Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Viongozi wa sasa wa Yanga SC wanapenda Kukurupuka na wanachokiwaza muda wote ni Kushindana na Simba SC ( hasa katika Masuala ya Nje ya Uwanja ) wakati Kiuhalisia huwa Wanaharibu na inawagharimu Kiuchumi na hata Kiufanisi. Sifa zitawaponza kama Klabu.
Ban yako inaisha lini msomi wa SAUT
 
Mbona taarifa ya Sportpesa imeandika kabisa kua iliwataka watumie visit Tanzania?

Kwahiyo katika mfano wako hebu rekebisha Ili ulete maana nzuri.
SP wako sawa kama wapangaji kulingana na mfano wangu... Yaan kama mpangaji anae lipa kodi ya kwa muda bila usumbufu kulingana na mkataba ana haki kamili ya kumuambia mmiliki wa fremu ibaki wazi au amuweke mwingine baada ya mpangaji kujiridhisha katika interest zao kibiashara kwa huo muda biashara yake itakapokua imesimama, na sio mwenye frem kumpangia nani aingie kwamaana mpangaji ndio anayo mamlaka na frem hiyo kwa wakati huo. Sasa hapo kwenye kuleta mpangaji mpya pia mwenye frem anaweza kuleta maombi ya mpangaji huyo wa muda ila nimpaka mpangaji wa muda mrefu aridhie.
 
Hapo ndo imekaa sawa
 
Mkuu umeusoma mkataba wa Yanga na Sportpesa?
Mkataba upo wazi mwenye haki ya kuwa mbele ya jezi ni sportpesa na ndio anayeweza kuamua nani awe mbadala wake endapo kuna conflict of interest... Huwezi kumtoa mdhamini mkuu pasipo yeye kulidhia hapa nikukiuka mkataba. Yanga imekuwa kikundi cha kihuni kiasi hiki tunaharibu taasisi na kupoteza Imani za kibiashara kwa watu.
 
Nimeona hayo maelezo nikabaki kujiuliza maswali. Yanga ikivaa visit Tanzania je sport pesa watafaidika na kipi hapo?
Sio watafaidika kipi, suala hapa wao wamekodi hilo eneo la jezi kifuani mpaka mwaka 2025.
 
Mkataba upo wazi mwenye haki ya kuwa mbele ya jezi ni sportpesa na ndio anayeweza kuamua nani awe mbadala wake endapo kuna conflict of interest... Huwezi kumtoa mdhamini mkuu pasipo yeye kulidhia hapa nikukiuka mkataba. Yanga imekuwa kikundi cha kihuni kiasi hiki tunaharibu taasisi na kupoteza Imani za kibiashara kwa watu.
Upo vzr kwenye hili haupo ki ushabiki japo ww ni Yanga...
Wamekosea kwa sbb mdhamini mkuu hajakubaliana nao..
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Simba Na Mashabiki Wake Mnajionaga Mko Smart Wakati Ni MBUMBUMBU Na Mafala Wakubwa… Yani Sisi Tusiingize Pesa Kisa Kuvaa Visit Tanzania…Kama Mlivaa Na Mtaendelea Kuvaa Ni Nyie Na Haituhusu, Nyie Mabwege Nn!!
Hivi moangaji akikulipa kodi yako ya miezi sita, kisha miezi 3 ya mwanzo asitokee, hiyo itakupa uhalali wa kupangisha hko chumba!?
 
SP wako sawa kama wapangaji kulingana na mfano wangu... Yaan kama mpangaji anae lipa kodi ya kwa muda bila usumbufu kulingana na mkataba ana haki kamili ya kumuambia mmiliki wa fremu ibaki wazi au amuweke mwingine baada ya mpangaji kujiridhisha katika interest zao kibiashara kwa huo muda biashara yake itakapokua imesimama, na sio mwenye frem kumpangia nani aingie kwamaana mpangaji ndio anayo mamlaka na frem hiyo kwa wakati huo. Sasa hapo kwenye kuleta mpangaji mpya pia mwenye frem anaweza kuleta maombi ya mpangaji huyo wa muda ila nimpaka mpangaji wa muda mrefu aridhie.
Akili yako imeishia kwenye nyumba za kupanga ni ngumu kuelewa haya mambo, kama SP anataka iwekwe visit Tanzania alipie hakuna kitu cha bure,
 
Usije kwangu na mihemko. Nimeeleza hoja yangu kisheria ilivyo na ilivyopaswa kuwa. Swala la kujitoa akili utakuwa nalo wewe. Simama na hoja acha matusi
Naomba nami nigusie hapa. Hapa hakuna hoja. Fact kwamba Yanga waliwafata SportPesa kuhusu hilo, ni wazi walijua haki ya SportPesa ilikuwepo hapo. Kwamba mkataba hausemi kuhusu michuano gani itahusika, ilikua ni juu ya Yanga kuweka hivyo vipengele kabla ya kusaini mkataba.
 
SP wako sawa kama wapangaji kulingana na mfano wangu... Yaan kama mpangaji anae lipa kodi ya kwa muda bila usumbufu kulingana na mkataba ana haki kamili ya kumuambia mmiliki wa fremu ibaki wazi au amuweke mwingine baada ya mpangaji kujiridhisha katika interest zao kibiashara kwa huo muda biashara yake itakapokua imesimama, na sio mwenye frem kumpangia nani aingie kwamaana mpangaji ndio anayo mamlaka na frem hiyo kwa wakati huo. Sasa hapo kwenye kuleta mpangaji mpya pia mwenye frem anaweza kuleta maombi ya mpangaji huyo wa muda ila nimpaka mpangaji wa muda mrefu aridhie.
Chukulia mfano mtu umemkodisha gari matumizi yake ni kuanzia jumatatu mpka ijumaa , jumamosi ukaenda kulipiga mishe zako ni makosa?
 
Mkataba upo wazi mwenye haki ya kuwa mbele ya jezi ni sportpesa na ndio anayeweza kuamua nani awe mbadala wake endapo kuna conflict of interest... Huwezi kumtoa mdhamini mkuu pasipo yeye kulidhia hapa nikukiuka mkataba. Yanga imekuwa kikundi cha kihuni kiasi hiki tunaharibu taasisi na kupoteza Imani za kibiashara kwa watu.
Naomba tuletee huo mkataba tusome wote
 
Naomba tuletee huo mkataba tusome wote
Acha kuwa mbishi kwenye Mambo yaliyowazi mkuu!!.... Kutetea ujinga kama huu nikuonesha watanzania tulivyo wajinga na tusiojua Mambo kabisa. Yanga imefanya mabadiliko ya kiutendaji hivyo inapaswa kuendeshwa kisasa na kisomi sio kihuni na kishamba kiasi hiki... Kuna uhitaji wa pesa lakini sio kwakukiuka mikataba na wadhamini hili ni Jambo la hovyoo...!!.
 
Kimsingi spots pesa ana haki na jezi zinazotumika NBC tu. Ndio maana nimesema mkataba uko general sana, hautaji Azam wala Caf ila umetaja jezi za yanga za msimu ndio maana akapata misimu 5 means ni kwa NBC
Hapa ni kama unajaribu kujificha kwenye kivuli cha mpapai.
 
Kimsingi spots pesa ana haki na jezi zinazotumika NBC tu. Ndio maana nimesema mkataba uko general sana, hautaji Azam wala Caf ila umetaja jezi za yanga za msimu ndio maana akapata misimu 5 means ni kwa NBC
Kisingizio cha kijinga hiki. Why Yanga alienda kuwaomba SportPesa juu ya hili!? Kwa nini asingefanya tu!?
 
Naomba nami nigusie hapa. Hapa hakuna hoja. Fact kwamba Yanga waliwafata SportPesa kuhusu hilo, ni wazi walijua haki ya SportPesa ilikuwepo hapo. Kwamba mkataba hausemi kuhusu michuano gani itahusika, ilikua ni juu ya Yanga kuweka hivyo vipengele kabla ya kusaini mkataba.
Bora wewe umenielewa
 
Back
Top Bottom