Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ana kinga ya kutoshtakiwa!Bunge ni kichaka cha rushwa inabidi kumuwajibisha spika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana kinga ya kutoshtakiwa!Bunge ni kichaka cha rushwa inabidi kumuwajibisha spika
Amejieleza vizuri Sana labda kama hutaki kumuelewa Kwa makusudi. Anasema wakati wanaondoka aliuliza akaambiwa wanakwenda ziara ya mafunzo ili kuona wenzetu wanavyoendesha bandari ili waje waishauri serikali. Baada ya kurudi ndo anakutana na mikataba iliyosainiwa mwaka mmoja nyuma Kwa hiyo kwake ni kama alikwenda hajui Nia halisi ya ziara maana hata barua rasmi ya ofisi ya Spika ilieleza mwaliko pekee wa ziara bila maudhui ya ziara.Sipingi huja ya mbunge lkn Kuna shida nyingine naiona kwa sisi wa bongo.
Hivi mbunge atoke Tanzania hadi Dubai hajui alienda kufanya nn? Hatupo serious kiasi hiki kweli?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Na kwanza safari yenyewe ilikuwa ya ghafla tu maana alikuwa jimboni kwake...Kasema baada ya kuuliza wanaenda fanya nini alijibiwa na Mbalawa wanaenda kujifunza namna wengine wanavyoendesha bandari ili waje kuishauri Serikali.
Siasa za majitaka na kujitafutia umaarufu tu!! Kama ilikuwa hivyo kwa nini hakusema hayo wakati alipata nafasi ya kuchangia bungeni kuhusu huu mkataba?Mbunge wa Nkasi ameviambia vyombo vya habari Mwanasheria mkuu wa Serikali hadi MKATABA wa milele wa bandari ya Tanganyika na waarabu unaletwa bungeni kesho yake hakuwa na taarifa.
"...hilo jambo lililetwa kwa uharaka wa ajabu na nikuhakikishie ndugu WAANDISHI hadi jioni ya kuamkia kesho ya MKATABA ule kuletwa bungeni AG hakuwa na taarifa yeyote!"
Mbunge Aida Khenani.
Mkataba huu ni BATILI, FAKE.Mbunge wa Nkasi ameviambia vyombo vya habari Mwanasheria mkuu wa Serikali hadi MKATABA wa milele wa bandari ya Tanganyika na waarabu unaletwa bungeni kesho yake hakuwa na taarifa.
"...hilo jambo lililetwa kwa uharaka wa ajabu na nikuhakikishie ndugu WAANDISHI hadi jioni ya kuamkia kesho ya MKATABA ule kuletwa bungeni AG hakuwa na taarifa yeyote!"
Mbunge Aida Khenani.
Ubatili wake uko wapi?Mkataba huu ni BATILI, FAKE.
Naamini unavunjika kirahisi ikiwa CCCM itaondoshwa madarakani.
Wabunge kuhongwa,Ubatili wake uko wapi?
Imeuzwaje? Tupe uthibitishoNinapinga kwa nguvu zote kuiuza nchi. Viongozi wa CCM kuuza nchi ni hatari zaidi kiusalama
Tupe uthibitisho wa Mwanasheria Mkuu kutoshurikishwa?Wabunge kuhongwa,
Pia kutomshirikisha mwanasheria mkuu wa Sirikali.
Endapo kama hii ni kweli basi Mkataba huu ni BATILI (Null and Void ab initio) kwa sababu Sheria za nchi hii zinataka Mikataba yote ya Kimataifa ambayo Serikali inaingia, ni lazima ipitiwe kwanza ( yaani ifanyiwe Vetting) na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kabla ya kusainiwa.Mbunge wa Nkasi ameviambia vyombo vya habari Mwanasheria mkuu wa Serikali hadi MKATABA wa milele wa bandari ya Tanganyika na waarabu unaletwa bungeni kesho yake hakuwa na taarifa.
"...hilo jambo lililetwa kwa uharaka wa ajabu na nikuhakikishie ndugu WAANDISHI hadi jioni ya kuamkia kesho ya MKATABA ule kuletwa bungeni AG hakuwa na taarifa yeyote!"
Mbunge Aida Khenani.
Alikuwa anaongea kila saa akawa anakatishwa na miongozo isiyo na kichwa wala miguu. Cha kushangaza spika akawa anataka mjadala ufanyike kwa utashi wake na anayelinda nafasi yake.Siasa za majitaka na kujitafutia umaarufu tu!! Kama ilikuwa hivyo kwa nini hakusema hayo wakati alipata nafasi ya kuchangia bungeni kuhusu huu mkataba?
Alipata nafasi ya kuchangia akaishia kumtetea Mbowe na kuweka clip ya Mbowe tuseme hili halikuwa na umuhimu wa kulisema bungeni wakati ana kinga anapoongea?
Hizi kisheria tunaziita after thought. Anajitafutia umaarufu tu
Alisema waziwazi bungeni na alipinga azimio hilo waziwazi tena ndani ya BungeSiasa za majitaka na kujitafutia umaarufu tu!! Kama ilikuwa hivyo kwa nini hakusema hayo wakati alipata nafasi ya kuchangia bungeni kuhusu huu mkataba?
Alipata nafasi ya kuchangia akaishia kumtetea Mbowe na kuweka clip ya Mbowe tuseme hili halikuwa na umuhimu wa kulisema bungeni wakati ana kinga anapoongea?
Hizi kisheria tunaziita after thought. Anajitafutia umaarufu tu
Kwenye hayo aliyokatishwa akiwa anaongea hakuna sehemu aliposema mwanasheria mkuu hakushirikishwa? Kwa nini tuamini maneno yake saivi?Alikuwa anaongea kila saa akawa anakatishwa na miongozo isiyo na kichwa wala miguu. Cha kushangaza spika akawa anataka mjadala ufanyike kwa utashi wake na anayelinda nafasi yake.
Bado pamoja na kutatizwa na Spika bado alikataa hilo azimioAlikuwa anaongea kila saa akawa anakatishwa na miongozo isiyo na kichwa wala miguu. Cha kushangaza spika akawa anataka mjadala ufanyike kwa utashi wake na anayelinda nafasi yake.
Katibu mkuu wa bunge. Isitoshe sheria kwa sasa hazifuatwi kwa hivyo kuanzia serikalini hadi bungeni. Hivyo kichaka cha kisheria hakikubebi.Tupe uthibitisho wa Mwanasheria Mkuu kutoshurikishwa?
Alafu unajua anayewasilisha nyaraka za Serikali za kisheria Bungeni ni nani?
Kwenye kupinga kuna sehemu alisema mwanasheria mkuu hakushirikishwa?Alisema waziwazi bungeni na alipinga azimio hilo waziwazi tena ndani ya Bunge
Nami nikuulize aliyepeleka majina ya COVID-19 bungeni ni nani?Tupe uthibitisho wa Mwanasheria Mkuu kutoshurikishwa?
Alafu unajua anayewasilisha nyaraka za Serikali za kisheria Bungeni ni nani?
Tupe uthibitishoKatibu mkuu wa bunge. Isitoshe sheria kwa sasa hazifuatwi kwa hivyo kuanzia serikalini hadi bungeni. Hivyo kichaka cha kisheria hakikubebi.