johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ha ha ha haaaa!!! Kwa kuwa wewe na mdau muhimu kwenye masuala ya bandari. Ufafanulie umma wa Wana JF na ulimwengu kwa ujumla namna " jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa" linavyozingatiwa kwenye Article 23 ya makubaliano/mkataba ambao Mwenzako Faiza Foxy katafsiri kwa msaada wa google kisha kuweka hapa jamvini.Haijakaa vizuri according to who? Yaaani nyie msiojua hata mambo ya bandari na hali ya nchi ndo msitishe jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa ?
Mtindo wa kuuza raslimali za wananchi kwa waarabu.Sio kwa mtindo huo kivipi?
Huyu msukuma itakuwa alitumwa kuwasilisha mada ili muandaliwe kisaikolojia. Vyovyote iwavyo, wame mess up kwenye timing. Wstu watajiuliza, wezi waliohusika ripoti ya CAG wamewekwa pending lakini masuala ya kukodishwa bandari linaletwa kwa dharura.Mbona Msukuma aliongelea hilo swala mapema sana kuwa wapo walioenda Adan Ports na wengine wakaenda DPW.
Afu kama hawakuandamana waache lalamika
Now you know!Sipingi huja ya mbunge lkn Kuna shida nyingine naiona kwa sisi wa bongo.
Hivi mbunge atoke Tanzania hadi Dubai hajui alienda kufanya nn? Hatupo serious kiasi hiki kweli?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kipengele gani ch mkataba kimesema rasilimali zimeuzwa?Mtindo wa kuuza raslimali za wananchi kwa waarabu.
Wewe una uthibitisho upi kuwa mkataba uliopitishwa utahakikisha Ulinzi na USALAMA wa Nchi yetu dhidi ya vitisho vya ugaidi?Kama huna uthibitisho kwa nini unasema kitu humu?
Wakati wanaondoka waliambiwa wanaenda kutembelea dpw kuona utendaji uliotukuka. Walipofika Dubai wakaishia mahotelini wakatanua halafu wakarudishwa. Ndo anashàngaa walienda kufanya nini.Amenisikitisha sana huyo mbunge na hiyo statement yake, yaani hakujua hata malengo ya safari yeye amekurupuka tu kufurahia shopping ya Dubai? Loh!
Una changamoto gani na Article 23? Shida yako iko wapi? Sema nikupe ufafanuziHa ha ha haaaa!!! Kwa kuwa wewe na mdau muhimu kwenye masuala ya bandari. Ufafanulie umma wa Wana JF na ulimwengu kwa ujumla namna " jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa" linavyozingatiwa kwenye Article 23 ya makubaliano/mkataba ambao Mwenzako Faiza Foxy katafsiri kwa msaada wa google kisha kuweka hapa jamvini.
Link ya uzi wa Faiza Foxy hii hapa Chini.
DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)
MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI https://www.jamiiforums.com/attachments/dar_port_contract_mkataba-pdf.2682567/ UTANGULIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, iliyowakilishwa ipasavyo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (“Tanzania”) na...www.jamiiforums.com
Kwani ni jukumu la mkataba kuhakikisha ulinzi wa vitisho dhidi ya ugaidi?Wewe una uthibitisho upi kuwa mkataba uliopitishwa utahakikisha Ulinzi na USALAMA wa Nchi yetu dhidi ya vitisho vya ugaidi?
Sina lingine,Kwani ni jukumu la mkataba kuhakikisha ulinzi wa vitisho dhidi ya ugaidi?
Tangu lini masuala ya ulinzi wa nchi yetu yakawekwa kwenye mikataba ya uwekezaji au ushirikiano wa uwekezaji?
Masuala ya Ulinzi wa nchi yetu yanasimamiwa na vyombo vyetu vya ulinzi wa usalama na hakuna popote pale mwekezaji amewahi kupewa kazi ya kushughulikia masuala ya ulinzi na usalama wa nchi yetu.
Una lingine?
Hongera kwa kutambua kuwa sio level yanguSina lingine,
Tafuta wengine wa level Yako ujibizane nao.
Narudia nilichouliza ufafanueUna changamoto gani na Article 23? Shida yako iko wapi? Sema nikupe ufafanuzi
Weka mkataba hapa tukuonyeshe vifungu.Kipengele gani ch mkataba kimesema rasilimali zimeuzwa?
Kwa hiyo wewe unasema nchi imeuzwa na mkataba hauna?Weka mkataba hapa tukuonyeshe vifungu.
Ww ndio unao, uweke hapa uone kama utaendelea kuja kutetea wahuni.Kwa hiyo wewe unasema nchi imeuzwa na mkataba hauna?
Article 23 inazungumzia Duration and Termination. Muda wa Mkataba na Kusitishwa kwake na kimeelezea mazingira ya usitishwaji/ kukoma. Kwangu naona mazingira yote yako sawa na maslahi ya Taifa yamezingatiwa. Wewe shida yako ni nini?Narudia nilichouliza ufafanue
===
Ufafanulie umma wa Wana JF na ulimwengu kwa ujumla namna " jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa" linavyozingatiwa kwenye Article 23 ya makubaliano/mkataba