Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Umeandika gazeti bila kujua details za hayo makubaliano bila kujiuliza nani alieomba /kupendekeza ceasefire na kwanini Hezbollah wameyakubali hayo mapendekezo na kwanini Israel inambwilambwila kutaka kukataa hiyo ceasefire?
Israel vipi akatae wakati ni US ndio anapanga naye, we bwege kweli. Hizo point ni za US na Israel wameona hawawezi kumshinda vita Hezbullah.
 
Na wakikubali hezbollah watakuwa vibogoyo kabisa. Mikwara yote waishie kunyoosha mikono juu kizembe wakati wenzao wanaendelea kupewa kichapo?
Ila israhell wao na ile mikwara yao hawatakua wameshindwa huku raia wao wakiwa wakimbizi wa ndani
 
H n habari mbaya kwangu, Mm natamani magaidi wazidi kupelekwa peponi kula bikra 72
 
Israel vipi akatae wakati ni US ndio anapanga naye, we bwege kweli. Hizo point ni za US na Israel wameona hawawezi kumshinda vita Hezbullah.
Wewe ndio kiongozi wa mabwege, kwani Biden hakuwahi kuja na ceasefire plan Hamasi wakaikubali na Israel wakaikataa?

Jana huko kwenye balaza la mawaziri wa Israeli kulikuwa na mtifuano kati ya wanaokubali na wanaokataa iyo ceasefire iliyopendekezwa na marekani
 
Ila israhell wao na ile mikwara yao hawatakua wameshindwa huku raia wao wakiwa wakimbizi wa ndani
Wakimbiz watu wanarud na Gaza kichapo kinaendelea huku hezbollah viongoz karibu wote wameuwawa
 
Wakimbiz watu wanarud na Gaza kichapo kinaendelea huku hezbollah viongoz karibu wote wameuwawa
Wazayuni washaanza kulalama huko kwamba kusitisha vita na hizbollah ni pigo kwao wametoa sababu mbili moja sababu hawataweza rejelea kaskazini mbili sababu 70 asilimia ya miji huko kaskazini imebomolewa hawawaelewi viongozi wao kwanini wanasimamisha vita katika hali kama hiii
 
kuwarudisha Hezbullah nyuma ya mto Letani.
Hezbollah wamekubali kurudi nyuma ya Mto Litani na eneo hilo litalindwa na Wanajeshi wa Serikali ya Lebanon pamoja na UN Blue Helmets

Na Usalama wa Raia Kaskazini mwa Israel Guaranteed.
 
Na wakikubali hezbollah watakuwa vibogoyo kabisa. Mikwara yote waishie kunyoosha mikono juu kizembe wakati wenzao wanaendelea kupewa kichapo?
Hezbollah hawana hamu ya Vita tena😆😁 FAFO waliyokutana nayo sio ndogo🤣🤣
 
Wazayuni washaanza kulalama huko kwamba kusitisha vita na hizbollah ni pigo kwao wametoa sababu mbili moja sababu hawataweza rejelea kaskazini mbili sababu 70 asilimia ya miji huko kaskazini imebomolewa hawawaelewi viongozi wao kwanini wanasimamisha vita katika hali kama hiii
Walinichekesha kuna sehemu kutokea mipaka ya Lebanon ukienda upande wa mashariki kufika mto Letani ni karibu sana, lakini sio kwa uperation ya vita. Israel walienda kupiga picture kuonyesha eti askari zake wako Letani, time wanarudi wakukutana na wazee wa mjii wakawashughulikia ipasavyo 😁

Israel wanacho fanya ni show off ya Bollywood, sa kama kweli wamefika mto Letani ambao ni 10 km kutoka border si wange pakalia kwa nguvu ni more safe kwao kuliko kusign mkataba, hizo zote ni propoganda ili kuwaonyesha watu wao jeshi lso lina nguvu, kumbe siagi 🤣
 
Walinichekesha kuna sehemu kutokea mipaka ya Lebanon ukienda upande wa mashariki kufika mto Letani ni karibu sana l, lakini sio kwa uperation ya vita. Israel walienda kupiga picture kuonyesha eti askari zake wako Letani, time wanarudi wakukutana na wazee wa mjii wakawashughulikia ipasavyo 😁

Israel wanacho fanya ni show off ya Bollywood, sa kama kweli wamefika mto Letani ambao ni 10 km kutoka border si wainge pakalia kwa nguvu ni more safe kwao kuliko kusign mkataba, hizo zote ni propoganda ili kuwaonyesha watu wao jeshi lina nguvu, kumbe siagi 🤣
Wazayuni kwa propaganda hawafai kabisaaaaaaa
 
Wazayuni washaanza kulalama huko kwamba kusitisha vita na hizbollah ni pigo kwao wametoa sababu mbili moja sababu hawataweza rejelea kaskazini mbili sababu 70 asilimia ya miji huko kaskazini imebomolewa hawawaelewi viongozi wao kwanini wanasimamisha vita katika hali kama hiii
Nimekuambia sababu za hezbollah kuanzisha vita zimeisha?
 
Hezbollah wamekubali kurudi nyuma ya Mto Litani na eneo hilo litalindwa na Wanajeshi wa Serikali ya Lebanon pamoja na UN Blue Helmets

Na Usalama wa Raia Kaskazini mwa Israel Guaranteed.
Hezbullah hawajakubali walio kubali ni serekali ya Lebanon na hio ni pressure ya US kwa hao mapuppets zake kule Lebanon wakawa na mpressure Nabi Al Bary kiongozi wa bunge la Lebanon ambaye ni Shia.

Swali Israel alijisifu atamrudisha Hezbullah nyuma ya mto Letani kwa nguvu za jeshi kaweza? Alijidai atawarudisha watu wake kule North kaweza?

US ndio balaa anajidai yeye mtafuta amani kule Lebanon na hio serekali ya Lebanon walivyo mafala wanamkubalia.

US si alijidai hakuna kusimamisha vita Lebanon vipi leo yeye ndio yuko mbio mbio kusimamisha vita, mbona Gaza hakufanya hayo. Kuna kitu gani Lebanon mpaa US akimbilie kusimamisha vita.

Mpa mda hu mimi siamini Hezbullah watasimamisha vita bila masharti anayo taka Hezbullah.
 
Back
Top Bottom