Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

FAFO CEASEFIRE tayari. Netanyahu kakubali mpango wa kusitisha Vita Lebanon.

Raia wa Israel wanarudi North na hakuna Gaidi la kuwagusa tena.

FAFO imeeleweka na Hezbola kapiga magoti kavua na Kanzu.
The CEASEFIRE agreement has been APPROVED by Israel and Hezbollah. It should be effective in the coming hours.

Why did both sides agree?

Israel agreed because it failed to achieve its objectives in the Lebanon campaign and push Hezbollah across the Litani River.

Israel actually failed to capture a single major settlement, despite losing over 60 Merkava tanks and a large number of military personnel.

Israel has by no means succeeded in returning the displaced in the North. It practically lost this battle despite the fact that they had the full support of the USA, UK, France and Germany, with all kinds of weapons, money and special units

But what managed to get Hezbollah to accept a ceasefire was Israel's constant bombing and massacre of civilians and destroying civilian buildings across Lebanon.

Pressure on Hezbollah inside Lebanon began to grow. Hezbollah did not have rockets with the destructive power like those of US that Israel used, so from here Hezbollah could not retaliate with the same measure and stop Israel from bombing civilian infrastructure, so Hezbollah failed to protect the civilian population.

In practice, Israel forced Hezbollah to cease fire by bombing civilians, not as they announced that they would defeat Hezbollah and drive them out of southern Lebanon with military force.
 
Alisema Nasrallah kuwa hasimamishi Vita mpaka Gaza... sasa huko sio kupiga Magoti huku amevua Kanzu teyari kwa kupigwa Mswaki?!!😂 just kidding..🤣
Aliye simamisha si yule bwege Rais wa Lebanon lakini angekuwepo Nasurlah asinge simamisha vita.

View: https://www.youtube.com/live/YNJdjRB5MaI?si=bGNFri7qiMcRUHBU

Hezbullah wanajisifia Israel ndio kapiga magoti na Nyau anajisifia Hezbullah kapiga magoti siri nyuma ya pazia Pesa za Saud Arabia na UAE ndio zime simamisha vita.

Kwa upande wangu mimi naona Hezbullah kajidharailisha kukubali kusimamisha vita bila ya vita ya Gaza kusimama,. Huo ndio ukweli.
 
Aliye simamisha si yule bwege Rais wa Lebanon lakini angekuwepo Nasurlah asinge simamisha vita.
Hezbollah kama taasisi wamekubali kuacha ujinga wa kushambulia Israel, nasasa watafuata UN Resolution 1701 ikiwemo na kuweka Silaha chini na baadhi ya Wapiganaji wake kujiunga na Jeshi la Taifa la Lebanon.

Kwahiyo basi Hezbollah kama kikundi cha Wanamgambo kinavunjwa.😆😆
 
Mimi nimeshindwa waelewa Hezbullah nyie mmeingia vita kwa ajili ya Gaza vipi mkubali kusimamisha vita bada ya Israel kuvunja majumba afu mnajisifu mtayajenga, sababu US, Saud Arabia na UAE wamewahongo ili kumpa ushindi Biden na Netanyahu.

Kweli Hezbullah kamtia adabu Israel lakini target ya hi vita ni nini? Kama sio Gaza. Hezbullah watasema Israel pia aliweka target kwenda Lebanon sawa hatukatai, lakini ukingia kwenye vita lazima uwe una target flan na target ya Hezbullah ilikuwa kuwapa support Gaza sa vita vya Gaza vimesimama? Hicho kizee Naim Al Qassem hakifai kuwa sehemu ya Commander wangu Nasurlah RIP.
 
1701+screenshot.jpg

👆😆😂🤣
 
Mimi nimeshindwa waelewa Hezbullah nyie mmeingia vita kwa ajili ya Gaza vipi mkubali kusimamisha vita bada ya Israel kuvunja majumba afu mnajisifu mtayajenga, sababu US, Saud Arabia na UAE wamewahongo ili kumpa ushindi Biden na Netanyahu.
Naona Akili zinaanza kukurejea😆😂tulikuwa tukiwaambia humu kuwa Akili zitawarejea tu agiza Kahawa Shekhe nakuja kulipa.😂😂

Mimi niko na Konyagi yangu hapa inateremka taratiiibuu!!!😝
 
Hezbollah kama taasisi wamekubali kuacha ujinga wa kushambulia Israel na kufuata UN Resolution 1701 ikiwemo na kuweka Silaha chini na baadhi ya Wapiganaji wake kujiunga na Jeshi la Taifa la Lebanon.

Kwahiyo basi Hezbollah kama kikundi cha Wanamgambo kinavunjwa.😆😆
Si kweli Hakuna habari kama hio kufata resolution 1701 ni kwanza Israel asi spy hata anga la Lebanon na atimize kusign border agreements na hicho kitu Israel alikuwa hataki, sa kakubali. Silaha zitapelekwa kwenye jeshi la Lebanon mpa pale Israel akubali masharti ya 1701 na hicho kitu hakitawezekana.
 
Hio nani alitimiza mbona mpa leo Hezbullah ana silaha hio ni 2006 hakuna jipya hapo. Hezbullah wanasema silaha zao hakuna wakuzigusa hio 1701 mbona hutoI Israel afanye nini 😄 🤣
Hezbola wamekubali kutimiza 1701 ndio Vita isimamishwe hawana pa kuchomokea😁

Implementation stage inakuja chini ya uangalizi wa UN🙏🏼

Raia wa Lebanon wamefurahi sana.
 
Hezbola wamekubali kutimiza 1701 ndio Vita isimamishwe hawana pa kuchomokea😁

Implementation stage inakuja chini ya uangalizi wa UN🙏🏼

Raia wa Lebanon wamefurahi sana.
Hio 1701 walikubali 2006 wote yeye na Israel hakuna aliye tekeleza hayo masharti wote wawili.

Hakuna lolote Hezbullah vigumu sana kuvunja silaha zao hizo ni propoganda za Western media

Aljazeera English channel wao kama BBC na CNN.
 
Hezbollah kama taasisi wamekubali kuacha ujinga wa kushambulia Israel, nasasa watafuata UN Resolution 1701 ikiwemo na kuweka Silaha chini na baadhi ya Wapiganaji wake kujiunga na Jeshi la Taifa la Lebanon.

Kwahiyo basi Hezbollah kama kikundi cha Wanamgambo kinavunjwa.😆😆
That is very impossible brother
 
Hio 1701 walikubali 2006 wote yeye na Israel hakuna aliye tekeleza hayo masharti wote wawili.

Hakuna lolote Hezbullah vigumu sana kuvunja silaha zao hizo ni propoganda za Western media

Aljazeera English channel wao kama BBC na CNN.
Sio ngumu ila sema ni kitu ambacho hakiwezekani, jeshi la lebanon tu limetawaliwa na hezb
 
Hezbola kama Kikundi cha Wanamgambo Magaidi kinavunjwa labda kitabakia kuwa Chama cha Siasa.
 
Back
Top Bottom