Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

Mo amehojiwa anasema kuna mdhamini wa 2B kwa mwaka walikua kwenye mazungumzo ila j5 Aveva akamwambia kuhusu sportspesa akawaambia wataongea hii weekend to his suprise kesho yake wakasaini mkataba
 
Na mbao lazima awatandike
 
Yaani Tarimba kuamua kuisaidia simba lkn anaonekana ndio kumwaga petrol kwenye moto wa nyika?
Tarimba ameajiriwa tu hana decision wabongo msitake ku mislead hii Kampuni imeingia mikataba hadi na team ya premier league ya England na Kenya: Akina Aveva hawakujipanga
 
Tayari mbao washafanya yao na mkiingia uwanjani tu mnalishwa vitasa
 
Tayari mbao washafanya yao na mkiingia uwanjani tu mnalishwa vitasa
 
Nenda uidhamini wewe basi
 
Tarimba ameajiriwa na SportPesa ,hawa jamaa wameingia kuwekeza soka la bongo so huwezi kuja wekeza soka la bongo ukawaacha Simba na Yanga
Mbona Yanga hawakushobokea fasta kama simba?wakati Tarimba angeweza kuinjinia yanga wakaingia kwenye huo uidhamini fasta
 
Ni nini kilichomo kwenye mkataba? Tuanzie hapo
 
Mkuu kulikuwa na mkataba wa awali kati ya simba na MO ili auziwe 51% ya share za simba. so baada ya makubaliano hayo mo akamwaga mpunga mrefu kusaidia usajiri na mishahara ya wachezaji. Ilikubaliwa kuwa kama kutakuwa na makubaliano mengine kwenye kipindi hiki cha mpito ni lazima mo ajulishwe ili awe sehemu ya makubalino hayo. sasa rais na makamu wake wakasign mkataba mrefu (5 years) na sportpesa kinyemela bila kuhusisha kamati tendaji wala Mo. Mi nimeelewa hivyo
 
Mpira wa bongo bana, wanatamani sport pesa aondoke.. Kwani MO ishu si ipo kama kawaida.. Anataka ashirikishwe nini.. MO bado hajanunua hisa.. Mkataba bado
 
Wewe sasa ndio unaetaka kupotosha hapa.. Rage alifuta mikataba kwa uwezo upi..? Nani alilipwa pale fidia..?
Uongozi wa Rage ulipitia upya mikataba na kuirekebisha baada ya majadiliano
 
Hapana chochote hapo cha kutoshirikishwa sijui kwenye mkataba wa Sportpesa
nawajua vizuri sana viongozi wa klabu zetu za Tanzania na timu yangu ya simba hapo wanakimbia aibu ya kutochukua ubingwa kwa miaka mingi.
kama alikuwa na nia ya kuachia madaraka angesubiri ligi iishe ndo aondoke, hapo timu inavyokosa ubingwa sababu zitatolewa kuwa timu ilikuwa na migogoro mikubwa.
Tanzania kila sehemu akina Lipumba wapo, Naanza kumuelewa kwanini Maalim seif hataki kuongea na bwana yule...!!
 
Tarimba ameajiriwa tu hana decision wabongo msitake ku mislead hii Kampuni imeingia mikataba hadi na team ya premier league ya England na Kenya: Akina Aveva hawakujipanga
Kwa taarifa yako yanga ndio walikuwa wa kwanza kukubaliana na sportpesa lkn wenzenu yanga wakatumia akili na kusubiri kumaliza ligi ndiyo wasaini sasa simba kwa ulimbukeni mkaona nyie ndio wajanja wa kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…