Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Halafu ikisemwa hapa kuwa Tanzania kuna udini (hivyo watu watibu ugonjwa huu badala ya kujaribu kuuficha) mimacho na mipovu inawatokaaaa..... Phewwwww

Miafrika bana ndivyo tulivyo
 
Serekali haijiamini wala haina cha kuifanya ijiamini...so just going on pleasing every thing what a shame!!
 
Kuna sababu ipi imekufanya ulete ka sehemu haka tu badala ya kuleta kitu chote watu wachambue ama ndiyo harakati za Kadhi na nini vile ?
 

GT,
Utaniwia radhi kusema kuwa waislamu mna infiriority complexes za hali ya juu. Ukishasikia kitu kinahusu kanisa tayari nywele zinakusimama. Kama wadau wanavyoomba hapa, hebu lete hiyo document yote tuone kilichomo. Kama ni sera za kueneza dini kwa mgongo wa serikali basi hilo litakuwa ni tatizo lakini kama ni kwa ajili ya social services ambazo hata watoto wako GT wanaweza kufaidika nazo tatizo liko wapi?
 

Mkuu tupatie full MoU ili tichambue maana umetupatia kasehemu ka ukurasa wa 3
 
another attack on christians
weka full documents watu waichambue na sio habari nusunusu zenye malengo ya kupotosha ukweli

nimeamua kutokuiamini hii habari na kuuita ya uzushi na yenye madhumuni ya kujenga chuki kwa wakristu

under this memorandum seriali inatoa nafasi za kazi kwa Church candidates kwenye chuo chake cha Teachers Training College
namalizia maneno "kwa ajili serikali itapokea walimu wa kikristu wengi, basi wanafunzi wa dini ya kikristu watafaulu zaidi ya waislamu"
 
Hata mimi sijajua sababu yake ya kuweka hapa taarifa kama hii hapa
 
hakuna makubaliano yoyote ya ushirikiano kati ya Serikali na taasisi za Kiislamu, Ki-Aga-Khan, n.k? Je, ni lini taasisi za dini nyingine zimetaka ushirikiano na serikali au misaada kwa taasisi zake wakakataliwa? Ni kujaribu kutengeneza kimbunga kwenye kikombe cha chai!
 
Kwa ufahamu wangu sirikali ya Tanzania haina dini, kwa hivyo suala la kusaini MOU with any religion is incorrect. Kama ikiwezekana waweke kinaga ubaga kwamba dini zote zitapata misaada based on the MOU signed with Muslims or Chrisitians - this is my thought
 
Halafu ikisemwa hapa kuwa Tanzania kuna udini (hivyo watu watibu ugonjwa huu badala ya kujaribu kuuficha) mimacho na mipovu inawatokaaaa..... Phewwwww

Miafrika bana ndivyo tulivyo

Hujaelewa maana ya serikali kuwa na dini. Iran ni nchi ya Kiislamu, dini yake ni Uislamu-Shia. Hakuna dini nyingine inayotambulika rasmi zaidi ya hiyo. Kiongozi mwenye mamlaka ya juu zaidi serikalini ni Ayatollah. Sasa linganisha na udini wa Tanzania kama upo! Kutoa Chuo kwa ajili ya waislamu, kuingia MoU na kanisa, n.k.
 
vipi kuhusu MoU kati ya serikali na OIC?.....tutasaini lini?
 
Kwa ufahamu wangu sirikali ya Tanzania haina dini, kwa hivyo suala la kusaini MOU with any religion is incorrect.

Hiyo statement yako ingekuwa valid if and only if serikali ya tz ingekuwa na dini.....!

Wengi naona hawaelewi hapa, MOU haijasainiwa na DINI (IMANI) fulani, bali na taasisi ya kidini kuhusu mambo ya kijamii, uchumi, elimu etc! Sina uhakika kama kny MOU hiyo kunakipengele kinachoibadana serikali kuhusu IMANI ya makanisa hayo.

Ingekuwa vizuri pia mtoa mada akaweka hiyo MOU yote hapa ili tuichmbue tuone kama huko ndani yamezungumzwa mambo ya dini tu au la! Serikali kama ni hizo agreement imeshasaini nyingi sana.....! ebu jiulizeni kuna mahospital mangapi na vituo vya afya vinaendeshwa na makanisa kwa kuishirikisha serikali, kuna mashule mangapi, miradi mingapi ya kijamii inaendeshwa na serikali kwa kushirikisha taasisi za kidini?

Nashangaa watu sasa wana uliza iweje MOU? Mbona hatuulizi hizi taasisi za makanisa zinapojitolea kufanya kazi za serikali kama, kuendesha mashule, vituo vya kulelea watoto, hospital etc....mbona hatuulizi hayo?
 

Wakati mwingine hata kama mnajidai ni ma-atheists muwe mnamuogopa Mungu. Hii document ni fake. Hata mimi mwenye kiingereza kibofu bofu naona makosa kibao. Kuanzia neno "institutions" na kusema "shall seek financial assistance FOR church run..." Halafu mnadai serikali itatoa nafasi za kazi kwa Church candidates! Hao watatoka wapi? Au kila mkristu ni Church candidate? Na tangu lini wamisheni wamehitaji upendeleo kupata kazi katika vyuo vya ualimu wa serikali?

Mnasikitisha. Tuoneeni huruma. Hii amani tuliyonayo ndicho kitu pekee tulichobakiziwa.

Amandla......

Amandla....
 

Ushakubali mwenyewe kuwa hakuna neno serikali kusign memorandum hiyo sasa nini haswa unataka tujadili wakati kitu chenyewe hata wewe umeridhia?

Pia, hauwezi ukahukua document ambayo inaweza kuwa na kurasa nyingi kisha ukachagua kakipengele tu. Lazima tuone hiyo MoU nzima ili tujue ili kuaje kuaje maka wakafikia hicho kipendele ulicho amua wewe kusingle out.
 

GT ungeleta kitu kizima hapa tuone ili kuwe na haki katika majadiliano. mbona hata hiyo nukuu yako inatia mashaka hasa hicho kiswaenglish? au unataka kujenga chuki (ambayo kwa mtazamo wangu hutaweza kwani uhusiano baina ya dini hapa bongo ni mzuri sana)
 
Haya ndio malalamiko yanayotolewa na waislamu kwa serikali ya CCM kila mwaka for years....lakini serikali kichwa ngumu hatari yake ni kwamba "UBAGUZI NA DHARAU kwa jamii matokeo yake vita!
Hivi serikali itakuwa inafanya hivyo kwa Waislamu? au ni kanisani tuu...Ama kweli "ndio maana walisema kikwete chaguo la mungu kumbe fedhaaaaaaaaaaaaa.
 

..ELIMU ndogo inachangia..walioandaaa hii propaganda mbaya dhidi ya serikali mtu waliamini kuwa amesoma sana kiasi cha kumuaini kuandaa huu waraka ....ndicho alichoweza kuandika ....english ya form four kata!!....na sijui atakuwa ana law degree ya chuo gani!...

hata kama kulikuwa na makubaliano na serikali yalihusu sekta ya afya na huduma sanasana...hayakugusia upuuzi mwingine,kwani nani hafahamu kuwa zaidi ya asilimia 40% ya huduma za afya /jamii nchi hii zinaendeshwa na taasisi za dini...mahospitali,nyumba za watoto yatima,masuala ya ukimwi etc.....sasa kama wanaendesha hizi huduma hasa viijijini unategemea waendeshe bila makubaliano ya serikali kuchangia wataalamu,vifaa na dawa..pale waanapopata?? au kama wanashindwa angalau kuwe na misamaha ya kodi kwa vifaa hivyo....nafikiri anayeona wanafaidi naye akajenge mahospitali vijijini ambako kipato kinajulikana ni duni!!..

mashirika mengi ya dini yana uwezo wa kufanya lobbying kwa serikali za ulaya na mashirika ya misaada..lakini sana hapo inategemea na priorities ...wengine wataomba wenzao waziombe serikali zao zilete misaada ya kibinadamu...,kuna tofauti ya priorities!!
 

GT,
Mkuu ndio hapo naposema kila siku watu wanakataa OIC bila kujua wala kufikiria kwa sababu tu kuna jina la Uislaam lakini ni serikali hiyo hiyo imeweka mikataba kibao na Taasisi za Kikristu kwa kutumia jina la Vatican ambayo ni Taasisi ya kidini vile vile.

Fundi Mchundo,
Mkuu unakataa hili kwa sababu kiingereza kilichotumika ni kibovu au?..Hivi katika akili yako unafikiri watu hawafdahamu mikataba ambayo serikali imekwisha ingia na taasisi za kidini?..Au kwa sababu hazitangazwi isipokuwa inapofikia za Kiislaam basi kila mtu hupiga kelele hata mwenye kulala huamka..Mkuu hatusemi tuu na mjue kwamba Waislaam ni watulivu sana kiasi kwamba ingekuwa maswala mengi yametokea upande wa pili sidhani kama nchi ingekalika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…