Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Swala siyo nani anapata huduma hiyo? kwani hata private schools (ambazo hazipewe ruzuku kila mtu anapata)

Swala ni kwanini kanisa lipendelewe pekee yake na kupewa ruzuku ya umma..

Wakati hata bei zao hospitalini na shuleni ni sawa na private

Mbona waislamu wanaendesha shule na hospitali zao bila ruzuku..

Sina uhakika, na sidhani kama kanisa limependelewa mkuu (kama una data naomba unisahihishe). Hizi huduma za afya na elimu zinazoendeshwa na NGOs sio mara zote ni kwa faida ya biashara. Ndio maana nilisema kama mgonjwa ana option ya kuchagua huduma ya serikali iliyo sawa, au bora zaidi na nafuu zaidi basi angefanya hivyo.

Data ninazotaka unipe (nimeshaomba kwa watu kadhaa humu jukwaani bila mafanikio, naamini we utanijibu) ni kama kuna NGO nyingine zaidi ya kanisa iliyowahi kuandaa au kupendekeza MoU yeney lengo linaloshabihiana na MoU tunayoiongelea hapa ikakataliwa. Je, ipo?
 
Unaenda palepale?

Swala si mgonjwa kuchagua hospitali ya kwenda

Swala ni uhalali wa serikali ku-finance mradi wa kanisa (shule/hospitali) why? upendeleo au udini?

Mbona waislam/private etc hawapati hizo funds?
 
Je, maana serikali ambayo inadaiwa kufanya hii MoU inaongozwa na Chama gani?

Tatizo lako mkuu ni tricks na kutumikia mfumo..

Ukishaona kanisa linapata (mfumo) hata kwa kuiba kutoka kwa pesa za umma lazima uanze kuuma umma na kukwepa kwepa kusema ukweli...

Hiyo cost kubwa tunayo pata katika taifa hili kwakuwa na wasomi wengi wa kikristo (hata akiwa na akili kiasi gani) lazima ahamishe hazina ya taifa kanisani..

Si kwamba utapata dhawabu kwa kufanya hivyo (ufisadi ni ufisadi tu, dhulma ni dhulma tu) ..get it.
 
Zing,

Angalia usije kuadhirika tu maana unazungumza na mtu makini na najua nini nazungumza ulitaka kujua kifungu gani kimebadilishwa? Soma hapa namnukuu Sheikh Mohamed Said katika paper yake Christian Hegemony and Rise of Muslim militancy. anasema hivi;

Niadhirike kwa kitu gani wakati mimi sio tu najua nini nachonadika bali nimeishi mijini , kijijini na porini. Nimeishi sehemu wagonjwa wanatolewa hopitali ya MKoa(mjini) wanapelekwa porini hosopitali ya misheni. haya mambo kijana wa dar mwanza, Aarusha mjini huwezi kuyaelwa.
Waati wewe unauliza kwa nini serikali inatoa ruzku kwa hospitali za kanisa mimi najiiliza kwanini 40KM kutoka wilayani hakuna hospitali ya serikali zaidi ya hiyo ya Kanisa.

This agreement was prepared by Dr. Costa Mahalu , Dar Es Salaam University Faculty of Law
It was prepred after he was consulted. He was cosulted beceuse he was and he is a lawyer. Can you tell us ile ya Ponda ilinadaliwa au alimconsult nani. Na ndio hili jambo nimeligusia na nakuulliza zaidi ya mambo ya kiroho na kwenda peponi Katik taasisi za kiisalmu nani anashughulia au kuwashauri mashekih na mamufti juu ya ambo ya elimu, afya etc . Kuna mmfumo kuna stutrure inayokuballika kueleweka

and was signed by Minister of State in Prime Minister's Office and First Vice-President, Edward Lowassa
Yes it happend aliyesign upande wa serikali alikuwa mkristu lakini baraka zote na ahadi zote ni za Alhaj Mwinyi na alizotoa. Na kabla ya mou aghakaha alishasign MoU

The main purpose of the agreement was to turn over education, health and social services to Christian Council of Tanzania (CCT) and Tanzania Episcopal Conference(TEC).
Turn over!!!!!!!! how? please specify . Objectives of the Mou are within the Mou Document itself. Ukitaka nizinukuu naweza kuzinukuu

These social services were to be run jointly between the government and the Church.
Lol!!!!!! Was the objective the church tu turn over social services or was the objective the government and church to collaborate in proviing social services and making it affordable to general public?Ambiguity and contrradictions
This agreement, that is, the Memorandum of Understanding was prepared and signed without even consulting or informing Muslims.

The government is not obliged to consult religoius institution for matter wich are unrelated to religions . Mou was not about Building a church adjacent to every mosque. A governt is not obliged to consult parokos or sheikhs if it want to change Primary school education to be five years instead of seven. The governemnt did not consult anyone when it singed Mou with Aghakhan.

"In order for the memorandum to take effect the government had to ammend article 30 of the Education Act No. 25 of 1978.
"

Katafute hiyo Act uisome na ujiulize maswali. Narudia tena this MoU is morally wrong and socially illegal period.

khaaa natakiwa nikatiafute. Mimi si ndio nimeomba kujua hicho kipengele kilikuwa kinasemaje na kilibadilishwa kikasemaje. Haya basi w aanufaa ya wanaukubi nipe linka wapi nikipate nitakileta hapa. Ila wakati nasubiri majibu yako nakitafuta.

Anyway ngoja nikitafute lakini kuna hoja zangu hujajibu
 
kwa mfano Muislamu mwenye elimu nzuri na madaraka serikalini naye anatumbukizwa ktk kundi la "THEM" kana kwamba anakwenda kinyume dhidi ya Waislamu wenzake.

wtf.. acha kupotosha watu wewe! Unajua nini kuhusu uislam? Kwahiyo umeona waislam si watu wa kusoma au kuajiriwa serikalini?
 
Unaenda palepale?

Swala si mgonjwa kuchagua hospitali ya kwenda

Swala ni uhalali wa serikali ku-finance mradi wa kanisa (shule/hospitali) why? upendeleo au udini?

Mbona waislam/private etc hawapati hizo funds?

Hili suala la finance shule linatoka wapi au watu mnahamakii tu kuisoma na kuielwa.

Ni shule gani au wapi kwenye Mou kipengele kinaongela kufinance Shule. Kama ni misamaha ya Koi basi hiyo siyo kanisa tu

Je, maana serikali ambayo inadaiwa kufanya hii MoU inaongozwa na Chama gani?

Kwa baadhi wanaotazama shilingi kwa kengeza Kwa sasa chama hicho hicho hakina Kosa sababu kinaongozwa Na Juma . May be akiingia rais John ndio wataanza kutazama shiling pande mbili. Kuna watu akiondoka Rais JUma akaja rais John wa chama hicho hicho basi Naye mwelekeo unabadilika sio sababu ya sera bali sababu jina halivutii

Niadhirike kwa kitu gani wakati mimi sio tu najua nini nachonadika bali nimeishi mijini , kijijini na porini. Nimeishi sehemu wagonjwa wanatolewa hopitali ya MKoa(mjini) wanapelekwa porini hosopitali ya misheni. haya mambo kijana wa dar mwanza, Aarusha mjini huwezi kuyaelwa.
Waati wewe unauliza kwa nini serikali inatoa ruzku kwa hospitali za kanisa mimi najiiliza kwanini 40KM kutoka wilayani hakuna hospitali ya serikali zaidi ya hiyo ya Kanisa.

It was prepred after he was consulted. He was cosulted beceuse he was and he is a lawyer. Can you tell us ile ya Ponda ilinadaliwa au alimconsult nani. Na ndio hili jambo nimeligusia na nakuulliza zaidi ya mambo ya kiroho na kwenda peponi Katik taasisi za kiisalmu nani anashughulia au kuwashauri mashekih na mamufti juu ya ambo ya elimu, afya etc . Kuna mmfumo kuna stutrure inayokuballika kueleweka
Yes it happend aliyesign upande wa serikali alikuwa mkristu lakini baraka zote na ahadi zote ni za Alhaj Mwinyi na alizotoa. Na kabla ya mou aghakaha alishasign MoUTurn over!!!!!!!! how? please specify . Objectives of the Mou are within the Mou Document itself. Ukitaka nizinukuu naweza kuzinukuu

Lol!!!!!! Was the objective the church tu turn over social services or was the objective the government and church to collaborate in proviing social services and making it affordable to general public?Ambiguity and contrradictions
The government is not obliged to consult religoius institution for matter wich are unrelated to religions . Mou was not about Building a church adjacent to every mosque. A governt is not obliged to consult parokos or sheikhs if it want to change Primary school education to be five years instead of seven. The governemnt did not consult anyone when it singed Mou with Aghakhan.

khaaa natakiwa nikatiafute. Mimi si ndio nimeomba kujua hicho kipengele kilikuwa kinasemaje na kilibadilishwa kikasemaje. Haya basi w aanufaa ya wanaukubi nipe linka wapi nikipate nitakileta hapa. Ila wakati nasubiri majibu yako nakitafuta.

Anyway ngoja nikitafute lakini kuna hoja zangu hujajibu

Hoja gani sijaijibu?

Umeniuliza kuhusu huduma za hospitali na mashule vijijini? Hilo nimeshalizungumzia tangu zamani je kama wanatoa huduma huko vijijini kuna haja gani wananchi maskini vijijini wakalipia hizo gharama? Tena hospitali zengine gharama za matibabu ni aghali kuliko private or government hospitals sasa nikuulize wewe zile Bilioni 91 za nini wanazopewa na serikali?

Umeniuliza kuhusu MoU ya akina Sheikh Ponda mie nishasema huo waraka sina ila ulitajwa na Sheikh Mohamed Said kwanini usiwaulize Serikali lazima watakuwa na kopi kama kumbu kumbu yao kabla hawajawakatalia akina sheikh ponda.

Umenichallenge kuhusu sheria kubadilishwa nimekupatia Article 30 of the Education Act No 25 of 1978. Sasa unataka nikupatie link ya act yenyewe duh wewe hasa mwisho!

Hoja gani hasa unataka nijibu??? Kaitafute mwenyewe hiyo Act uisome ya mwaka 1978 na amendments zilizofanyika baada ya hapo.
 
Tatizo lako mkuu ni tricks na kutumikia mfumo..

Ukishaona kanisa linapata (mfumo) hata kwa kuiba kutoka kwa pesa za umma lazima uanze kuuma umma na kukwepa kwepa kusema ukweli...

Hiyo cost kubwa tunayo pata katika taifa hili kwakuwa na wasomi wengi wa kikristo (hata akiwa na akili kiasi gani) lazima ahamishe hazina ya taifa kanisani..

Si kwamba utapata dhawabu kwa kufanya hivyo (ufisadi ni ufisadi tu, dhulma ni dhulma tu) ..get it.

Kanisa ndilo linaloongoza serikali siyo?
 
Hili suala la finance shule linatoka wapi au watu mnahamakii tu kuisoma na kuielwa.

Ni shule gani au wapi kwenye Mou kipengele kinaongela kufinance Shule. Kama ni misamaha ya Koi basi hiyo siyo kanisa tu

Mkuu unatumia msuli mkubwa kutetea ufisadi wa kanisa kwa mali ya umma (udini unakupofusha mkuu)

Soma article VIII...ya MoU hapo juu.

"Tafsiri yangu " serikali itatoa fedha kwenye shule zinazomilikiwa na kanisa pamoja na kutafauta misaa nje ya nchi kwa niaba ya kanisa"..

Why should goverment do all this for church owned schools?

While maaskofu hawataki hata nchi ijiunge na OIC wakati wanataka serikali itafute misaada kwa niaba ya miradi yao...

Acheni hizo bana huu ni udini uliokithiri na wasomi wengi kama wewe lazima kutetea? hapo ndipo napata shida kama pesa za umma zitakuwa salama kweli??
 
Swala siyo nani anapata huduma hiyo? kwani hata private schools (ambazo hazipewe ruzuku kila mtu anapata)

Swala ni kwanini kanisa lipendelewe pekee yake na kupewa ruzuku ya umma..

Wakati hata bei zao hospitalini na shuleni ni sawa na private

Mbona waislamu wanaendesha shule na hospitali zao bila ruzuku..

Tehe tehe,Dhi-Nureyn Bwana,Tatizo lenu mnafikiri mita 100 tu,mwaka 1998 Mkajenga Misikiti Mwanzo wa Lami-Dar mpaka mwisho wa lami-Mbeya.Kumbe mngejenga miwili tu,nyingine mkawekeza kwenye zahanati na shule,hapo tungewasaidia kuandamana kama serikali inawanyimaa Ruzuku iwapatie.Sasa mnataka ruzuku mjenge mingine Dar to Kigoma sio? Quoting MwanaHALISI Saed Kubenea tar.2-8 uk.3"Kwa mfano Serikali haiwezi kuwa inatoa fedha za ruzuku au misamaha ya kodi kwa taasisi zinazotoa huduma za kijamii kwa lengo la kubeba ukristo.Inafanya hivyo kutokana na kuelemewa na mzigo wa uendeshaji serikali;mzigo unaotokana na kufika ukomo wa kufikiri katika kuhudumia wananchi",Ukiona serikali haina uwezo wa kujenga na kuendesha hospitali zake yenyewe zinazokidhi mahitaji ya wananchi wake,haiwezi kuendesha shule,vyuo vya elimu ya juu(mikopo kwa upendeleo kama mke wa riz1) wala vyuo vya ufundi vyenye hadhi na viwango vinavyohitajika,basi ujue hapo kuna tatizo.Matokeo yake Serikali inaamua kujisalimisha kwa wahisani wa nje au ndani.Baadhi yao ni madhehebu ya kidini".............Anaendelea Kubenea,Wakati taasisi za kikristo zinamiliki msululu wa hospitali zikiwamo Bugando Medical Center(Sasa CUHAS-Catholic University of Health and Allied Sciences),Kilimanjaro Christian Medical Center(KCMC)-(Humo wanasoma hadi Waislam tena Madaktari wazuri kweli wakihitimu,wala hawajabagua kwamba wasome wakristo tu.KAMA MLIVYO WAISLAM WATUPU PALE MOROGORO ISLAMIC UNIVERSITY,wenyewe waislam watupu kudadeki kwa msisitizo.)na hospitali za wilaya karibu 28 nchi nzima,Madhehebu ya Kiislam hayana hata hospitali moja ya rufaa wala hospitali yenye hadhi ya kuitwa hospitali ya mkoa au wilaya,imeishia kwenye vituo vya afya na zahanati(Kazi kujenga misikiti tu hata kama kuna muumini mmoja,Nenda Engaruka wanakokaa wasomali siju hata kama wanafika watano na msikiti pembeni).Kwenye Vyuo siwezi kuandika hapa nimechoka,ukitaka kujua alichosema kubenea tafuta gazeti,itoshe tu kusema Waislam wana chuo kikuu kimoja chenye majengo ya Serikali ya TANESCO(Bora wangeuza wawalipe Dowans tu).
Sasa Wewe Jombaaa unaposema mbona waislam wanaendesha shule na hospitali zao bila ruzuku inaniwia vigumu kukuelewa kidogo,shule zipi na hospitali zipi?Tayari Chuo Kikuu mmepewa bure,unafahamu thamani ya yale majengo ya Tanesco?Zahanati ya mikumi sijawahi ona wagonjwa wakienda au hata kutoka pale,wanajua patakuwa furu madrasa tu(Maana nimepita juzi kati naona kuna vyumba vinajengwa pale kama madarasa vile,au ndio ward za kulaza wagonjwa?).Jumuikeni kwenye jamii kidogo,hasa vijijini kama Engaruka kule,ili mnaposema serikali iache kutoa ruzuku kwa makanisa muwe mnawasemea watu kweli na sio huo ubinafsi wa kujiangalia nyie wa mjini tu,maana mnao uhuru wa kwenda zahanati au hospitali za Kikristo,Serikali au za Kiislam,Vijijini hawana alternative ndugu zangu,acheni ubinafsi waoneeni huruma wengine vijijini hata kidogo basi.Ntarejea punde.
 
Hoja gani sijaijibu?

Umeniuliza kuhusu huduma za hospitali na mashule vijijini? Hilo nimeshalizungumzia tangu zamani je kama wanatoa huduma huko vijijini kuna haja gani wananchi maskini vijijini wakalipia hizo gharama? Tena hospitali zengine gharama za matibabu ni aghali kuliko private or government hospitals sasa nikuulize wewe zile Bilioni 91 za nini wanazopewa na serikali?

Umeniuliza kuhusu MoU ya akina Sheikh Ponda mie nishasema huo waraka sina ila ulitajwa na Sheikh Mohamed Said kwanini usiwaulize Serikali lazima watakuwa na kopi kama kumbu kumbu yao kabla hawajawakatalia akina sheikh ponda.

Umenichallenge kuhusu sheria kubadilishwa nimekupatia Article 30 of the Education Act No 25 of 1978. Sasa unataka nikupatie link ya act yenyewe duh wewe hasa mwisho!

Hoja gani hasa unataka nijibu??? Kaitafute mwenyewe hiyo Act uisome ya mwaka 1978 na amendments zilizofanyika baada ya hapo.

MoU ya kina ponda mimi nimeiona lakini yale ni maombi mkuu,

Inakuwa MoU ikishasainiwa..sasa huwezi kuongelea maombi yako kwa serikali kwenye JF..

Siku wakikubali wakasaini bila shaka itafaaa kujadiliwa
 
Tehe tehe,Dhi-Nureyn Bwana,Tatizo lenu mnafikiri mita 100 tu,mwaka 1998 Mkajenga Misikiti Mwanzo wa Lami-Dar mpaka mwisho wa lami-Mbeya.Kumbe mngejenga miwili tu,nyingine mkawekeza kwenye zahanati na shule,hapo tungewasaidia kuandamana kama serikali inawanyimaa Ruzuku iwapatie.Sasa mnataka ruzuku mjenge mingine Dar to Kigoma sio? Quoting MwanaHALISI Saed Kubenea tar.2-8 uk.3"Kwa mfano Serikali haiwezi kuwa inatoa fedha za ruzuku au misamaha ya kodi kwa taasisi zinazotoa huduma za kijamii kwa lengo la kubeba ukristo.Inafanya hivyo kutokana na kuelemewa na mzigo wa uendeshaji serikali;mzigo unaotokana na kufika ukomo wa kufikiri katika kuhudumia wananchi",Ukiona serikali haina uwezo wa kujenga na kuendesha hospitali zake yenyewe zinazokidhi mahitaji ya wananchi wake,haiwezi kuendesha shule,vyuo vya elimu ya juu(mikopo kwa upendeleo kama mke wa riz1) wala vyuo vya ufundi vyenye hadhi na viwango vinavyohitajika,basi ujue hapo kuna tatizo.Matokeo yake Serikali inaamua kujisalimisha kwa wahisani wa nje au ndani.Baadhi yao ni madhehebu ya kidini".............Anaendelea Kubenea,Wakati taasisi za kikristo zinamiliki msululu wa hospitali zikiwamo Bugando Medical Center(Sasa CUHAS-Catholic University of Health and Allied Sciences),Kilimanjaro Christian Medical Center(KCMC)-(Humo wanasoma hadi Waislam tena Madaktari wazuri kweli wakihitimu,wala hawajabagua kwamba wasome wakristo tu.KAMA MLIVYO WAISLAM WATUPU PALE MOROGORO ISLAMIC UNIVERSITY,wenyewe waislam watupu kudadeki kwa msisitizo.)na hospitali za wilaya karibu 28 nchi nzima,Madhehebu ya Kiislam hayana hata hospitali moja ya rufaa wala hospitali yenye hadhi ya kuitwa hospitali ya mkoa au wilaya,imeishia kwenye vituo vya afya na zahanati(Kazi kujenga misikiti tu hata kama kuna muumini mmoja,Nenda Engaruka wanakokaa wasomali siju hata kama wanafika watano na msikiti pembeni).Kwenye Vyuo siwezi kuandika hapa nimechoka,ukitaka kujua alichosema kubenea tafuta gazeti,itoshe tu kusema Waislam wana chuo kikuu kimoja chenye majengo ya Serikali ya TANESCO(Bora wangeuza wawalipe Dowans tu).
Sasa Wewe Jombaaa unaposema mbona waislam wanaendesha shule na hospitali zao bila ruzuku inaniwia vigumu kukuelewa kidogo,shule zipi na hospitali zipi?Tayari Chuo Kikuu mmepewa bure,unafahamu thamani ya yale majengo ya Tanesco?Zahanati ya mikumi sijawahi ona wagonjwa wakienda au hata kutoka pale,wanajua patakuwa furu madrasa tu(Maana nimepita juzi kati naona kuna vyumba vinajengwa pale kama madarasa vile,au ndio ward za kulaza wagonjwa?).Jumuikeni kwenye jamii kidogo,hasa vijijini kama Engaruka kule,ili mnaposema serikali iache kutoa ruzuku kwa makanisa muwe mnawasemea watu kweli na sio huo ubinafsi wa kujiangalia nyie wa mjini tu,maana mnao uhuru wa kwenda zahanati au hospitali za Kikristo,Serikali au za Kiislam,Vijijini hawana alternative ndugu zangu,acheni ubinafsi waoneeni huruma wengine vijijini hata kidogo basi.Ntarejea punde.

Hapa hujaongea kitu..ni kejeli tu..

Jipange upya

Bado kanisa linaiba kutoka serikali pesa za kuendesha miradi yake..period

Shule ziko nyingi usipandie treni kwa mbele..soma thread nzima ndio uje na bandiko lako hapa
 
Wakati Kanisa linabisa "kutoka serikalini pesa" hiyo serikali inakuwa wapi, inajua au haijali kuwa inabiwa na kanisa?
 
Mkuu umesahau na hii ya islamic banking na sharia banking za nbc na stanbic.
Hawa wenzetu wanapotezwa na watu wachache kama Mohamed Said wenye malengo fulani. Kama wangejua hii miradi ya jamii inawasaidia akina nani nadhani wangetoa hata machozi.
 
Kanisa =epa =richmond =doawns

Tofauti ni milango ya kuingilia pesa za umma

Watetezi wake ni sawa watetezi wa richmond/doawns/epa =akiwemo mwanakijiji
 
MoU ya kina ponda mimi nimeiona lakini yale ni maombi mkuu,

Inakuwa MoU ikishasainiwa..sasa huwezi kuongelea maombi yako kwa serikali kwenye JF..

Siku wakikubali wakasaini bila shaka itafaaa kujadiliwa
kama bado ni maombi hoja kwamba MoU yenu imekataliwa imetoka wapi?
 
Mkandara,

..lakini hakuna mahali katiba imeelekeza kwamba Waislamu hawawezi kuandikishana mou kama walivyofanya Wakristo.

..infact unachoweza kusema ni kwamba hii mou inaweza kuleta vurugu ambapo kila dhehebu la dini nchini linaweza kudai nalo liandikishwe mou ili kutoa huduma kwa jamii.

..swali ambalo wengi wanalikwepa ni kwanini Waislamu wameishia kulalamika tu toka 1992 bila na wao kuandaa mou na kusaini na serikali? Kuna wanaotoa kisingizio cha mou ya Sheikh Ponda, bila kubainisha kwamba Sheikh huyo amekuwa na mikwaruzano ya muda mrefu na serikali.

..vilevile kuna Waislamu wamepewa majengo na serikali kuanzisha Chuo Kikuu in Morogoro. Je hao wamepewa bila maandishi au "mou"? Vilevile kwanini kumuenzishwa chuo kikuu cha Waislamu, na si hospitali ya wilaya/mkoa/rufaa ya Waislamu? Je, ni suala la kukosa uwezo au utaalamu, au both?

..binafsi nadhani mjadala na malalamiko kuhusu "mou" na the so called "mfumo Kristo" unawanyima nafasi Waislamu kuji-saili wenyewe na kuona ni wapi wanakosea ktk kuyashughulikia matatizo yanayowakabili.

..Lets say leo hii serikali inatoa tamko kusitisha mou yake na taasisi za Kiislamu, je hiyo ndiyo suluhu ya matatizo yanayowakabili Waislamu nchi hii? Mind u, kuna kipindi shule zilikuwa zimetaifishwa, pass mark imeteremshwa[which is affirmative action of some sort] kwa ajili ya jamii za pembezoni, Waislamu included, but look at what we ended up with.

NB:

..halafu hili suala la "WE" vs "THEM" naona hata limehamia miongoni mwa Waislamu wenyewe. kwa mfano Muislamu mwenye elimu nzuri na madaraka serikalini naye anatumbukizwa ktk kundi la "THEM" kana kwamba anakwenda kinyume dhidi ya Waislamu wenzake.
Mkuu labda huelewi tunachozungumza hapa. Ni kwamba sheria na haki kwa waislaam imepotezwa kwa kutokea Muafaka huu wa MoU, ni makosa yaliyofanyika na nadhani kama umeisoma vizuri nakuomba jaribu kupitia kila sehemu ambayo kuna kanisa weka Muslim Trust Fund halafu unambie kama utaiona sawa au iandike upya na weka Muslim Trust Fund kisha mwonyeshe Mkristu yeyote ambaye hajawahi kusikia kitu hii ummulize anajisikia vipi?..

Kifupi Mdondoaji kaweka kipande hiki hapa:- This agreement was prepared by Dr. Costa Mahalu , Dar Es Salaam University Faculty of Law and was signed by Minister of State in Prime Minister's Office and First Vice-President, Edward Lowassa. The main purpose of the agreement was to turn over education, health and social services to Christian Council of Tanzania (CCT) and Tanzania Episcopal Conference(TEC). These social services were to be run jointly between the government and the Church. This agreement, that is, the Memorandum of Understanding was prepared and signed without even consulting or informing Muslims. In order for the memorandum to take effect the government had to ammend article 30 of the Education Act No. 25 of 1978."

Kipande hiki pekee ni makosa makubwa sana na hata kama ingekuwa vipi huwezi kuhalalisha mkataba huu kwa kuupaka mafuta kwamba Waislaam nao waombe. Katiba haitengenezwi hivyo hata kidogo. Na wala serikali haitakiwi kujihusisha na maswala ya dini kama inavyokataa kupitisha na kuitambua mahakama ya kadhi lakini serikali ipo radhi kushirikiana na kanisa ktk maswala ya elimu..

Hili neno kushirikiana tayuari kunaifanya serikali kuwa na dini maana inashirikana na kanisa, hii inaondoa kabisa madai ya kwamba serikali haina dini na ndipo mfumo Kristu unapoingia.. Sema tu kwamba hili neno mfuko kristu ni zito sana kwa Wakristu lakini nakuomba chukulia tu kaa ni mfumo wa kiutawala uloandaliwa na wakoloni wakitumia makanisa kuweza kutawala nchi na kuwagawa wananchi ktk makundi wanaotakiwa kupewa elimu bora. Huko rwanda haikuwa swala la dini walifanya hivyo kwa kuwapa watutsi elimu wakawanyima Wahutu kwa sababu hizo hizo za kupendelea upande mmoja ili wapate kuwatawala.. Who knows pengine CCM nayo inatumia mfumo huu kiukweli ktk kutugawa..

Na hkuhusu swala la waislaam waliopata ama wanaopata elimu bora hawa hawana tofauti na watu weusi kule South Afrika waliopata elimu bora kina Oliver Tambo, Nelson Mandela Walter Sisulu na kadhalika waliosoma Fort Hale University lakini ni weusi wangapi walioweza kwenda kusoma pale?...na bahati yao walikuwa Wakristu just imagine kama hawa watu wangekuwa Waislaam!...Kwa hiyo, kuwepo kwa waislaam ktk shule hizi za makanisa haiwezi kujenga uhalali wa kuwepo kwa sheria hii kikatiba hata kama. Nakuomba ulitazame swala hili kwa kuvaa viatu vya Muislaam na sio kujaribu kutazama uwezekano wa Waislaam nao kupatiwa muafaka wakati muafaka pekee unajenga Uhasama baina yetu..

Kutokana na MoU ndio maana hapa JF na ktk mada hii tumeshindwa kuelewana na wengine hadi matusi yanawatoka,. hii yote ni kutuonyesha sisi makosa makubwa yaliyofanywa laa sivyo isingekuwa issue ambayo sasa hivi imeanza kuwa personal hata hapa janvini...MoU haikutakiwa kabisa kufanyika kama mnavyokataa mahakama ya kadhi kwa sababu nyie hamna mahakama ya kadhi na ndivyo Waislaam hawana shule za misikiti isipokuwa ni kazi ya Kaizali. Na mwisho mkuu wangu mkataba wa Dowans ulikuwa makosa na serikali imejaribu sana kuupamba lakini haiwezi kubadilisha nyoyo za wananchi kwa sababu yalikuwa makosa toka mwanzo, hivyo pengine hizo shule zibadilishwe na kuwa shule za mashirika au watu binafsi na wasipewe ruzuku zetu. Hatukubali kama mnavyokataa kodi zenu kutumikia mahakama ya kadhi ingawa waislaam hawaelewi kwa nini hamtaki!
 
Mkuu umesahau na hii ya islamic banking na sharia banking za nbc na stanbic.
Hawa wenzetu wanapotezwa na watu wachache kama Mohamed Said wenye malengo fulani. Kama wangejua hii miradi ya jamii inawasaidia akina nani nadhani wangetoa hata machozi.

Kwani shule na hospitali za waislamu hazitoi msaada kwa jamii mbona hawapewi special treatment kama za kanisa?
 
Kanisa =epa =richmond =doawns

Tofauti ni milango ya kuingilia pesa za umma

Watetezi wake ni sawa watetezi wa richmond/doawns/epa =akiwemo mwanakijiji
Kuna ndugu zako waislam wengi tu wanaofaidika na hii miradi ambao wanaweza kuwa watetezi mara 100 zaidi ya mwanakijiji.
 
Back
Top Bottom