MOU) imeandaliwa na Prof. Mahalu, ni huyu Prof. Mahalu tunaemfahamu waTz wengi hasa waishio Italy??????? duh, kumbe bado Serikali inamwamini hata kwenye mambo nyeti ya kitaifa!!!!