Norbert ntakisigaye
Member
- Feb 5, 2021
- 74
- 103
Mmesikia lakini masharti ya Netanyahu,nendeni mkagoogle.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miji imekua vifusi,alafu mnasema Israel Kashindwa vita.
Sababu za israel kuivamia lebanon kuwadisarm hezbollah, kurudisha wananchi wa north Israel by means of war, na kuwaondoa hezbollah maeneo yote ya south lebanon ila mpaka wanaomba poo hawajaachirve hata goal moja, 😂😂Waulize sawa israel kashindwa vita.. je sababu ya Hezbolah kuanzisha vita ilikuwa nini.. maana kama
Ni kusaidia Hamas mbona wamekubali kusimamisha vita ikiwa hamas anaendelea kuchapika
Wazayuni kwa propaganda hawajamboUnachekesha wewe hapo litani walipita njia za uchochoroni wakaenda kupiga picha wakatoka nduki,
Malengo ya idf yalikuwa ni kuwadisarm hezbollah, kuwarudisha wananchi wa north, na kuwarudiaha hezbollah beyond litani river hawajaaccomplish goal hata moja, na mpaka now hezbollah wanashambulia deep in israel from the north karibu kabisa na mpaka
Wanarudi kakwambia nani hujasikia hotuba ya paka janaSi ndio raia wa kaskazin wanarud nyumban baada ya haya makubaliano
Acha uongo hakuna zayuni atarudi kaskaziniFAFO CEASEFIRE tayari. Netanyahu kakubali mpango wa kusitisha Vita Lebanon.
Raia wa Israel wanarudi North na hakuna Gaidi la kuwagusa tena.
FAFO imeeleweka na Hezbola kapiga magoti kavua na Kanzu.
Nawe twambie sababu ya israhell kuingia Lebanon imefanikiwa maana alisema hatasimamisha vita mpaka wakazi wa kaskazini waregeeWaulize sawa israel kashindwa vita.. je sababu ya Hezbolah kuanzisha vita ilikuwa nini.. maana kama
Ni kusaidia Hamas mbona wamekubali kusimamisha vita ikiwa hamas anaendelea kuchapika
Acha uongoBaby FaizaFoxy haya Masharti waliyokubali Hezbollah angekuwepo Nasrallah asingekubali… siku zote nilikuwa na Mashaka na Huyu kiongozi wao Mpya haiwezekani asiwepo kwenye kila mikutano iliyokuwa inaua viongozi wakuu wa Hezbollah yeye anakuwa haendi, bila Shaka yeye ni asset ya Israel.
Kwenye haya Masharti, Israel itabaki Lebanon kwa siku 60
Jeshi la Lebanon kwa kusaidiana na Marekani na Ufaransa litatakiwa kupita Nyumba kwa nyumba na kila kichaka kuharibu miundombinu ya Hezbollah chini ya Uangalizi wa hizo nchi pamoja na Israel.
Ikitokea Hezbollah wameleta fyoko fyoko Israel inaruhusiwa kufanya operation ya Kijeshi, hii ni Kama ku Surrender.
Mwisho ni Kama Marekani na Ufaransa wanataka kupika Kamgogoro ndani ya Lebanon, Walebanon walikubaliana jeshi lisiwe na nguvu Ila haya makubaliano yako kwa ajili ya kuimarisha jeshi la nchi. now Washia wanachukuliwa nguvu zao za kujilinda… nawatakia amani wanachi wa kawaida wasio magaidi
Kama miji kuwa vifusi ndo goals za vita basi israel kashindaMiji imekua vifusi,alafu mnasema Israel Kashindwa vita.
Wewe mwehu unaona vita ni nzuri si ndio, Hezbullah wamefanya kwa uwezo wao wameonyesha wapo pamoja na ghaza while nchi nyngne zote za kiislam zipo kimya kwa hiyo ni sawa tu vita kuishaBaby FaizaFoxy haya Masharti waliyokubali Hezbollah angekuwepo Nasrallah asingekubali… siku zote nilikuwa na Mashaka na Huyu kiongozi wao Mpya haiwezekani asiwepo kwenye kila mikutano iliyokuwa inaua viongozi wakuu wa Hezbollah yeye anakuwa haendi, bila Shaka yeye ni asset ya Israel.