leadermoe
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 1,392
- 4,588
Makataba wao uko General sana. Unasema sportpesa ndie mzamini wa jezi sawa, ila haukusema anamiliki katika mashindano gani. Kuna Caf, Nbc na Azam. Kwa sababu wote (Sportpesa na Yanga ) hawakuainisha hilo, na tayari CAF ilishamkataa Sportpesa kwa kuwa wanae mzanimi mwenye biashara sawa na sport pesa, ndio maana Yanga katafuta mdhamini tofauti kwa Jezi za Caf tu.Mdhamini mkuu wa young African ni sportpesa kwa miaka 5 na ndie mwenye haki yakukaa front kifuani kwenye jezi kwa miaka yote hiyo..Kama Kuna lolote yeye ndie atamua Nini kifanyike,,
Sasa sportpesa anakuambia uweke visit Tanzania kifuani wewe unasaini mkataba mwingine .
Kiamsingi ni kwamba wote hapo wanamakosa. Maana ilitakiwa wapate udhamini mara tatu kama wangekuwa makini Yanga. (kwa hayo mashindano matatu). Yanga wangeweza Kusema NBC tutatumia jezi hizi, Azam tutakuwa na tofauti na CaF zitakuwa tofaut hapo sport pesa wangeamua kununua haki kwa hizo jezi zote au ligi tu. Ila kwakuwa Wali generalize wakubaliane tu