yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,102
Dr Slaa kitaaluma ni Padre ni vizuri angefunguka zaidi kuhusu ili suala la MoU.
Upeo wenu wa kufikiri ndiyo umekomea hapo....!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Slaa kitaaluma ni Padre ni vizuri angefunguka zaidi kuhusu ili suala la MoU.
Dr Slaa kitaaluma ni Padre ni vizuri angefunguka zaidi kuhusu ili suala la MoU.
Ndio lengo kwamba mwisho wa siku wote tukasome kanisani? Hii unayoona bla blaa ndiyo MoU inayowanufaish nyie wakristo. Sitegemi wewe unisupport ila nafanya hivi makusudi ili mwisho wa siku uelewe kwamba mnachofanya ni dhulama.
Serikali inawezaje kuwa na aina hii ya dhulma kwa kundi fulani la jamii?:
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.
Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:
1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?
2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.
Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?
Hamna ugomvi hapo wa eti tulimalize kwa Amani ni uwezo wao mdogo tu wa kufikiri ndo unawafanya wapige kelele na unaweza kukuta hao wanaopiga kelele wanatibiwa kwenye hizo hospitali na watoto wao au wao wenyewe wamesoma kwenye hizo shule.Kuna uwezekano mkubwa Bakwata walijitoa/Walitolewa kwasababu hawakuwa na Maslahi yoyote hapo kwa maana hawakuwa na shule au hospitali zilizotaifishwa au hawakutegemea kupata msaada wowote kwa wahisani kuziendesha shule na hospitali zao kumbuka msingi wa hii MOU ni msaada wa wahisani kuziendesha shule na Hospitali za makanisa
cc FreshthinkingMheshimiwa Mufti;
Waheshimiwa Masheikh;
Katika mkutano wangu wa tarehe 22 Julai, 2011 na Jukwaa la Wakristo suala hili lilijitokeza na nililitolea ufafanuzi ambao napenda nirudie kuueleza hapa leo. Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa nchi yetu, Mwalimu Julius Nyerere aliamua kutaifisha shule zote za mashirika ya dini na jumuiya za kijamii hasa za Wahindi na Wazungu kwa lengo la kutoa fursa sawa ya kupata elimu kwa watoto wa dini zote, wasiokuwa na dini na wa rangi zote bila kubaguliwa.
Kutokana na uamuzi ule hakuna mtoto aliyebaguliwa kupata elimu kwa sababu ya rangi yake au dini yake. Hata wale waliotoka kwenye jamii ambazo kwa dini zao au rangi zao hawakuwa na shule kabisa au walikuwa nazo kidogo waliweza kupata nafasi, bora tu wawe na sifa stahiki hasa za kufaulu mitihani na nyinginezo. Lakini si hivyo tu, ili kujenga usawa kwa upande wa sekondari Mwalimu alikwenda mbali zaidi. Serikali iligawa sawia nafasi za kwenda sekondari kwa mikoa na wilaya nchini na siyo tu kufuata kigezo cha mtu kufaulu mitihani.
Mheshimiwa Mufti;
Baada ya kutaifisha shule hizo, ukiacha shule za msingi zilizojengwa karibu kila kijiji, Serikali haikuwekeza sana katika ujenzi wa shule mpya za sekondari. Matokeo yake wakati ule katika mikoa yetu, ukizungumzia shule za sekondari za Serikali, kwa kweli nyingi, kama siyo zote, ni hizi zilizotaifishwa kwani Wakoloni hawakuacha shule nyingi na Serikali haikujenga nyingi mpya. Kwa kweli uwekezaji uliongezeka kwa wingi sana kwa shule za sekondari za Serikali katika Awamu ya Nne kwa ujenzi wa Sekondari za Kata.
Kwa kutambua ukweli kwamba shule za Serikali ni kidogo hata baada ya Serikali kutiliana saini Itifaki ya Makubaliano (MoU) na TEC na CCT mwaka 1992, kasi ya kurejesha shule ilikuwa ndogo sana na baadae ikasimama kabisa. Kilichosimamisha ni ule ukweli kwamba zingerudishwa zote Serikali ingejikuta kama vile haina shule za sekondari na badala yake shule zingekuwa mikononi mwa makanisa. Kitendo hicho kingezua manung'uniko na mgogoro katika jamii hasa baada ya zaidi ya miaka mingi shule hizo kuwa mali ya Serikali. Kwa ajili hiyo, pamoja na nia njema iliyokuwepo ya kuziboresha na kuziendeleza uamuzi huo ulikuwa mgumu kutekelezeka. Serikali ikajipa dhima ya kuziboresha na kuziendeleza.
Padri slaa hebu tueleze kwa mwaka mnapewa mabilion mangap na pia tungefurah kama ungefafanua ushiri wako wa ktk mkutano uliofanyika ikulu kipind ukiwa mtumish wa mungu kuhusu malalamiko mliyopeleka ikulu kutaka nyama ya nguruwe iuzwe ktk mabucha
Mimi nilichogundua ni kuwa CDM na CCT/TEC ni faces of the same coin! Hushangai wapambanaji wa CHADEMA ndio hawa wanaopigania MOU!
Watu kama hawa ndiyo huni sababisha nipigwe ban mara kwa mara kwa kukosa uvumilivu kwasababu kejeri nazijua na matusi nayajua hivyo ninapoona kiongozi wangu akitukanwa au anakejeriwa lazima ni jibu.....Kama mwananchi anayefahamu kinachojadiliwa. Unamuita babu ndo aliyemzaa nani kati ya baba au mama ako!?
Ipo haja kwa wengine wenye ufafanuzi kuhusu MOU kutoa kauli zao ili jamii ipate ukweli wa jambo hili. Kukaa kimya ni kufarakanisha jamii hasa ya Waislamu na wakristo. MOU imesemwa sana hasa na upande wa walalamikaji. It is high time now suala hili likafikia tamati kwa kulipatia majibu.
Hii kauli ya Dk. Slaa inaonyesha Bakwata ina taarifa ya kina kuhusu suala hili lakini nimesikia kauli za maaskofu na sasa SLAA. Bwakwata ina kipande chake cha kutoa ufafanuzi. Anna Makinda ana kipande chake, Lowassa ana kipande chake, Prof Mahalu ana kipande chake na serikali ina kipande chake.
Muhimu ni kulimaliza suala hili kwa amani
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti
hapo kwenye red kuna mjadala ama fedha zote zinatoka kwa wahisani au serikali pia inatoa. Sina jibu ni swali tu. Kama serikali inatoa basi pia tunahitaji kuwa na taarifa za kina kwa kiasi gani na kama haitoi tunahitaji kujua.
Ni kitu gani kimezuia taasisi zingine za dini kupata?
je kuna mkono wa kanisa kuzuia hilo?
Je, kuna mkono wa waislamu kujizuia kupata?
je kuna haja ya kuwepo MOU katika mazingira ya malalamiko ya sasa hasa kama serikali inahusika?
Dr Slaa kitaaluma ni Padre ni vizuri angefunguka zaidi kuhusu ili suala la MoU.
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti
Well, kama MOU inawakera basi ishawishini serikali iivunje, makanisa yarudishiwe huduma zote za kijamii yalizokuwa yanazitoa kabla ya utaifishaji, yakiwemo mashule, hospitali na hata visima vya maji vilivyojengwa na kanisa virudishwe kama ambavyo ninyi mnajimilikisha visima vya maji Dar kwa kuvifunga na makufuli kabisa.Wenye akili ndogo watakubali kwamba MOU iko safi lakini,ukweli utasimama,kuna dini nyingine wamezoea propaganda na uongo mana dini zao na imani zao zinawafundisha hivyo.unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani ila huwezi kumfanya mjinga muda wote.eti wanadai MOU iko kisheria,Kanisa ndio waasisi wa Ufisadi Tanzania,ndio mana adui yao mkubwa ni ujamaa na uislamu,ukisoma kitabu cha prof Huntington na john Sivalon utajua mfumo kiristo wa nchi yetu.ha ha ha inachekesha sana mtu anavyofagilia MOU na kansa inayolitafuna taifa
Mtaongea vibaya kuhusu huduma za makanisa, lakini kesho mtapeleka wagonjwa huko, mna watoto mnaowapeleka kusoma katika shule hizo, sawa na kukata tawi ulilolikalia. Viongozi wengi waandamizi serikalini kutoka dini mbalimbali na wakana dini wengi wamepitia shule hizo. Basi waungwana na wastaarabu wanaona bora kunyamaza kwa ajili ya kutunza amani maana ukimnyanyulia jambia kichaa utaonekana we ndo mwenye tatizo.