Malima suala sio serikali na dini fulani wamesaini MOU, suala ni taasisi ya Serkali imeasaini na taasisi hiyo MOU juu ya fulani. Kwa mfano kama pande hizo mbili zimekubaliana kushirikiana katika kutoa elimu na tiba kwa wananchi, utauliza mbona dini zingine hazijahusishwa? Kwani suala ni makubaliano kati ya serikali na dini juu ya uendeshaji wa masuala ya kidini? Uelewe unapoibua hoja usitangulize hisia za dini kabla ya kujadili jambo.Serikali iepuke Negotiations za namna hii zinatia wasiwasi. Kwa nini iwe Kanisa peke yake? Memorandum ya namna hii ihusishe Dini na madhehebu mengine. Serikali inaongoza wananchi siyo Kanisa. MoU ya Serikali ni kwa manufaa ya nchi siyo Kanisa. Serikali yetu haina Dini ila watu wake wana Dini, wakipewa madaraka ya serikali wasi assume dogma za Dini zao.Kufanya hivyo ni kukaribisha mkanganyiko wa kisiasa, kiitikadi, kifalsafa na kiutawala.Wenye nchi mpo!