Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Kuna Mambo Ni Ya Kijinga Sana Mkuu.. Mashindano Yale Yanadhaminiwa Na 1x Bet, Wewe Jezi Zenye Logo Yako Hazitakiwi….Sasa Hapo Ubaya Uko Wapi?, Yani Sisi Tusiingize Pesa Kisa Nyie Na Kutulazimisha Kuvaa Visit Tanzania…Wanataka Kutupangia Yaani, Wasepe Tu GSM Atalipa Hiyo Fidia [emoji23]
Hizi ndio akili zenu utopolo..hii timu kushabikia lazma Kuna fuse ziwe zimekatika kwanza..unadhan Simba walipenda kuvaa visit Tanzania mwaka jana
 
Nimeona hayo maelezo nikabaki kujiuliza maswali. Yanga ikivaa visit Tanzania je sport pesa watafaidika na kipi hapo?
KWa maslahi mapana yataifa

Na ndio maana wao walienda kuwa omba sportpesa lakini kumbe walikuwa na lao bado

Ni wame kiuka makubaliano, kama fei Toto alivyo ambiwa mkataba hauvunjwi kirahisi hivyo
 
Mdhamini mkuu wa young African ni sportpesa kwa miaka 5 na ndie mwenye haki yakukaa front kifuani kwenye jezi kwa miaka yote hiyo..Kama Kuna lolote yeye ndie atamua Nini kifanyike,,
Sasa sportpesa anakuambia uweke visit Tanzania kifuani wewe unasaini mkataba mwingine .
Ndo Mkataba unavosema? Au wewe tu umeleta fikra zako?
 
(kama ni kweli) Hii itatia doa klabu yetu kwani itaonekana haiheshimu mikataba
 
Kweli wenye akili ni 2
Sasa mpk mwanasheria wao anashindwa kung'amua vitu kama hivi kweli?
 
pole sana Abbasi tarimba ndio ujue kufanya kazi kishikaji matokeo yake ndio haya.


4C96E64C-1AE4-425C-A0DF-D5F5B2451FC5.png


77AB1C2F-8BC5-4716-97D0-451390EFD8D7.jpeg


1D58A98B-7FB0-43DA-9D07-0CB9E0B4DA9E.jpeg
 
Back
Top Bottom