Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Netanyahu kawaambia kuwa sasa wanajiandaa na Iran mwenye mbwa baada ya kuwatia adabu mbwa wa Hezbola.Wa
Waisrael wanalalamika kuwa netanyahu kashindwa vita na amewaaibisha
Hiyo ni cease fire na makubaliano ni kuwa jeshi ndo liwe mpakani south lebanon na sio wadisolve jeshi la hezbollah, makubaliano mengine wasifanye opareshn yoyote ya kijeshi mpakani.Wameshasaini na saa kumi za usiku saa za Lebanon Bunduki zinanyamaza.
1701👇Disarming all "Armed groups"Hiyo ni cease fire na makubaliano ni kuwa jeshi ndo liwe mpakani south lebanon na sio wadisolve jeshi la hezbollah, makubaliano mengine wasifanye opareshn yoyote ya kijeshi mpakani.
Unachekesha wewe kama wameshindwa ground kuchukua hata mji mmoja atawaweza iran, wananchi wake wenyewe wamempinga muongo muongoooNetanyahu kawaambia kuwa sasa wanajiandaa na Iran mwenye mbwa baada ya kuwatia adabu mbwa wa Hezbola.
We jidanganye Hii agreement ndo ilifanyika 2006 lakini kiko wapi
Sipendi ubishi alamsiki.Unachekesha wewe kama wameshindwa ground kuchukua hata mji mmoja atawaweza iran, wananchi wake wenyewe wamempinga muongo muongooo
Aliyekuwa akishupaza shingo haswa haswa ni Nasrallah lakini sasa Nasrallah hayupo tena Mchezo Umekwisha...We jidanganye Hii agreement ndo ilifanyika 2006 lakini kiko wapi
Hahahaha kawadanganye mapunguani wenzako kawashindwa Hezbollah na Hamas atamuweza Iran.Netanyahu kawaambia kuwa sasa wanajiandaa na Iran mwenye mbwa baada ya kuwatia adabu mbwa wa Hezbola.
Nipo kwenye channel moja ya waisrael telegram, wananchi hawampendi jamaa wanamwita bibi😂😂, wanasema amefeli lebanon na wamwambia amalize vita vya gaza havina maanaHahahaha kawadanganye mapunguani wenzako kawashindwa Hezbollah na Hamas atamuweza Iran.
Wewe shabiki mandanzi hujui chochote.
Waliomba poo ni Israel kupitia Marekani na Ulaya baada ya kuona wanajeshi wao wanakufa hovyo Lebanon na Miji yao inapigwa makombora.
Leo Baraza la Mawaziri la Israel limepiga kura kukubali yaishe😅
Msilize Biden😅😅
View: https://x.com/Osint613/status/1861367816391147833
Ni mjinga pekee aliyekuwa Anamini Hezbollah anaweza kuipiga Israel…
View: https://x.com/Osint613/status/1861503174391046210
Nani anaye kuambia Israel wako ndani ya Lebanon? Hizo point unazo ongelea ni mwaka 2006.Hujaona sehemu inauosema Israel withdraw from Lebanon?
Hahaha mavi yao hio walingilia East Letani tena walishushwa kwa Helicopter ili wachukue Bollywood film ni waongo wakubwa hao, hakuna hata silaha waluzo vunja ziko wapi siwangeonyesha wameweza kupiga picture za Bollywood wako Letani wasionyeshe silaha waluzo vunja. Kama wamefika Letani kwani wameamua kusimamisha vita, wangeweka buffer zone bora mara elfu kuliko kukimbilia kusimamisha vita 🤣 We unambiwa Mto Letan kwa upande wa mashariki ni kama km 1 5 ufike border ya Israel. Hio area huwezi ingiza hata vifaru haha ndipo walipo enda kutengeneza Bollywood film na badaye time wanarudi border wakachapwa vizuri wengine wako hospital kule Haifa.
View: https://x.com/Osint613/status/1861367816391147833
Ni mjinga pekee aliyekuwa Anamini Hezbollah anaweza kuipiga Israel…
View: https://x.com/Osint613/status/1861503174391046210
Si ndio raia wa kaskazin wanarud nyumban baada ya haya makubalianoNa nikakuuliza sababu za israhell kuanzisha vita zimeishaaa
Wanaukumbi.
Yerusalemu
CNN
-
Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba kupita hatua mbaya.
===============
Jerusalem
CNN
—
A ceasefire deal between Israel and the Lebanese militant group Hezbollah is “very close,” a regional source told CNN on Sunday, even as an uptick in Israeli attacks saw the death toll in Lebanon since mid-September pass a grim milestone
👇🏽
Source: CNN Ceasefire deal between Israel and Hezbollah is ‘very close,’ regional source says, as Lebanon death toll climbs | CNN
========================
UP DATE……
View: https://x.com/suppressednws/status/1861515475827486848?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Baraza la Mawaziri walipigo kura jana ya kuomba kisitisha vita mawaziri wote walipiga kura ya kukubali kura 1 tu ya yule chizi alikataa wakamwbia peleka watoto wako wakapigane.😅ntzu katema bungo.
Amesitiriwa aibu na mabasha zake wa kimarekani, ilikuwa kabla ya Trump kuapishwa anyanyue bendera nyeupe ya kusaimu amri.
Kichapo alichochezea wiki mbili hizi za nyuma kutoka hezbollah kilikuwa si cha kiroro.
Hezbo;l;ah wananyofoa kama piranha, samaki wa Amzon. Hao ukiwaona utawadharau, ni wadigo kwa umbo lakini wanashambu;lia kuliko samaki mwengine yeyote. Ukiungua lwenye eneo lao, huchukuwi dakika tatu unabaki mifupa.
Hicho ndicho walichokuwa wanafanywa mazayuni wiki mbili hizi. Walikuwa kila siku wanainyofoa Haifa na tel aviv bila pingamizi.
Hinfera Hezbollah, hongera Palestina.
Hahaha mavi yao hio walingilia East Letani tena walishushwa kwa Helicopter ili wachukue Bollywood film ni waongo wakubwa hao, hakuna hata silaha waluzo vunja ziko wapi siwangeonyesha wameweza kupiga picture za Bollywood wako Letani wasionyeshe silaha waluzo vunja. Kama wamefika Letani kwani wameamua kusimamisha vita, wangeweka buffer zone bora mara elfu kuliko kukimbilia kusimamisha vita 🤣 We unambiwa Mto Letan kwa upande wa mashariki ni kama km 1 5 ufike border ya Israel. Hio area huwezi ingiza hata vifaru haha ndipo walipo enda kutengeneza Bollywood film na badaye time wanarudi border wakachapwa vizuri wengine wako hospital kule Haifa.