Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

NO OFFENSE, waislam sasa muache fyokofyoko...............:becky::becky::becky:
 
ufafanuzi huu unaweza kusaidia kupata majibu ya malalamiko mbalimbali kuhusu MOU.

Huo ufafanuzi wa MoU according to Dr Slaa ni ufafanuzi maslahi. Malalamiko ya MoU yako hapa: Mkitupatia majibu ya hayo maswali huenda malalamiko yakaisha:

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.
 
Dk Slaa tunashukuru kwa huu ufafanuzi ila sasa sijui kama wamekuelewa,kwasababu zaidi ya mwalimu wa madrasa sijui kama hata mwalimu darasani wanamuelewaga
Hawa waislamu watakufa wanalalamika kwa ujinga wao

Juzi mmeona wenyewe kule Mkuranga jimboni kwa Mlima, wananchi mchana kweupe wanasema wanaona bora kupeleka watoto wao wakasome madrasa na sio shule ya msingi eti shule ya msingi michango ni gharama kuliko madrasa. na Malima aliwambia wachangie kujenga shule miaka mitatu imepita hawataki wao kwao madrasa ni bora

sasa ukiona jamii ipo hivo halafu wanajifanya wanalalamika huwezi shangaaa
 
Ipo haja kwa wengine wenye ufafanuzi kuhusu MOU kutoa kauli zao ili jamii ipate ukweli wa jambo hili.

Kukaa kimya ni kufarakanisha jamii hasa ya Waislamu na wakristo. MOU imesemwa sana hasa na upande wa walalamikaji. It is high time now suala hili likafikia tamati kwa kulipatia majibu.
 
Naomba nijibu kipengele cha pili:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

Hapo nilipopigia mstari ni walimu makhsusi kwa ajili ya shule za kanisa.

Mkataba huo kwa sasa una miaka takriban 22, ni upi ukomo wake? Kama hivyo ndivyo kuna ajabu gani kwamba shule za serikali hazifanyi vizuri bali ni shule za kanisa? Huu ni ufisadi ambao hauwezi kumalizwa JF bali viongozi wa dini ya kiislamu, kanisa na serikali kukaa na kujadiliana. Kinyume chake ni maafa twendako.
 
blaza umechangia ukiwa na hasira dhidi ya kanisa...ebu fikiria tangu huo mwaka 1992 ulioandika mpaka leo ni waisilamu wangapi wangekufa au kuteseka kwa kukosa huduma za kanisa? na ata leo hii 2kisema taasisi za kanisa zitibu wakristu kwa bei ya chini na nyinyi waislamu kwa bei ya juu mtapona kweli?ongozwa na busara na co chuki binafsi..utake usitake kanisa lime na linaboresha maisha ya watanzania wa dini zote...asante
 
Hawa waislamu watakufa wanalalamika kwa ujinga wao
sasa ukiona jamii ipo hivo halafu wanajifanya wanalalamika huwezi shangaaa

Malalamiko ya waislamu hayawezi kuisha mpaka ufafanuzi wa haya maswali yatakapopatikana. Ni kama wapinzani wa serikali, hawanyamazi hadi haki wanazozipagania zipatikane.

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.
 
gahawa wanywe saa ngapi?

Waislamu wa zama hizi sio wanywa kahawa tena, kahawa yao siku hizi iko JF. Jibu hizi hoja kama unaweza:

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.
 
hata ukielezwa ukweli hutaki, kwa hiyo unataka watu waseme uongo ili ukufurahishe wewe? hivi huwa nchi za kiarabu hazifanyi makubaliano na misikiti humu nchini? mbona wakristo hawamind hayo? tabia ya mtu kutoridhika na tabia ya manung'uniko ni mbaya sana, utamlea huyo mtu mpaka utachoka, hata ukimpa vyote ulivyonavyo bado hataridhika.
lakini jamani hii tabia inajitokeza sasa, wakati nikiwa mdogo sikuona waislamu wa jinsi hii wala sikuwasikia. na sio kwamba waislamu wakati ule waliwapenda au waliupenda ukristo, lah, ila waliheshimu tu maana kila mtu ni huru kuabudu apendavyo.
inasikitisha sana, japo najua sio waislam wote wamegeuka hivyo, still kuna wanaoheshimu wenzao/ukristo. hivi kama kila mtu akiamua kuongea na kufikiria kama hawa wanaharakati wanavyofanya, hata wakristo mbona wana mengi tu pia ya kuongelea! ila wanaheshimu na kuwathamini waislam na uislam. bado nasema binadamu wote ni sawa, umekuja duniani, fanya yale ambayo ndio makusudi ya Mungu kukuleta. kuna watu wala hawajui kwa nini wapo duniani, ni kwa ajili ya kusababisha fujo au kupigana? sasa majukumu yako utayapanga saa ngapi na kuyatekeleza lini?
 
Mkuu usijifanye na wewe hujui mambo

1. hebu tuambie what is the role of the government? hasa kwenye elimu na afya
2. imeshaelezwa humo kuwa serikali ilishindwa kuendesha hizo shule na mahospitali hivyo ikaomba msaada na hapo TEC&CCT walikuwa kama development partner tu lakini lazima wawe na masharti yao
3. hebu kanusha kwamba waislamu hawapati huduma kwenye hizo taasisi kama wakristo pia sema kama waislamu wanabaguliwa
4.kama ulitaka kila kitu yafanye hayo madhehebu tuambie kwanini wananchi tunachangia katika kila huduma hata zile amabazo serikali ilikuwa inawajibika kutoa bure kwa wananchi
5. kama hayo madhehebu yasingekuwa yanatoa hizo huduma nani angewajibika kutoa? kama hata saizi wakati serikali inasidiwa tu bado imeshindwa kuto huduma hizo huko vijijini na shule za kata
 
Broo waislamu hawalalamiki kijinga kama unavyofikiri. Two articles za MoU zinaonesha ufisadi wa serikali kwa kushirikiana na makanisa. Hebu nyie wasomi teteeni hii MoU kama mnaweza:

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.
 
Rusha JF hiyo MOU ya waislamu iliyokataliwa kwani Rais Kikwete alisema milango iko wazi kwa Waislamu kupeleka yao lakini bado inaonekana hawajawahi kufanya hivyo au bado hawajafanya hivyo.

Aleta hiyo MOU yao hapa kama alivyoleta ile MOU ya wakristo ili tuione hapa na mimi nitakuwa wa kwanza kuwasupport tena kwa nguvu zote,bila hivyo wataendelea kupiga kelele tu
 
Kwenye ufafanuzi huu nimejifunza kwamba Bakwata ilikuwemo kwenye mazungumzo ya mwanzo ya MOU lakini haikufika hadi mwisho wa mazungumzo hayo? kama walijiondoa nini kiliwafanya wajiondoe? kama waliishia njiani ni nini kiliwafanya waishie njiani. Wao ndio wenye majibu.

Hii kauli ya Dk. Slaa inaonyesha Bakwata ina taarifa ya kina kuhusu suala hili lakini nimesikia kauli za maaskofu na sasa SLAA. Bwakwata ina kipande chake cha kutoa ufafanuzi. Anna Makinda ana kipande chake, Lowassa ana kipande chake, Prof Mahalu ana kipande chake na serikali ina kipande chake.

Muhimu ni kulimaliza suala hili kwa amani
 
blaza sasa hizo shule za kanisa wanasoma wanyarwanda au watanzania?mbona waislamu wamejazana ktk shule za kanisa na wanafundishwa na walimu hao ambao hutaki serkali iwatengeneze? tatizo unachangia mada uku ukiwa na mtazamo hasi dhidi ya mou so kwako kila kitu utakiona ni uonevu....
 
Tukichukua kile nyie mtabaki na nini tena?

Au makamba sekondari?

It doesnt mattaer kinachotakiwa ni kuwa na taifa lenye usawa sio kupendelea kundi fulani na kiliacha kundi jingine huku mkidai kuwa hawataki kusoma.

Ondoeni huu ufisadi wenu, hamna hata haya. Halafu kiongozi mkubwa kama Dr Slaa anatetea MoU!

Hizo kodi zinazosomeshewa walimu wa shule za kanisa (kwa mujibu wa article ya xi ya MoU) zinatunzwa kwa kodi za wakristo peke yao?
 
hivi kuwa obsever ni kutoa fedha? au mlitakaje, shule na hospitali zilizojengwa na kanisa zisirudishwe wakati serikali imeshindwa kuzihandle? au labda katika kurudishwa ndio tuseme zingerudishwa ziwe chini ya misikiti labda? fungukeni basi ionekane mnachokitaka. na kama ni kupewa, mbona benja alitoa chuo cha tanesco kwenu? mmesikia lalamiko lolote kutoka kwa madhehebu mengine? semeni basi kama mnataka mpewe vitu gani na kwa kiasi gani ndio mtaridhika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…