Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
- Thread starter
-
- #61
Ofcoz kina Lord denning, Covax & Bi FaizaFoxy and the likes wanadai hii inayoitwa INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT [IGA] kwa ufahamu wao si mkataba bali ni "makubaliano" tu na eti mikataba itakuwa ni ile ya HOST GOVERNMENT AGREEMENTS [HGA]!!Sasa mbona expert in contract negotiation Ndugu Lord denning na covax wanasema ule sio mkataba? Huku nguli wa sheria LISSU anasema ule ndio mkataba wenyew?
This is very ridiculous, right?...
Ni wazi kuwa watetezi wa hii kitu hata hawajui wanatetea nini. Na babati mbaya sana ni kuwa, utetezi wa namna hii hii pia umefanyika ndani ya bunge miongoni mwa wabunge dizaini ya Kasheku Msukuma, Livingstone Lusinde a.k.a Kibajaji waliopaswa kufanya maamuzi wakiwa na akili timamu kwa kwanza kuwa na uelewa na ufahamu wa kutosha wa nini wanachokiridhia (ratify)...
Babati mbaya hawakuwa hivyo. Walikuwa vipofu wa fikra na ufahamu kwa sababu ya rushwa waliyokula ili wawauze Watanganyika zaidi ya milioni 60. Wakavaa ujinga na kutupa ufahamu na akili zao chooni kwa sababu ya tamaa ya fedha..
Sasa ni kweli isiyo na shaka kuwa, rushwa hupofusha fikra za wenye mamlaka. Na hii ni hatari sana kukabidhi madaraka na mamlaka ya maamuzi kwa viongozi dizaini ya kina Samia Suluhu Hassan, Tulia Ackson, Kasheku Msukuma, Livingstone Lusinde, Nnape Nnauye nk ili wafanye maamuzi sahihi na yenye maslahi kwa niaba ya mamilioni ya watanzania..!!