imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwahiyo mnaspin kuwa Hezbola ndio mshindi?!!!๐๐๐๐คฃUkweli ni huo mimi nimeona wachana na propoganda za Western media ukweli hupo
Israel kafanikiwa LENGO lake kuu kuwarejesha Raia wake KASKAZINI bila tishio la Magaidi ya Hezbola ๐ muhimu sana.
Huwa mnasahau haraka sana MALEGO ya IDF.