Sio hivyo tu itakuwaje kamati moja ianzishe jambo na kuagiza mkataba then hawa waupeleke ktk kamati nyingine ?Alafu huyu Adadi Rajabu si ndie alikuwa DCI wa Jeshi la Polisi?
Hatujaliwa. Tumebakwa kwa style ya SIMBA kapakatwa!Adadi Rajabu ndiye mwenyekiti? Hapo tumeliwa
Hujamuelewa, anaconnect dot mkuu lizaboni,Hoja yako ipo wapi sasa? Kwani ni makosa kwa DCI kuwa mbunge?
Hata fanya lolote na ALIFANYA KUWAAMBIA WALIPE FINETuwe na subira. Hapana chezea serikali ya Magufuli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Andrew Nyerere hebu njoo utusaidie hapa jee ni kweli mlikuwa "WASHAMBA" au ni malezi bora na kutokea kwenye familia ya uadilifu?
Washamba! Au baba yao alikuwa na akili Timamu? hiyo ndo tofauti ya watoto hao wengine baba yao alikuwa na kili timamu.wale watoto wa nyerere walikuwa " WASHAMBA "
Hivi ushamba wao ni upi? walizaliwa shamba, au wamekulia shamba au wanaishi shamba au lipi? Mbona mimi nilisoma na mtoto wake wa kwanza pale H.H.Agah Khan secondary school Dsm kwani pale ni shamba?wale watoto wa nyerere walikuwa " WASHAMBA "
mkuu hebu soma vizuri ile washamba yangu iko kwenye mabano , unajua hata kwenye maofisi ya umma , kama huibi au hupigi michongo ya kupata hela unaitwa fala .Hivi ushamba wao ni upi? walizaliwa shamba, au wamekulia shamba au wanaishi shamba au lipi? Mbona mimi nilisoma na mtoto wake wa kwanza pale H.H.Agah Khan secondary school Dsm kwani pale ni shamba?
Utasubiri sana Mkuu walishasema "ccm ni ile ile ooh ni ile ile"Wakifunguliwa mashtaka hao wahusika ninaweza labda nikahamia ccm