Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Halafu ikisemwa hapa kuwa Tanzania kuna udini (hivyo watu watibu ugonjwa huu badala ya kujaribu kuuficha) mimacho na mipovu inawatokaaaa..... Phewwwww
Tatizo kubwa la hii post na aliyeiandika ni upungufu mkubwa wa hekima, pamoja na elimu aliyonayo na uwezo wa uchambuzi.
GT anaheshimika sana kwa kutoa mada zenye kina , lakini katika hili ana sikitisha.
Badala ya kuona the positive side of social services zinazotolewa na taasisi za dini za Kikristo yeye anaona kuwa na hizo taasisi ni maadui zake.
Ikumbukwe kuwa taasisi nyingi za aina hii zilitaifishwa na Nyerere na kufanywa za kitaifa na hivyo kuwa faidisha wananchi wote kwa ujumla na zinaendelea kufanya hivyo hata leo.
Taasisi za Kiislamu hazijazuiwa kutekeleza na kuomba misaada serikalini au kwingineko katika kuimarisha huduma za jamii.
Kama alivyosema Mwafrika hapo juu, wenzetu wa imani nyingine wengine hata wakielimika mioyo yao bado huwa imepandwa nafsi za chuki na upingaji wa maendeleo. Maendeleo ambayo hata wao wanayahitaji.
 
GT,
Mkuu ndio hapo naposema kila siku watu wanakataa OIC bila kujua wala kufikiria kwa sababu tu kuna jina la Uislaam lakini ni serikali hiyo hiyo imeweka mikataba kibao na Taasisi za Kikristu kwa kutumia jina la Vatican ambayo ni Taasisi ya kidini vile vile.

Mkuu Vatican is a state not an institution. Ndiyo maana kuna mabalozi wa Vatican. Ni sawa sawa na nchi zingine ambazo zina dini yake mfano Iran, Saudi Arabia and the like. Sasa OIC ni nchi? Na Tanzania ina mahusiano na Vatican kama nchi ila Tanzania haija jiunga na organazation yoyote ya Kikristo. Kwani kuna jumuiya ya umoja wa Vatican? Au sasa hivi tukiwa na mikataba na Saudi Arabia utasema Tanzania imeingia kwenye jumuiya ya Kiisalamu? Au labda tueleweshane mkuu maana sioni the similaities between Vatican which is an independent state na OIC which is a Union of Islamic states.
 
Mwanafalsafa1,
Ubishi huu siwezi kuurudia tena nilikwisha elezea vizuri siku za nyuma na kutoa mifano kibao kuonyesha kwamba Vatican isn't only a State it is Institution..
Kama unabisha, nambie nafasi ya Askofu Pengo ktk State hiyo ambayo yeye sii citizen.
 
Mkuu una kasirika bure. Mimi sijaleta ubishi nimeuliza. Na hayo uliyo elezea nyuma mimi sijayaona. Mimi nataka tu kupata mawazo zaidi. Baadhi ya watu wanancho pinga ni Tanzania which is a secular state kujiunga na jumuiya ya kidini. Je Tanzania ni member wa jumuiya gani ya kidini? Kama Tanzania ina shirikiana na Vatican bila kuwa member wa jumuiya yote ya Kikatoliki ina shindwaje kuwa na mahusiano na nchi zingine za Kiislamu bila kujiunga na jumuiya ya nchi ya Kiislamu? Sawa Vatican ina promote dini yao je hakuna nchi za Kiislamu zinaazo promote dini yao? Usiichukulie hii kama attack mimi nataka tu kujua mawazo yako maana unaweza kunifumbua macho kwenye jambo ambalo huko nyuma sikuliona mkuu.
 
Mwanafalsafa1,
Issue hapa ni mada hii, maelezo mengine hayana mpango kwani tutakesha bure pasipo kufikia solution kwa sababu unachojaribu ku elewa huwezi kuelewa ukiwa ndani ya kabati la dini..

Hakuna mtu anayesema promotiopn ya dini isipokuwa tunazungumzia mikataba ya kidini kwa kutumia jina la Vatican..Kuna mambo mengi sana ambayo hayafai kuyaanika hapa wala sidhani kama ni uungwana zaidi ya kuleta ubishi wa kidini.. Haiwezi kunisaidia mimi wala wewe zaiodi yan kuleta mashafuko ya kimawazo..As a fact mada hii kama ningekuwa mimi nisingeiweka kwa sababu haiwezi kujenga pamoja na kwamba kitu hicho kipo..

Tatizo langu kubwa ni pale Wakristu mnapokataa katakata anything to deal with Islaam hasa baada ya babu Kichaka kutupaka..Tunaonekana kama vile sisi sii watu ila Minyama pori iliyoondokana na Ubinadamu...Lakini, nawaasa kwamba mbinu zetu haziwezi kamwe kuelkneza dini wala kuondoa uislaam duniani.

Sina zaidi isipokuwa najaribu kuwaelemisha nje ya kabati la udini kwamba haya mambo yapo na yanaendelea... Hata Kikwete anaweza fanya mambo kwao Chalinze tukadai kwamba ni ktk kuleta maendeleo ya nchi.. lakini ukitaka kugeuza mtazamo wa kujenga taifa na kwamba anapendelea kwao unaweza pia kujenga hoja kibao!
 
Mkandara,

Unaongea kana kwamba kwenye hiyo serikali hakuna waislamu. Na hiyo ya kusema nyie mnaluwa treated kama vile siyo binadamu si kweli mkuu. Usitake kufanya kana kwamba waislaamu wanakuwa treated kama second rate citizens which is not true. Ila kama you feel waislamu wanafanywa kama "wanyama pori" hayo najua ni mawazo yako binafsi. Najua kuna watu wana hulka ya kuona wanaonea kwenye kila kitu. Ila sawa bwana naona huu mjadala unapo elekea sipo. Let's just agree to disagree.
 
Mwnaafalsafa1,
tatizo lako hupendi kukubali, ikiwa Waislaam wanasema hivyo kwa nini wewe unajibu hakuna kitu kamam hicho wakati sii wewe unayekuwa treated!.. Mkeo akisema unamtesa kwa nini usitake kujua anateseka na kipi badala yake unajibu hateseki!.. wala usitake kujua zaidi.
Why nimesema hayo hapo juu ni jinsi mnavyofikiria..inawezekana sii wewe lakini wengi hamtazamii nje ya kabati la dini yenu hivyo matatizo ya Waislaam kwenu nyie yabakie na wao Waislaam..(second citizen) lakini yenu yanajumuishwa nchi nzima na mikataba tunaweka bila hata kuwekwa ktk vyombo vya habari au kujadiliwa Bungeni..
 
That is so TRUE. Very Good Point I LOVE IT!!.
 
Mkuu kuna tofauti kati ya kuonewa na kudhani mnaonewa. Ila kama unaona mnaonewa sawa mkuu samahani kwa hilo kwa maana mimi sipendelei kumuona mtu au watu wa dini yoyote wakionewa. Lakini kwani serikalini hakuna waislamu? Hakuna viongozi Waislamu mpaka useme serikali inaonea waislamu. Kwa maana hiyo basi unacho sema wewe ni kuwa kuna viongozi serikalini ambao wana bagua watu wa dini yao wenyewe maana serikali siyo ya wakristo tu.
 
Na kuna tofauti kati ya kuonea na kudhani huonei!
Kisha hakuna mtu alosema waislaam wanaonewa na sidhani nimesema hivyo isipokuwa ktk maelezo yako unaongezea vitu ili mradi tu kupotosha kile tunachozungumzia..
 
Mkuu kama nilivyo sema serikali hiyo hiyo ina viongozi Waislamu pia. Kwa hiyo ukisema serikali ina bagua waislamu basi jua kama ni hivyo kuna viongozi serikalini wana bagua waislamu wenzao.
 
Mkuu kama nilivyo sema serikali hiyo hiyo ina viongozi Waislamu pia. Kwa hiyo ukisema serikali ina bagua waislamu basi jua kama ni hivyo kuna viongozi serikalini wana bagua waislamu wenzao.
Unachojaribu kusema ni kipi hapa.. hata sikuelewi. Si viongozi hao hao wanaotaka OIC, wewe ndo hutaki vipi tena..
Listen mkuu mambo mengi ya Wakristu yanatufaa sote. Hata yapo ambayo hayatuhusu sisi waislaam kwa upeo mkubwa lakini sisi hatuoni ubaya pale kitu kinaweza kumsaidia Mkristu kwa sababu ni binadamu anayetaka kuendelea.. Kwa hiyo sina matatizo na mikataba ya Kikristu kwa sababu inawafaa na naona haja na sababu ya kuwepo ila nashindwa kuelewa wewe unapokataa mambo ya Waislaam kuwa karibu nawe..
 
Mkuu kama hauelewi sasa sijui nikuambie kwa lugha gani. Mkuu naona haya malumbano yameenda mbali mno. Tukirudi kwenye thread swala ni MoU na wakristo au siyo? Je hakuna MoU kati ya serikali na taasisi zingine za dini? Na kama hazipo hizo dini zingine zime katazwa kuingia makubaliano na serikali?
 
Mwanafalsafa1
kwenye hili nakuomba fanya kama ulivyopendekeza "
malumbano yanaenda mbali" Jina uislamu likishaingia Mkandara hupoteza objectivity kabisa. Ametoa mfano wa Vatican ukamwelewesha hataki anakuja mara 'nafasi ya Pengo mara nini sijui.' HUko nyuma watu wametoa mfano wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro walipewa hao waislamu wanaonewa hiyo haitoshi kumshawishi. OIC siyo state mashirika ya dini yanaweza kuwa wanachama siyo nchi. Vaticani ni nchi kama Iran, Saudia na nyinginezona kote huko Tanzania si mwanachama bali ina uhusiano wa kibalozi.
 
Mkuu nimekusikia na nitafuata ushauri wako na kukaa kimya.
 
GT,
Mkuu ndio hapo naposema kila siku watu wanakataa OIC bila kujua wala kufikiria kwa sababu tu kuna jina la Uislaam lakini ni serikali hiyo hiyo imeweka mikataba kibao na Taasisi za Kikristu kwa kutumia jina la Vatican ambayo ni Taasisi ya kidini vile vile.

Fundi Mchundo,
Mkuu unakataa hili kwa sababu kiingereza kilichotumika ni kibovu au?..Hivi katika akili yako unafikiri watu hawafdahamu mikataba ambayo serikali imekwisha ingia na taasisi za kidini?..Au kwa sababu hazitangazwi isipokuwa inapofikia za Kiislaam basi kila mtu hupiga kelele hata mwenye kulala huamka..Mkuu hatusemi tuu na mjue kwamba Waislaam ni watulivu sana kiasi kwamba ingekuwa maswala mengi yametokea upande wa pili sidhani kama nchi ingekalika..
Tatizo ni pale mikataba kama hii inayolalamikiwa inapokuwa inakweza Dini Nyingine, sasa kwa hili kama kweli ipo hiyo agreement, je inakweza uislamu/ au mkataba huu unaikweza ukatoliki na matawi yake?
Kama ni hivyo nieleze kwa namna gani, ndipo nitakapo amua kuishambulia au kuisema serikali kwa kutowatendea haki wengine.
na sio tunaleta hadithi ya mzee Jongo na Mkewe kugombania nani atafagia banda la Bata vifaranga watakapo , wakati vifaranga vyenyewe havipo.
 
Kwa ufahamu wangu sirikali ya Tanzania haina dini, kwa hivyo suala la kusaini MOU with any religion is incorrect. Kama ikiwezekana waweke kinaga ubaga kwamba dini zote zitapata misaada based on the MOU signed with Muslims or Chrisitians - this is my thought
Hata mikataba ya kutoa huduma za kiafya na kielimu is incorrect? au ni hisia tu ndizo zinakufanya kuona is in correct? na hizo assistance zenyekwenda huko zinako kwenda zina ubaguzi ndani yake? eg hiyo elimu inatolea kwa wakristo tu? au hiyo elimu ni kwa wakristo tu? hivyo itafaidisha upande moja tu?
 
Hata mimi sijajua sababu yake ya kuweka hapa taarifa kama hii hapa

Wewe unachagua taarifa za kuweka kwenye JF??, unataka aweke kusifia chadema na wakristo hata kama wananyonya jamii nyingine ya kitanzania?
Kama hii MoU ni kweli then "Kanisa wameusaliti umma wa kitanzania" kwa kunyonya walipa kodi wote (muslims in particular)kwa ajili ya faida ya wananchi wachache (35%)
 
GT,
Utaniwia radhi kusema kuwa waislamu mna infiriority complexes za hali ya juu. Ukishasikia kitu kinahusu kanisa tayari nywele zinakusimama. Kama wadau wanavyoomba hapa, hebu lete hiyo document yote tuone kilichomo. Kama ni sera za kueneza dini kwa mgongo wa serikali basi hilo litakuwa ni tatizo lakini kama ni kwa ajili ya social services ambazo hata watoto wako GT wanaweza kufaidika nazo tatizo liko wapi?
Hapa aliyesimamisha nywele ni wewe ndugu,
Lazima watu waogope wanyonyaji, kama kanisa inatumia kodi za wananchi wote ijue wakristo ni 35% (CIA fact book) ya walipa kodi wote ina maana wanatunyonya ambao si wakristo??
Halafu wewe unafikiria inferirity kwa hiyo "unahalalisha Ufisadi kanisani, Unjustice kwa jamii? -I beg to differ
kama serikali ina hiyo MoU basi tuna kila sababu ya kuwaondoa CCM
 
Back
Top Bottom