Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Fn3KwAMWIAcXDtB.jpg

Fn3KwASXkAA5xad.jpg
 
Nimeona hayo maelezo nikabaki kujiuliza maswali. Yanga ikivaa visit Tanzania je sport pesa watafaidika na kipi hapo?
Heshimuni mikataba utopolo...mmekaa washari Shari Sana nyie.we una mkataba una saini mkataba ndani ya mkataba kisa mnaona mnamuweza tarimba..ile ni international company tarimba ni mwakilishi tu
 
Heshimuni mikataba utopolo...mmekaa washari Shari Sana nyie.we una mkataba una saini mkataba ndani ya mkataba kisa mnaona mnamuweza tarimba..ile ni international company tarimba ni mwakilishi tu
Mkataba kweni unasemaje?
 
Kwani mkataba wao unasemaje sababu wote hatujui hapa tupo njia panda inamana mkataba ulikuwa unatakataza timu isiingie mkataba mwingine au
Wewe ndio hujui. Sportpesa ndio mmiliki halali wa eneo la kifuani la jezi ya yanga. Yeye sportspesa ndio anaamua lile eneo litumike vp, hata akiamua libaki wazi ni maamuzi yake yeye. Sasa yanga kulitumia eneo lililonunuliwa na sportpesa bila ridhaa yake ni kosa na inaweza kupelekea mgogoro wa kisheria kama huo. Hapo yanga wamefeli na wale wakenya wa sportspesa lazima watadai fidia.
 
Nimeona hayo maelezo nikabaki kujiuliza maswali. Yanga ikivaa visit Tanzania je sport pesa watafaidika na kipi hapo?

Kuna Mambo Ni Ya Kijinga Sana Mkuu.. Mashindano Yale Yanadhaminiwa Na 1x Bet, Wewe Jezi Zenye Logo Yako Hazitakiwi….Sasa Hapo Ubaya Uko Wapi?, Yani Sisi Tusiingize Pesa Kisa Nyie Na Kutulazimisha Kuvaa Visit Tanzania…Wanataka Kutupangia Yaani, Wasepe Tu GSM Atalipa Hiyo Fidia [emoji23]
 
Back
Top Bottom