Mimi naona ikiwa Hezbullah kakubali sababu ya pressure ya serekali ya Lebanon, kusimamisha vita bila kusimamisha vita vya Gaza. Sioni hapo, ushindi wa Hezbullah. Aliye fanikiwa hapo ni Israel kwa kusaidiwa na US na serekali ya Lebanon.
Hezbullah target yake olokuwa hasimamishi vita, bila vita vya Gaza kusimama. Israel naye hasimamishi vita bila watu wake kurudi North, na kuvunja silaha za Hezbullah, na kuwarudisha Hezbullah nyuma ya mto Letani. Hakuna aliye fanikiwa hapo.
Aliye fanikiwa ni Israel kwa njia ya siasa sio kwa vita, kama kweli Hezbullah atasimamisha vita na kurudi Letani.
Wote Israel na Hezbullah hakuna aliye shinda vita. Hata kama kuna watu watasema Israel kasurrender, hakuna alicho fanikisha kwenye point zake za vita na Hezbullah kwa njia ya vita.
Je Hezbullah kafanikisha point yake, pia hakufanikisha.
Ukweli mimi naona in one way Israel kapata point angalau ya kuwarudisha Hezbullah nyuma ya mto Letani.
Je vita ndio imeisha no, nikuwapa nafasi Israel aondoe pressure huko Lebanon kuelekea tena Gaza, na si ajabu Israel bada ya miezi miwili kurudi tena Lebanon. Je hapo anaye iuza Hezbullah ni nani kama si serekali ya Lebanon.
Ni ujinga mkubwa sana serekali ya Lebanon kuingilia hi vita, na wanajua wazi jeshi la serekali ya Lebanon hawawezi kupigana vita na Israel. Sababu US haiwaruhusi jeshi la Lebanon kuwa na silaha kali.
Any way mimi siwapi support Hezbullah kusimamisha vita na Israel, naona ni ujanja wa US kumpatia ushindi Israel ushindi wa bure kwa njia ya siasa.
Kila kiongozi aliye husika wa Lebanon kwenye hi deal ni mnafiki, kaiuza Hezbullah, si maslaha ya Lebanon hata kidogo kwenye siku za mbele. Toka lini Israel ili heshimu mikataba. Pia wanao deal na hi peace upabde wa Hezbullah ni wajinga sana, wanajua wazi serekali ya Lebanon siku nyingi inataka kuivunja Hezbullah na hi ndio fursa yao.
R.I.P Commander wangu Hassan Nasurlah. Huyu mwamba walio husika kumua ni hao hao serekali ya Lebanon na US wala sio Israel. N i uwongo mkubwa kusema Israel ndio walio muuwa hata nyau alikuwa hana habari, kadokezwa tu kule alipo e da UB kuwa US kisha muuwa Nasurlah. Ndege za US ndio zilizo enda piga wakajidai za Israel