Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari..
Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake
• "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu
• "Kwa jinsi mkataba huu ulivyo, naamini hakuna mtanzania aliyeandaa mkataba huu. Ni wazi Rais alikubaliana nao huko alikokutana nao huko akawaambia, andaeni mtuletee, akaletewa draft yake na kusaini tu", Tundu Lissu.
• "Ukimpelekea mkataba huu au document hii mwanasheria mkuu wa serikali au mwanasheria yeyote makini, kabla ya yote atakuambia, umeliwa". Tundu Lissu..
• "Kama Rais au waziri Mbarawa angewapelekea mwanasheria mkuu huko serikalini, lazima wangemwambia 'mh. Waziri, hili hapana, hebu subiri kidogo'..." Tundu Lissu
===================================
CC: FaizaFoxy bitimkongwe Lord denning na "chawa wa mama" wengine mna la kujibu?