BuDDaH MBiSHi
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 468
- 495
Exactly.....Hii ndiyo mfanano bora nimeuona mpaka sasa. Watu hawajui haya makampuni makubwa yanadili na makampuni mengi siyo wewe tu. SportPesa inawezekana huko kwingine anafanya kazi na washindani wa Haier kwa hiyo lazima awe na nafasi ya kutafakari na kuridhia. Wanaangalia mambo juu juu tu.