Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Cha msingi mazayuni yaelewe kua Gaza haiko peke yake ukipiga jiandae na mtungo. Na ndio mzani uliowekwa saivi akiingia gaza na wahuni wengine wanamuingilia nyuma huo ndio utaratibu mpya
Sasa mbona Hezbola wanataka Amani wakati huko Gaza Dozi zinaendelea?!

Ni kitu gani kimebadilika?!
 
Wakulaumiwa ni wazazi wako kwa Nini hawakukupa ELIMU.
Wewe punguani kweli mimi nimekuletea habari kutoka kwa mabasha zako CNN.

Yaaani mabwana zako wanapigana na Hamas wanamgabo wapo 24.0000 tu wanasaidiwa na Marekani na Ulaya mwaka na zaidi unajisifia🤣

Mapunguani wapo wengi sana mateka wapo wapi?

Mabasha zako wamebakia kuuwa watoto na kubomoa majengo.
 
Asala kubwa kama sio asala tudanganye kwanini wanataka vita visimame pande ile ya Hezbullah sio Gaza wanawapenda sana. Msimamo wa Hezbullah vita visimame Gaza na kuondoa uchafu wao pale watu warudi kwenye maisha yao
Kwaninii vita visimame Lebanon na sio Gaza, kwani lengo la Hezbollah kuingia vitani lilikuwa ni nini?
 
Netanyahu katema bungo huko baada ya kichapo.
Hizbullah wameshinda hii vita balaa.Unaambiwa wanajeshi laki moja wa Israel.wameshauwawa.
Hizbullah hajapata hasara yeyote .
Netanyahu kaomba ceasefire
 
Hahahaha wewe wazazi wako ndiyo wamekupa elimu daaah hata kuandika hufahamu unachanganya herufu kubwa na ndogo😅

JF kuna vituko hawa ndiyo wasomi wa JF wanaojitapa.
Arguing with you it's a not my goal.
Just let me tell you you have psychosis. Sick medical help
 
ISRAEL:: Gaza ceasefire? NO.. tunataka tuwafute HAMAS

ISRAEL:l: Hizbullah ceasefire? YES, tunataka amani

WHY?: hizbullah wana silaha nzito, hatuwawezi. Gaza hawana sialaha.. Sisi tunaweza kupigana na watu wasio na silaha, wasio na makazi, na wasio na chakula tuliowafungia mipaka kama Gaza.

HAO NDIO WANAUME WENU MACHOKO ASKARI WAWILI WA HIZBULLAHI ANATANDIKA 100 WA ISRAEL HADI WANAPOTEANA
 
Sasa mbona Hezbola wanataka Amani wakati huko Gaza Dozi zinaendelea?!

Ni kitu gani kimebadilika?!
Hezbollah hataki amani mtasubiri sana, wao wamewahonga serikali ya Lebanon ili ifanye cease fire ya mchongo. Ili waendelee na upuuzi wao gaza Iran hawezi kukubali ujinga huo
 
Hezbollah hataki amani mtasubiri sana, wao wamewahonga serikali ya Lebanon ili ifanye cease fire ya mchongo. Ili waendelee na upuuzi wao gaza Iran hawezi kukubali ujinga huo
Kwahiyo na mleta uzi pia kahongwa na Wazayuni?!😆😁😆
 
Anayeomba ceaze fire ni Hizbullah na Natanyahu kagoma anatembeza kichapo.
Habari nyingine mbaya kwako ni kuwa ICC inatafuta shimo la kutokea regarding Arrest warrant ya Netanyahu.Ujerumani keshabadili upepo.
Kichapo Lebanon kiko palepale
Unatumia fikra zako weke ushahidi wa Hezbollah wameomba ukiweka najitoa JF na usipoweka nakuweka kwenye list ya mashoga waongo wa JF.
 
Nyie wachungaji tunqjua mtaendelea na propaganda zenu kama kashinda Isreal lkn ukweli tumeoma nyumba zimepigwa nyingi wanapokaa watu wa Taifa teule watu wenye akili nyingi tunaamini kanyoloshwa na watu ktk izo nyumba ndio mana wanataka iwe pooooo nyau kawa panya buku.
 
Back
Top Bottom