OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hata mimi nimesikitishwa. Ila makampuni yawe yanatathmini credibility ya uongozi wa club kabla ya kuingia mikataba. Yanga haina uongozi ina wahuni na machawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sportpesa kwenye michuano ya kimataifa kwanzia hatua ya makundi hakuna anachokiambulia kwa Yanga. Ila pia kama Yanga walivyoingia mkataba na sportpesa hawakuweza ku focus mbeleni endapo watacheza makundi michuano ya kimataifa, laiti kama wangeliwaza hilo basi wangesainiana mkataba ambao upo clear kuwaruhusu kufanya walichofanya. Ila kwasasa inaonekana kama tamaa na kutoheshimu mikataba. Yanga bado kuna tatuzo kubwa sana la mambo ya kimkataba, mikataba mingi sio ya kulinda maslahi ya mbeleni.Ukinunu kiwanja na mtu mungine aje kukitumia bila ridhaa yako utakubali?
Kama ndio hivo, basi angeweka vigodoro vyake hapoGsm anapesa ya kuokota. Fidia sio ishu kubwa kwake. Atalipa.
Hili swala lilitaka kufanyika Simba ila walikuwa bright sana wakaweza kuchanga vizuri karata zaoHata mimi nimesikitishwa. Ila makampuni yawe yanatathmini credibility ya uongozi wa club kabla ya kuingia mikataba. Yanga haina uongozi ina wahuni na machawa
Hizi ndio akili zenu utopolo..hii timu kushabikia lazma Kuna fuse ziwe zimekatika kwanza..unadhan Simba walipenda kuvaa visit Tanzania mwaka jana
Feisal alikuwa sahihi sana hii club inaendeshwa kihuni.1. Kuna kutumika kwa watu fulani kulazimisha neno fulani likae kwenye jezi za Yanga.
2. Ubinafsi wa sportpesa ( kama walipelekewa ombi la kuwepo kwa mdhamini mpya kwa michuano ya CAF, kwann walikataa hali ya kuwa biashara zao hazifanani, hivyo isinge muathiri)
3. Kujihami kwa sportpesa na kuleta taarifa kwa umma haraka mno, (anaogopa nini na anamuogopa nani)
4. Ulazima wa Yanga kuweka mdhamini mpya lengo ni kuitangaza timu zaidi, je hili sportpesa halitaki.? ( Hataki Yanga ijitangaze zaidi, ili ije kuwa faida kwake pia baadae.?
5. Soka ni biashara, biashara ni matangazo, "visit Tanzania" sio Tangazo la kibiashara kwa Yanga
6. Ikifika mahali mnaleta taarifa kwa umma, basi leteni na mikataba ili tuweze kuwatetea vizuri, (tujue ni nani yupo sahihi na nani ana kosa)
Kuna weza kukawa na mapungufu ya mkataba pia iliyopelekea Yanga kufanya walichofanya.Hili swala lilitaka kufanyika Simba ila walikuwa bright sana wakaweza kuchanga vizuri karata zake
Umepanic tayari.......soma tena bandiko la Sportpesa ujue nini kimeandikwa, Simba ana husika vipi hapo. Viongozi wenu walitakiwa wawe makini na mkataba.Simba Na Mashabiki Wake Mnajionaga Mko Smart Wakati Ni MBUMBUMBU Na Mafala Wakubwa… Yani Sisi Tusiingize Pesa Kisa Kuvaa Visit Tanzania…Kama Mlivaa Na Mtaendelea Kuvaa Ni Nyie Na Haituhusu, Nyie Mabwege Nn!!
yaani mnakiuka mkataba wa 4B kwa mwaka kwa kusaini mkataba wa 1.5B, halafu unasema mnataka pesa? Ni akili au matope?Watu Tunataka Pesa, Tuvae Visit Tanzania Kwani Sisi Ni Makolo?[emoji28]
Mkuu sio Simba, ni SportPesa ya Abas Tarimba mtopolo mwenzenuSimba Na Mashabiki Wake Mnajionaga Mko Smart Wakati Ni MBUMBUMBU Na Mafala Wakubwa… Yani Sisi Tusiingize Pesa Kisa Kuvaa Visit Tanzania…Kama Mlivaa Na Mtaendelea Kuvaa Ni Nyie Na Haituhusu, Nyie Mabwege Nn!!
Hilo unalolisema limeelezewa vizuri na SportPesa kwenye hilo bandiko laoKuna weza kukawa na mapungufu ya mkataba pia iliyopelekea Yanga kufanya walichofanya.
inajulikana kabisa kuwa kwanzia hatua ya makundi hakuna kampuni yeyote ya kamari inayotakiwa ionekane kwenye jezi za timu isipokuwa 1xbet pekee ndio ni mmoja wa wadhamini wa CAF. Hivyo ilijulikana kabisa kuwa Sports pesa haitowekwa kwenye jezi za Yanga, je mkataba wao waliosainishana uliwekwa wazi juu ukomo wa udhamini ni kwenye mashindano yapi na yapi na kwa hatua zipi.