Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Serikali iepuke Negotiations za namna hii zinatia wasiwasi. Kwa nini iwe Kanisa peke yake? Memorandum ya namna hii ihusishe Dini na madhehebu mengine. Serikali inaongoza wananchi siyo Kanisa. MoU ya Serikali ni kwa manufaa ya nchi siyo Kanisa. Serikali yetu haina Dini ila watu wake wana Dini, wakipewa madaraka ya serikali wasi assume dogma za Dini zao.Kufanya hivyo ni kukaribisha mkanganyiko wa kisiasa, kiitikadi, kifalsafa na kiutawala.Wenye nchi mpo!
Malima suala sio serikali na dini fulani wamesaini MOU, suala ni taasisi ya Serkali imeasaini na taasisi hiyo MOU juu ya fulani. Kwa mfano kama pande hizo mbili zimekubaliana kushirikiana katika kutoa elimu na tiba kwa wananchi, utauliza mbona dini zingine hazijahusishwa? Kwani suala ni makubaliano kati ya serikali na dini juu ya uendeshaji wa masuala ya kidini? Uelewe unapoibua hoja usitangulize hisia za dini kabla ya kujadili jambo.
 
Okay basi kwanini basi mkataba usiandikwe kuwa ni MOU between Serikali na Taasisi za Kidini? Instead ni MOU baina Serikali na Jumuiya za Kikristo?
 
Okay basi kwanini basi mkataba usiandikwe kuwa ni MOU between Serikali na Taasisi za Kidini? Instead ni MOU baina Serikali na Jumuiya za Kikristo?

Jumuiya za Kikristo ndo Taasisi zenyewe, au ulifikiri tofauti kati ya Taasisi na Jumuiya ni nini? Baadhi ya wachangiaji wameshadokeza kuwa yapo makubaliano mengine yamefanyika kati ya serikali na makampuni na hakuna lililohojiwa kuhusiana na hilo. Hoja iwe ni makubaliano juu ya nini na makubaliano yana athari gani kwa umoja wa taifa letu. Kusema tu wamekubaliana basi...haisaidii kitu.
 
Nafikiri hujanielewa Gurtu title ya makubaliano inasema ni makubaliano kati Serikali na Jumuiya za Kikristo hilo linawatenga Jumuiya za Kiislamu, Jumuiya za Kipagani na Kihindu. Wangeliweka Jumuiya za Kidini ingelikaa vizuri zaidi kwanini halikufanyika hivyo
 
Kwani kuna uhakika gani kuwa serikali haijafanya negotiations na taasisi nyingine za kidini?

Waswahili ni maneno tu. Kwani kuna ugumu gani nawe ukatuwekea vipande vya makubaliano na hizo pande nyingine.

Mpaka kuna MoU tu hapa JF, kwetu ni haya ndio makaubaliano yaliyotiwa sahihi na tetesi zake zimekuwa hapa gazetini siku nyingi sana.
 
TEC si ya wakristo wote tafahdali tafuteni mtajua inahusu hasa dhehebu gani
haona zitakuwepo MoU nyingi tu na taasisi za dini zingine maana nazo zinatoa mchango mkubwa tu ktk elimu,afya,na jamii
 
Sijaona kwa nini kuwe na malalmiko yoyote, MoU hii inaweza kuwa na jumuiya ya kiislamu , kama na wao wangeomba wasingekataliwa. Hii ni suala la dini husika kutafuta ku-lobby government. Hakuna aliyewazuia waislamu kuingia makubaliano kama haya na serikali katika kutoa huduma ya afya na elimu kwa wananchi.
 
Nafikiri hujanielewa Gurtu title ya makubaliano inasema ni makubaliano kati Serikali na Jumuiya za Kikristo hilo linawatenga Jumuiya za Kiislamu, Jumuiya za Kipagani na Kihindu. Wangeliweka Jumuiya za Kidini ingelikaa vizuri zaidi kwanini halikufanyika hivyo

Mkuu unajua kuna jumuiya ngapi za Kikristo hapa Tanzania? Hata kama kweli jumuiya ya wakristo wakatoliki ingesainia makubaliano hayo je jumuiya nyingine ziliridhia? Kuna wasabato, anglican, moravian, lutheran, pentecostal, mashahidi wa yehova, walokole, mormons, TAG, je wote hao walishirikishwa? Ukiangalia ndio utaona hata aliyedraft huo waraka fake anaonekana kuwa yeye ni fraud, na hajui hata anaposema jumuiya za Kikristo maana yake nini.
 
mkuu unajua kuna jumuiya ngapi za kikristo hapa tanzania? Hata kama kweli jumuiya ya wakristo wakatoliki ingesainia makubaliano hayo je jumuiya nyingine ziliridhia? Kuna wasabato, anglican, moravian, lutheran, pentecostal, mashahidi wa yehova, walokole, mormons, tag, je wote hao walishirikishwa? Ukiangalia ndio utaona hata aliyedraft huo waraka fake anaonekana kuwa yeye ni fraud, na hajui hata anaposema jumuiya za kikristo maana yake nini.

kweli ualimu ni kazi sana,mbona inashindikana kuelewana waraka ni kati ya watajwa na serkali sio na ukristo au sio na dini ya kikristo, hata wewe binafsi unaweza kuandikiana makubaliano na serkali, lengo ni kwamba taasisi husika ifanye inachokusudia pasipo kukiuka sheria za nchi( katiba) ambayo msimamizi wake ni serkali.
 
Inawezekana dini au madhehebu mengine hawana cha kunegotiate sasa walazimishwe tu kunegotiate? Chukulia mfano serikali imeingia mkataba na kampuni fulani kuhusu madini ina maana makampuni yote yaingie mkataba na serikali ili kubalance?

hongera buchanan kwa hili, christian walijitupa ili kuokoa jahazi kipindi cha mzee rukhsa mambo yalivyokua yanakwenda mrama, kati ya mambo ambayo church walitaka kujilinda nayo ni kutaifishwa kwa taasisi zao watazokua wamezianzisha kwa jasho na nguvu kubwa kama ilivyotokea wakati wa azimio la arusha, dini nyingine hawakuona umuhim wa hili kwani ni wakristo ndio walio feel pinch hii kipindi cha azimio la arusha maana cunajua ukishagongwa na nyoka hata kijani kidogo tu kando ya barabara unaruka!
 
Serikali iepuke Negotiations za namna hii zinatia wasiwasi. Kwa nini iwe Kanisa peke yake? Memorandum ya namna hii ihusishe Dini na madhehebu mengine. Serikali inaongoza wananchi siyo Kanisa. MoU ya Serikali ni kwa manufaa ya nchi siyo Kanisa. Serikali yetu haina Dini ila watu wake wana Dini, wakipewa madaraka ya serikali wasi assume dogma za Dini zao.Kufanya hivyo ni kukaribisha mkanganyiko wa kisiasa, kiitikadi, kifalsafa na kiutawala.Wenye nchi mpo!

Mi nafikiri ilikuwa lazima kwa vile serkali kama Ujerumani zilipenda kuleta misaada yake huduma za kupitia serkalini ingawa wanafanya na taasisi za Kikristo. Sijui kama madhehebu mengine ya dini yako trasparent kiasi hicho kukubaliwa misaada wanayopewa katika taasisi zao za kuhudumia wananchi ipitie serkalini. Tunajua mataifa mengi tu duniani yanatoa misaada iliyo inclined na itikadi zao za kiimani. Mfano mzuri ni baadhi ya miradi iliyofadhiliwa na nchi za kiarabu ambayo ina component ya kushirikiana katika maeneo ya utamaduni. Hapo wanasaidia mambo ya yanayohusiana na uislamu moja kwa moja kama ujenzi wa misikiti along side miradi mingine ya maendeleo. Sasa hapo serkali italazimika ku involve waislamu maana yenyewe haiwezi kusimamia mambo mengine ya ki imani.
 
kweli ualimu ni kazi sana,mbona inashindikana kuelewana waraka ni kati ya watajwa na serkali sio na ukristo au sio na dini ya kikristo, hata wewe binafsi unaweza kuandikiana makubaliano na serkali, lengo ni kwamba taasisi husika ifanye inachokusudia pasipo kukiuka sheria za nchi( katiba) ambayo msimamizi wake ni serkali.

Nakubaliana nawe mkuu ualimu ni kazi sana. Inapoandikwa "kwa niaba ya serikali" maana yake ni kuwa serikali yaote isingeweza kuweka saini kwenye karatasi moja, kwa hiyo serikali imeweka saini kwa kutumia mkono wa mtu mmoja. Wanaposema "kwa niaba ya CCT" na "kwa niaba ya TEC" ina maana hiyo hiyo kwamba baraza la makanisa ya kikristo na baraza la maaskofu ndio limesaini. Kama unavyoona aliyedraft ametumia lugha ya "the churches".

Kusainiwa kwa waraka huo kwenyewe ni kukiuka katiba, kwani katiba ya Tanzania inamtambua mtanzania kwanza, (ambaye anaweza kuwa mkristo, mwislamu au mpagani), mambo ya dini ni baadaye sana.

Mkuu nakubaliana na wewe kabisa kuwa ualimu ni kazi ngumu sana na elimu ni muhimu sana, nadhani ujinga bado unatutafuna ndio maana wengine tunaendelea kupigania shule, tusiwaruhusu wakristo/waislamu njaa wasitutumie kutufarakanisha ili wao kujineemesha.
 
hongera buchanan kwa hili, christian walijitupa ili kuokoa jahazi kipindi cha mzee rukhsa mambo yalivyokua yanakwenda mrama, kati ya mambo ambayo church walitaka kujilinda nayo ni kutaifishwa kwa taasisi zao watazokua wamezianzisha kwa jasho na nguvu kubwa kama ilivyotokea wakati wa azimio la arusha, dini nyingine hawakuona umuhim wa hili kwani ni wakristo ndio walio feel pinch hii kipindi cha azimio la arusha maana cunajua ukishagongwa na nyoka hata kijani kidogo tu kando ya barabara unaruka!

Bona uko sawa. Serikali ndio imewarudisha nyuma watanzania. Ukiangalia hospitali zote za kanisa ilizopora serikali, shule zote ilizopora serikali hata mashamba yote iliyopora serikali, unaweza kulia. Hospitali zimekuwa chafu na si sehemu nzuri tena ya kwenda kutibiwa kama unaumwa, ni kama sehemu ya kwenda kufia tu, angalia shule zilivyo karibu zote zimekuwa chafu na ni kama magofu, even worse ule ujuzi uliokuwepo kwenye ku-manage shule ni kama serikali imeusambaratisha. Ukiangalia shule alizotuachia mkoloni ndio utachoka kabisa. Na hii ni hasara kwa watanzania wote wakristo kwa waislamu.
 
Kwenye hotuba ya JK kule Mtwara juzi juzi alisema wazi kuwa wamekubaliana na taasisi za kidini. Kwa hiyo hili sio siri. Kwa upande mwingine naona hakuna la kushangaza sana. Taasisi za kidini zinaziba pengo kubwa sana ambalo serikali haiwezi kuli-cover kwa sasa, huduma nyingi za jamii achilia mbali za kiroho kama maji, hospitali, mashule, habari, elimu zote (ya msingi mpaka ya juu), saccoss (deci) n.k. zinachangiwa na hawa jamaa, vivyo kuwa na uhakikika kwamba wana-backup ya serikali ni muhimi maana investment yake si ndogo kihivyo.
Nashindwa kupata picha kama hiyo MoU INGEKUWA NI BAINA YA WAISLAMU NA SERIKALI nADHANI ZIMWI LA udini analopakaziwa JK lingekuzwa na kuwa shetani mkuu(LUCIFER).
inasikitisha sana na si sahihi kuwa na makubaliano ya namna hii.NILIPINGA UWEPO WA MAHAKAMA YA KADHI. nia hili nalipinga vilevile.
ila kwa wengine... mahakama ya kadhi ni haram lakini hili litaonekana halali
 
Kinachonifurahisha ni kuwa wale wote wanaonekana die hard CHADEMA ndiyo wale wale wanaounga mkono hii MoU. Halafu hawa hawa ndiyo walikuwa die hard CCM kabla ya Kikwete na Makamba kufanya mapinduzi ndani ya CCM na kabla ya Kanisa halijatoa MWONGOZO wake...

Hatudanganyiki lakini kudanganya ruhsa. :becky:
 
Tatizo ni pale mikataba kama hii inayolalamikiwa inapokuwa inakweza Dini Nyingine, sasa kwa hili kama kweli ipo hiyo agreement, je inakweza uislamu/ au mkataba huu unaikweza ukatoliki na matawi yake?
Kama ni hivyo nieleze kwa namna gani, ndipo nitakapo amua kuishambulia au kuisema serikali kwa kutowatendea haki wengine.
na sio tunaleta hadithi ya mzee Jongo na Mkewe kugombania nani atafagia banda la Bata vifaranga watakapo , wakati vifaranga vyenyewe havipo.

Well said.... Ruzuku iliyouwa ikitolewa na Serikali ni kodi zilizokuwa zikikusanywa kwa watanzania wa dini zote na wasiokuwa na dini iweje dini mmoja au kundi fulani litoke jasho kunufaisha kundi jingine. Huo ni unyonyaji wa makundi mengine ilhali wao ndio walipa kodi kwa ujumla. Na ni uonevu!.
 
Kinachonifurahisha ni kuwa wale wote wanaonekana die hard CHADEMA ndiyo wale wale wanaounga mkono hii MoU. Halafu hawa hawa ndiyo walikuwa die hard CCM kabla ya Kikwete na Makamba kufanya mapinduzi ndani ya CCM na kabla ya Kanisa halijatoa MWONGOZO wake...

Hatudanganyiki lakini kudanganya ruhsa. :becky:

Tatizo nafsi zao zinawasuta.......
 
Nimechek hizi document ni void, the Lebulu's signature has been forged its not a real and kwa anayefahamu sahihi za maaskofu huwa zinaambatana na nini atajua nini ninachoongelea
 
Back
Top Bottom