Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

Nakumbuka 1995 Nccr Mageuzi ndio Ilikuwa na wabunge wengi Kwenye kambi ya upinzani ikifuatiwa na CUF kisha Chadema

Lakini Chadema ndio ilionekana ina Wabunge makini wanaotema Madini na wasiotetereka tena hawana Bei migongoni mwao

Mbunge wa Nkasi mh Aida Khenani ananikumbusha Makali ya Enzi zile

Mungu wa mbinguni amlinde Aida!
 
Haijakaa vizuri according to who? Yaaani nyie msiojua hata mambo ya bandari na hali ya nchi ndo msitishe jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa ?
Ha ha ha haaaa!!! Kwa kuwa wewe na mdau muhimu kwenye masuala ya bandari. Ufafanulie umma wa Wana JF na ulimwengu kwa ujumla namna " jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa" linavyozingatiwa kwenye Article 23 ya makubaliano/mkataba ambao Mwenzako Faiza Foxy katafsiri kwa msaada wa google kisha kuweka hapa jamvini.

Link ya uzi wa Faiza Foxy hii hapa Chini.

Mbona Msukuma aliongelea hilo swala mapema sana kuwa wapo walioenda Adan Ports na wengine wakaenda DPW.

Afu kama hawakuandamana waache lalamika
Huyu msukuma itakuwa alitumwa kuwasilisha mada ili muandaliwe kisaikolojia. Vyovyote iwavyo, wame mess up kwenye timing. Wstu watajiuliza, wezi waliohusika ripoti ya CAG wamewekwa pending lakini masuala ya kukodishwa bandari linaletwa kwa dharura.
 
Amenisikitisha sana huyo mbunge na hiyo statement yake, yaani hakujua hata malengo ya safari yeye amekurupuka tu kufurahia shopping ya Dubai? Loh!
Wakati wanaondoka waliambiwa wanaenda kutembelea dpw kuona utendaji uliotukuka. Walipofika Dubai wakaishia mahotelini wakatanua halafu wakarudishwa. Ndo anashàngaa walienda kufanya nini.
 
Ha ha ha haaaa!!! Kwa kuwa wewe na mdau muhimu kwenye masuala ya bandari. Ufafanulie umma wa Wana JF na ulimwengu kwa ujumla namna " jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa" linavyozingatiwa kwenye Article 23 ya makubaliano/mkataba ambao Mwenzako Faiza Foxy katafsiri kwa msaada wa google kisha kuweka hapa jamvini.

Link ya uzi wa Faiza Foxy hii hapa Chini.

Una changamoto gani na Article 23? Shida yako iko wapi? Sema nikupe ufafanuzi
 
Wewe una uthibitisho upi kuwa mkataba uliopitishwa utahakikisha Ulinzi na USALAMA wa Nchi yetu dhidi ya vitisho vya ugaidi?
Kwani ni jukumu la mkataba kuhakikisha ulinzi wa vitisho dhidi ya ugaidi?

Tangu lini masuala ya ulinzi wa nchi yetu yakawekwa kwenye mikataba ya uwekezaji au ushirikiano wa uwekezaji?

Masuala ya Ulinzi wa nchi yetu yanasimamiwa na vyombo vyetu vya ulinzi wa usalama na hakuna popote pale mwekezaji amewahi kupewa kazi ya kushughulikia masuala ya ulinzi na usalama wa nchi yetu.

Una lingine?
 
Sina lingine,

Tafuta wengine wa level Yako ujibizane nao.
 
Itanichukua muda sana kuamini kwamba nchi Rais,spika na kaho mkuu.Na huyu spika tulienaye mambo yake ni kama ana umri wa miaka 80.
 
Narudia nilichouliza ufafanue
===
Ufafanulie umma wa Wana JF na ulimwengu kwa ujumla namna " jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa" linavyozingatiwa kwenye Article 23 ya makubaliano/mkataba
Article 23 inazungumzia Duration and Termination. Muda wa Mkataba na Kusitishwa kwake na kimeelezea mazingira ya usitishwaji/ kukoma. Kwangu naona mazingira yote yako sawa na maslahi ya Taifa yamezingatiwa. Wewe shida yako ni nini?
 
Back
Top Bottom