Kwahiyo mnaspin kuwa Hezbola ndio mshindi?!!!ππππ€£Ukweli ni huo mimi nimeona wachana na propoganda za Western media ukweli hupo
Waisraeli wenye msimamo mkali pia wapo.Wa
Waisrael wanalalamika kuwa netanyahu kashindwa vita na amewaaibisha
kwaiyo ww kwa izo akili zako embu tuambie tukuelewe kashinda kupitia vita au mipesa kwenye meza za UN tutajuaje kama US imekubali kujenga maeneo yote yaliopigwa na Hezbullah ipo sana wakati kiu kuu ya Marekani na Israel si kuivunja Hezbullah je inavunjwa!!Kwahiyo mnaspin kuwa Hezbola ndio mshindi?!!!ππππ€£
Israel kafanikiwa LENGO lake kuu kuwarejesha Raia wake KASKAZINI bila tishio la Magaidi ya Hezbola π muhimu sana.
Huwa mnasahau haraka sana MALEGO ya IDF.
Sikiliza wewe resolution 1701 ambayo Israel anacho takiwa kuto gusa Lebanon na kumaliza matatizo ya mipaka na Lebanon, hicho kitu Israel wala hataki kukifata na ndicho kinacho wapa nguvu Hezbullah kukataa kuvunja silaha zao. Sa safari hi Israel kwenye hi ceasefire alitaka kuleta ujinga wake wakusema ana haki ya kupiga Lebanon time anayo taka kama anavyo dai Nyau na Biden, hizo ni kelele za wale backingdog hazipo kwenye agreement ya hio ceasefire kabisa. Hezbullah havunji silaha mpaa pale atahakikisha Israel ka implement resolution 1701 na hicho kitu hakitawezekana, sababu Israel ana matamanio ya Greater Israel π ndoto ya mchana hio ikiwa Lebanon hakuweza akaweze kufika Egypt na Saud Arabia.Kwahiyo mnaspin kuwa Hezbola ndio mshindi?!!!ππππ€£
Israel kafanikiwa LENGO lake kuu kuwarejesha Raia wake KASKAZINI bila tishio la Magaidi ya Hezbola π muhimu sana.
Huwa mnasahau haraka sana MALEGO ya IDF.
Resolution Azimio 1701 lilipitishwa Mwaka 2006 na Israel ikaondoa Vikosi vyake Lebanon lakini Hezbola wakashupaza shingo na haswa Hassan Nasrallah alikuwa ni mbishi sana Gaidi yule.kwaiyo ww kwa izo akili zako embu tuambie tukuelewe kashinda kupitia vita au mipesa kwenye meza za UN
Border demarcation itafanyika baina ya State of Israel na State of Lebanon bila ya kuingiliwa na Wanamgambo wenye Silaha mfano Hezbola,Amal nk.Sikiliza wewe resolution 1701 ambayo Israel anacho takiwa kuto gusa Lebanon na kumaliza matatizo ya mipaka na Lebanon
US, Saud Arabia na UAE wamehonga mipesa huko na kumuambia Hezbullah awachane na issue ya kuwapa support Hamasi. Mabillion yamewekwa kwenye meza si unajua tena wa Lebanon kwa kupenda pesa, wakaongea kikwao ile Shuu bediiy Akthariiy minhekiiy ya ammooπ€£ πkwaiyo ww kwa izo akili zako embu tuambie tukuelewe kashinda kupitia vita au mipesa kwenye meza za UN tutajuaje kama US imekubali kujenga maeneo yote yaliopigwa na Hezbullah ipo sana wakati kiu kuu ya Marekani na Israel si kuivunja Hezbullah je inavunjwa!!
Unakazana kutetea IDF, IDF imetepeta kwa hizbullah,jeshi lilisema zaidi ya mwezi uliopita kwamba limechoka,stock za silaha zimeisha,so vita na hizbullah ilikua viishe tu,halafu walivyokua na hamu ya kuondoka,yaani ndani ya Sasa 24 washaondoka wote kusini mwa LebanonWaisraeli wenye msimamo mkali pia wapo.
Lengo la Magaidi Hezbola kuingia Vitani lilikuwa ni kuwagawanya IDF ili wapunguze Vikosi vyao Gaza na hilo walifanikiwa, na sasa IDF inarudi Gaza ili iendelee kutoa Dozi dhidi ya Magaidi ya Hamas.πUnakazana kutetea IDF, IDF imetepeta kwa hizbullah,jeshi lilisema zaidi ya mwezi uliopita kwamba limechoka,stock za silaha zimeisha,so vita na hizbullah ilikua viishe tu,halafu walivyokua na hamu ya kuondoka,yaani ndani ya Sasa 24 washaondoka wote kusini mwa Lebanon
Usilolijua ni kua Gaza nako inaenda kuwa kimya, IDF wataondoka,wafadhili hawataki kuua watu kwa visingizio vya kijinga,soon sizi faya Gaza inafuata,mambo yanamgeukia netanyahu,mpaka gazeti kongwe zaidi la Israel haaretz limewaita hamas wapigania uhuru,kaamua kuliwekea vikwazo lisipate matangazo ya serikali, ICC kunamngoja,kesi ya ufisasi Israel December hii,nyau kazi anayoLengo la Magaidi Hezbola kuingia Vitani lilikuwa ni kuwagawanya IDF ili wapunguze Vikosi vyao Gaza na hilo walifanikiwa, na sasa IDF inarudi Gaza ili iendelee kutoa Dozi dhidi ya Magaidi ya Hamas.π
Gaza inaenda kukabidhiwa Fattah ya Mahmood Abass, Magaidi wa Hamas hataruhusiwa kuexist Italia inatuma Carabanieri wao ndio watakuwa Polisi kwenye Strip.Usilolijua ni kua Gaza nako inaenda kuwa kimya, IDF wataondoka
Anga la Lebanon hakuna siku limewahi milikiwa na lebanon sasa aloshindwa nani kwenye hii mbungiAngalia Aljazeera muda huu raia kusin mwa Lebanon na kaskazin mwa Israel wanarud unabisha nini. Hezbollah kumbe alibakwa mbaya kabisa. Na Israel kasema anga lao analimiliki
Labda kuna mengine ila kwa nloyaona mie hakuna hiko kipengeleHebu yasome makubaliano yako mitandaoni.
Magaidi ya kweli ysnahitajika ICC, IDF itaondoka Gaza, nyau ataenda jela, Hamas itaendelea kuwepoGaza inaenda kukabidhiwa Fattah ya Mahmood Abass, Magaidi wa Hamas hataruhusiwa kuexist Italia inatuma Carabanieri wao ndio watakuwa Polisi kwenye Strip.
Lakini so far kipigo kinaendelea hadi Mwaka mpyaππ
Dozi baada ya Dozi Magaidi yanazidi kuangamiaπ
Israel itaendelea kuwepo ila Hamas mwisho wao umefika Waisrael walikuwepo kabla hata ya Uisilamu kuvumbuliwa na Muhammad huko Maka.Magaidi ya kweli ysnahitajika ICC, IDF itaondoka Gaza, nyau ataenda jela, Hamas itaendelea kuwepo
Polepole mtakubali tuπ kushabikia Magaidi sio dili kabisa.Labda kuna mengine ila kwa nloyaona mie hakuna hiko kipengele
Sijawahi kushabikia magaidi kama wewe sababu najitambuaPolepole mtakubali tuπ kushabikia Magaidi sio dili kabisa.
Na huu ndio ukweli mchungu ambao wazayuni wa jf hawataki kuusikiaMagaidi ya kweli ysnahitajika ICC, IDF itaondoka Gaza, nyau ataenda jela, Hamas itaendelea kuwepo
Lengo la Magaidi Hezbola kuingia Vitani lilikuwa ni kuwagawanya IDF ili wapunguze Vikosi vyao Gaza na hilo walifanikiwa, na sasa IDF inarudi Gaza ili iendelee kutoa Dozi dhidi ya Magaidi ya Hamas.π