Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Ukweli ni huo mimi nimeona wachana na propoganda za Western media ukweli hupo
Kwahiyo mnaspin kuwa Hezbola ndio mshindi?!!!๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜๐Ÿคฃ

Israel kafanikiwa LENGO lake kuu kuwarejesha Raia wake KASKAZINI bila tishio la Magaidi ya Hezbola ๐Ÿ‘ˆ muhimu sana.

Huwa mnasahau haraka sana MALEGO ya IDF.
 
kwaiyo ww kwa izo akili zako embu tuambie tukuelewe kashinda kupitia vita au mipesa kwenye meza za UN tutajuaje kama US imekubali kujenga maeneo yote yaliopigwa na Hezbullah ipo sana wakati kiu kuu ya Marekani na Israel si kuivunja Hezbullah je inavunjwa!!
 
Sikiliza wewe resolution 1701 ambayo Israel anacho takiwa kuto gusa Lebanon na kumaliza matatizo ya mipaka na Lebanon, hicho kitu Israel wala hataki kukifata na ndicho kinacho wapa nguvu Hezbullah kukataa kuvunja silaha zao. Sa safari hi Israel kwenye hi ceasefire alitaka kuleta ujinga wake wakusema ana haki ya kupiga Lebanon time anayo taka kama anavyo dai Nyau na Biden, hizo ni kelele za wale backingdog hazipo kwenye agreement ya hio ceasefire kabisa. Hezbullah havunji silaha mpaa pale atahakikisha Israel ka implement resolution 1701 na hicho kitu hakitawezekana, sababu Israel ana matamanio ya Greater Israel ๐Ÿ˜„ ndoto ya mchana hio ikiwa Lebanon hakuweza akaweze kufika Egypt na Saud Arabia.

Lengo la Israel kuwarudisha Hezbullah mpaa Letani na kuvunja silaha zao. Je kaweza, hio ya kuwarudisha watu wake North mbona Nasurlah alisha jibu watu wakirudi na wao watarudi na kumbuka US, Saud Arabia na UAE wametoa pesa ngapi kumukoaa Nyau.

Mimi nakubali sehemu aliyo weza pata point Israel ni pale kumzuia Lebanon asimpe support Hamas kule Gaza, zaidi ya pale hakuna sehemu aliye fanikiwa Lebanon zaidi ya kumua Nasurlah. Hashim Seif Din na wale Macommander. Upande wa Hezbullah kaivuruga sana Israel kavunja viwanda vingi sana vya silaha, Camp za jeshi n.k
 
kwaiyo ww kwa izo akili zako embu tuambie tukuelewe kashinda kupitia vita au mipesa kwenye meza za UN
Resolution Azimio 1701 lilipitishwa Mwaka 2006 na Israel ikaondoa Vikosi vyake Lebanon lakini Hezbola wakashupaza shingo na haswa Hassan Nasrallah alikuwa ni mbishi sana Gaidi yule.

Kwahiyo hizo Story za "Mipesa ya kwenye Meza za UN" ni story tu za kwenye Kahawa.

The United Nations Security Council unanimously adopted Resolution 1701 on August 11, 2006๐Ÿ‘ˆ
 
Sikiliza wewe resolution 1701 ambayo Israel anacho takiwa kuto gusa Lebanon na kumaliza matatizo ya mipaka na Lebanon
Border demarcation itafanyika baina ya State of Israel na State of Lebanon bila ya kuingiliwa na Wanamgambo wenye Silaha mfano Hezbola,Amal nk.

Wanamgambo wanatakiwa waweke Silaha chini waufyate mkia wafanye kazi nyingine.
 
kwaiyo ww kwa izo akili zako embu tuambie tukuelewe kashinda kupitia vita au mipesa kwenye meza za UN tutajuaje kama US imekubali kujenga maeneo yote yaliopigwa na Hezbullah ipo sana wakati kiu kuu ya Marekani na Israel si kuivunja Hezbullah je inavunjwa!!
US, Saud Arabia na UAE wamehonga mipesa huko na kumuambia Hezbullah awachane na issue ya kuwapa support Hamasi. Mabillion yamewekwa kwenye meza si unajua tena wa Lebanon kwa kupenda pesa, wakaongea kikwao ile Shuu bediiy Akthariiy minhekiiy ya ammoo๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚

Pesa waswahili wanasema ni sabuni ya roho, mawaziri wa Lebanon wakijitahidi kumbembeleza Hezbullah awachane na issue ya Gaza.

Kuhusu resolution 1701 hio resolution inampa ushindi Hezbullah hata kama kuna sehemu inasema silaha za Lebanon ziwe chini ya serekali ya Lebanon tu. Hio 1701 mpaa pale Israel akubali kurudisha ardhi ya Lebanon, Israel yeye anasema ardhi ni ya Syria na Lebanon anasema yake. Hio point Hezbullah kutokana na agreement na serekali ya Lebanon silaha zitarudi kwenye serekali mpaa ardhi yote ya Lebanon ikombolewe, ndio masharti ya kuvunja silaha za Hezbullah.

Mimi sioni sehemu hapa kama Israel ka win hi vita naona kama kapigwa warning asiguse Lebanon, kumbukeni kabla ya vita haipiti week mbili au mwezi drone za Israel zinaonekana ku spy Lebanon.

Hezbullah alikuwa anawambia serekali ya Lebanon vipi kuhusu resolution 1701, serekali ilikuwa kimyaa si unajua PM ni lazima awe Puppet wa Saud Arabia ambaye ni Puppet wa USA hawezi kuwa upande wa Hezbullah hata siku moja.
 
Waisraeli wenye msimamo mkali pia wapo.
Unakazana kutetea IDF, IDF imetepeta kwa hizbullah,jeshi lilisema zaidi ya mwezi uliopita kwamba limechoka,stock za silaha zimeisha,so vita na hizbullah ilikua viishe tu,halafu walivyokua na hamu ya kuondoka,yaani ndani ya Sasa 24 washaondoka wote kusini mwa Lebanon
 
Lengo la Magaidi Hezbola kuingia Vitani lilikuwa ni kuwagawanya IDF ili wapunguze Vikosi vyao Gaza na hilo walifanikiwa, na sasa IDF inarudi Gaza ili iendelee kutoa Dozi dhidi ya Magaidi ya Hamas.๐Ÿ˜
 
Usilolijua ni kua Gaza nako inaenda kuwa kimya, IDF wataondoka,wafadhili hawataki kuua watu kwa visingizio vya kijinga,soon sizi faya Gaza inafuata,mambo yanamgeukia netanyahu,mpaka gazeti kongwe zaidi la Israel haaretz limewaita hamas wapigania uhuru,kaamua kuliwekea vikwazo lisipate matangazo ya serikali, ICC kunamngoja,kesi ya ufisasi Israel December hii,nyau kazi anayo
 
Usilolijua ni kua Gaza nako inaenda kuwa kimya, IDF wataondoka
Gaza inaenda kukabidhiwa Fattah ya Mahmood Abass, Magaidi wa Hamas hataruhusiwa kuexist Italia inatuma Carabanieri wao ndio watakuwa Polisi kwenye Strip.

Lakini so far kipigo kinaendelea hadi Mwaka mpya๐Ÿ˜†๐Ÿ˜

Dozi baada ya Dozi Magaidi yanazidi kuangamia๐Ÿ˜ƒ
 
Angalia Aljazeera muda huu raia kusin mwa Lebanon na kaskazin mwa Israel wanarud unabisha nini. Hezbollah kumbe alibakwa mbaya kabisa. Na Israel kasema anga lao analimiliki
Anga la Lebanon hakuna siku limewahi milikiwa na lebanon sasa aloshindwa nani kwenye hii mbungi
 
Gaza inaenda kukabidhiwa Fattah ya Mahmood Abass, Magaidi wa Hamas hataruhusiwa kuexist Italia inatuma Carabanieri wao ndio watakuwa Polisi kwenye Strip.

Lakini so far kipigo kinaendelea hadi Mwaka mpya๐Ÿ˜†๐Ÿ˜

Dozi baada ya Dozi Magaidi yanazidi kuangamia๐Ÿ˜ƒ
Magaidi ya kweli ysnahitajika ICC, IDF itaondoka Gaza, nyau ataenda jela, Hamas itaendelea kuwepo
 
Magaidi ya kweli ysnahitajika ICC, IDF itaondoka Gaza, nyau ataenda jela, Hamas itaendelea kuwepo
Israel itaendelea kuwepo ila Hamas mwisho wao umefika Waisrael walikuwepo kabla hata ya Uisilamu kuvumbuliwa na Muhammad huko Maka.
 
Lengo la Magaidi Hezbola kuingia Vitani lilikuwa ni kuwagawanya IDF ili wapunguze Vikosi vyao Gaza na hilo walifanikiwa, na sasa IDF inarudi Gaza ili iendelee kutoa Dozi dhidi ya Magaidi ya Hamas.๐Ÿ˜

Kwenye kufa hakuna urafiki Hezbollah wameamua kujisalimisha
 
Back
Top Bottom