Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Hezbullah hawajakubali walio kubali ni serekali ya Lebanon na hio ni pressure ya US kwa hao mapuppets zake kule Lebanon wakawa na mpressure Nabi Al Bary kiongozi wa bunge la Lebanon ambaye ni Shia.
Hezbollah akubali asikubali ila Ayatolah anaogopa kumkasrisha Trump kawaambia Hezbola wakubali Amani.
 
Hezbollah akubali asikubali ila Ayatolah anaogopa kumkasrisha Trump kawaambia Hezbola wakubali Amani.
Wenzako Israel wanalia huko kwamba Hezbullah wameshinda vita na kusema huo mkataba ni hasara kwa Israel. Kuna wako kwenye cabinet wanasema Israel isukubali huo mkataba. We kalia Trump kamtisha Iran. Mkataba unasema Israel asisubutu kugusa Lebanon tena 😄 🤣

Hi channel ya kiarabu inasema makubaliano ya kusimamisha vita ni hasara kubwa kwa Israel.


View: https://youtu.be/j6IHINaAE_4?si=838zQXkp9nz2tGr_

Any way mimi nasema hakuna watu wabaya na washenzi kama hao walebanoni walio kubali kumpa point Biden aonekane kasimamisha vita na kumuokoa Netanyahu. Mungu awalani viongozi wote wakiarabu walio sababisha Lebanon ikubali kusimamisha vita. Cha ajabu warabu wanashangaza sana Israel alikuwa anakataa roho mnaenda muokoa Shetanyahu.

Hasara kubwa sana viongozi wa Hezbullah kuwakubalia serekali ya Lebanon ilio Hongwa mabillion na Saud Arabia, UAE na US ili kusimamisha vita.

Naomba usiku wa leo Hezbullah wasisimasha vita, nasikia leo saa 4 za usiku watasimamisha vita 18 GMT watakuwa wamemuza Nasurlah na walio kufa huko Lebanon.
 
Wenzako Israel wanalia huko kwamba Hezbullah wameshinda vita
Wanachi wa Lebanon wanaswali na kufanya maombi ili Vita walivyoingizwa na Hezbola viishe ili na Waisraeli warudi Kaskazini ya Nchi yao.

October 07/8 haijamsaidia chochote Mwarabu zaidi ya maangamizi tu.
 
Kwahiyo Serikali ya Lebanon haihitaji Amani?😆😁 acheni ubishi mnajiaibisha...
Acha kusumbua akili yako na hilo tahahira fake muslim Adiosamigo anavyoongea ukisoma unaona ni kiazi fulani.. tread zake ni ujinga ujinga na uongo wa ki Allah Allah
 
in shaa Allah
Inshaalah tena...?! Labda huwaonei huruma Raia wa Lebanon ambao wanakesha Misikitini na Makanisani wakiomba Vita hivi viishe.

Hezbola imeiingiza Lebanon kwenye Vita ulikuwa ni uamuzi wa kijinga sana.
 
FAFO CEASEFIRE tayari. Netanyahu kakubali mpango wa kusitisha Vita Lebanon.

Raia wa Israel wanarudi North na hakuna Gaidi la kuwagusa tena.

FAFO imeeleweka na Hezbola kapiga magoti kavua na Kanzu.
 
BREAKING: ISRAEL AND HEZBOLLAH CEASEFIRE AGREEMENT ACCORDING TO ISRAELI MEDIA INCLUDES THE FOLLOWING

•⁠ ⁠Hezbollah and all other armed groups in Lebanese territory will not carry out any offensive action against Israel.

•⁠ ⁠Israel, in return, will not carry out any offensive military action against targets in Lebanon, including on land, in the air, and at sea.

•⁠ ⁠Israel and Lebanon recognize the importance of UN Security Council Resolution 1701.

•⁠ ⁠These commitments do not negate the right of Israel or Lebanon to exercise their inherent right to self-defense.

•⁠ ⁠The official Lebanese security and military forces will be the only armed groups authorized to bear arms or deploy forces in southern Lebanon.

•⁠ ⁠Any sale, supply, and production of arms or arms-related materials to Lebanon will be under the supervision and control of the Government of Lebanon.

•⁠ ⁠All unauthorized facilities involved in the production of arms and arms-related materials will be dismantled

•⁠ ⁠All military infrastructure and positions will be dismantled, and all unauthorized weapons that are not in compliance with these commitments will be confiscated

•⁠ ⁠A committee acceptable to Israel and Lebanon will be established to monitor and assist in ensuring the implementation of these commitments

•⁠ ⁠Israel and Lebanon will report any possible violation of the commitments to the Committee and UNIFIL

•⁠ ⁠Lebanon Deploy its official security forces and military forces along all borders, crossing points, and the line defining the southern zone shown in the deployment plan

•⁠ ⁠Israel will gradually bring its forces south of the Blue Line over a period of up to 60 days

•⁠ ⁠The US will promote indirect negotiations between Israel and Lebanon to reach a recognized land border

Source: Channel 13
 
Wanaukumbi.

Yerusalemu
CNN
-
Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba kupita hatua mbaya.
===============
Jerusalem
CNN

A ceasefire deal between Israel and the Lebanese militant group Hezbollah is “very close,” a regional source told CNN on Sunday, even as an uptick in Israeli attacks saw the death toll in Lebanon since mid-September pass a grim milestone
👇🏽
Source: CNN Ceasefire deal between Israel and Hezbollah is ‘very close,’ regional source says, as Lebanon death toll climbs | CNN
HATUTAKI MAKUBALIANO HAPA NI MWENDO WA AGANO LA KALE JINO KWA JINO HADI WAFILIST WAISHE SIFA KWAKO YESU NA NETANYAHU SHUJAA WA DUNIA
 
FAFO CEASEFIRE tayari. Netanyahu kakubali mpango wa kusitisha Vita Lebanon.

Raia wa Israel wanarudi North na hakuna Gaidi la kuwagusa tena.

FAFO imeeleweka na Hezbola kapiga magoti kavua na Kanzu.
Wapi Hezbullah kapiga magoti we mbona muongo sana.
 
Wapi Hezbullah kapiga magoti we mbona muongo sana.
Alisema Nasrallah kuwa hasimamishi Vita mpaka Gaza... sasa huko sio kupiga Magoti huku amevua Kanzu teyari kwa kupigwa Mswaki?!!😂 just kidding..🤣
 
Itakuwa furaha kama vita vitasitishwa! Damu isiyo na hatia imemwagika mno!
 
HATUTAKI MAKUBALIANO HAPA NI MWENDO WA AGANO LA KALE JINO KWA JINO HADI WAFILIST WAISHE SIFA KWAKO YESU NA NETANYAHU SHUJAA WA DUNIA
Makubaliano ya CEASEFIRE YAMETHIBITISHWA na Israel na Hezbollah. Inapaswa kuwa na ufanisi katika saa zijazo.

Kwa nini pande zote mbili zilikubaliana?

Israel ilikubali kwa sababu ilishindwa kufikia malengo yake katika kampeni ya Lebanon na kuisukuma Hezbollah kuvuka Mto Litani.

Israel kwa kweli ilishindwa kuteka makazi moja kuu, licha ya kupoteza zaidi ya vifaru 60 vya Merkava na idadi kubwa ya wanajeshi.

Israel haijafaulu kwa vyovyote vile kuwarudisha waliokimbia makazi yao Kaskazini. Ilipoteza vita hivi licha ya ukweli kwamba walikuwa na msaada kamili wa USA, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, na kila aina ya silaha, pesa na vitengo maalum.

Lakini kilichofaulu kuifanya Hezbollah ikubali usitishaji vita ni mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel kwa mabomu na mauaji ya raia na kuharibu majengo ya raia kote Lebanon.

Shinikizo kwa Hezbollah ndani ya Lebanon ilianza kukua. Hezbollah haikuwa na roketi zenye nguvu za uharibifu kama zile za Marekani ambazo Israel ilitumia, hivyo kuanzia hapa Hezbollah haikuweza kulipiza kisasi kwa kipimo sawa na kuizuia Israel kushambulia kwa mabomu miundombinu ya raia, hivyo Hizbullah ilishindwa kuwalinda raia.

Kivitendo, Israel iliilazimisha Hezbollah kusitisha mapigano kwa kuwalipua raia kwa mabomu, sio kama walivyotangaza kuwa wangeshinda Hezbollah na kuwafukuza kutoka kusini mwa Lebanon kwa nguvu za kijeshi.
 
Back
Top Bottom