Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Kisingizio cha kijinga hiki. Why Yanga alienda kuwaomba SportPesa juu ya hili!? Kwa nini asingefanya tu!?
Hata kichaa ukimwambia wewe ni kichaa anakataa maana anakuona wewe ndio kichaa sio yeye.
 
Sijajua unauelewa gani kwenye masuala ya masoko ila kwa uchache, uuzwaji wa jezi mpya zenye udhamini wa kampuni mpya unaweza kuathiri uvaaji wa jezi zenye nembo ya sportpesa mtaani. Wanunuzi na wavaaji wa jezi ni wale wale. Hilo ni moja tu.
Mwamba nimekuelewa sana. Bonge moja la Pointi.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Naomba niambie sportpesa kaahidi kutoa bonus ya sh ngapi endapo Yanga watafanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa? Maana kwenye NBC na Azam Federation cup limewekwa wazi kiasi cha bonus watakachopata Yanga kutoka kwa sportpesa. Kama hakuna sehemu yoyote ambayo sportpesa katamka kuhusu michuano ya kimataifa. maanake hao sportpesa walijua ukomo wao wa udhamini
Kwenye hatua za awali, nani alikuwa kifuani !?
 
SP wako sawa kama wapangaji kulingana na mfano wangu... Yaan kama mpangaji anae lipa kodi ya kwa muda bila usumbufu kulingana na mkataba ana haki kamili ya kumuambia mmiliki wa fremu ibaki wazi au amuweke mwingine baada ya mpangaji kujiridhisha katika interest zao kibiashara kwa huo muda biashara yake itakapokua imesimama, na sio mwenye frem kumpangia nani aingie kwamaana mpangaji ndio anayo mamlaka na frem hiyo kwa wakati huo. Sasa hapo kwenye kuleta mpangaji mpya pia mwenye frem anaweza kuleta maombi ya mpangaji huyo wa muda ila nimpaka mpangaji wa muda mrefu aridhie.
Hii ndiyo mfanano bora nimeuona mpaka sasa. Watu hawajui haya makampuni makubwa yanadili na makampuni mengi siyo wewe tu. SportPesa inawezekana huko kwingine anafanya kazi na washindani wa Haier kwa hiyo lazima awe na nafasi ya kutafakari na kuridhia. Wanaangalia mambo juu juu tu.
 
Kisingizio cha kijinga hiki. Why Yanga alienda kuwaomba SportPesa juu ya hili!? Kwa nini asingefanya tu!?
Na pia waulize kwa nini kama hawataki kufanya kazi za bure kama wanavyoikataa Visit Tanzania waliweka nembo ya SportPesa bila kulipwa katika mashindano wanayodai SportPesa hahusiki.

Wakikujibu nitag nimekaa paleeee.
 
Huna uelewa wowote na hilo ulisemalo.

Nionyeshe wapi nimesema sport pesa hana mamlaka na Yanga?. Tumia akili kusoma na kuelewa kwanza bandiko la mtu kuliko kukurupuka kujibu usichokielewa.

MSAADA WAKO
Hatua za awali kila club inajitegemea kwa kila kitu ndio maana wanaenda na jezi zao za ligi.

Kuanzia makundi CAF inatoa pesa kwa clubs. Ili kufanya hivyo inatafuta mdhamini. Kama mdhamini wa club anafanya biashara sawa na wa caf ndipo sheria za caf zinaitaka club hiyo kutovaa jez za mdhamini huyo.

PUNGUZA NONGWA, NI SHIDA ZAKO TU
Kwa kuwa CAF wanatoa pesa, hiyo haikuwa sababu ya Yanga kutohangaika na udhamini mwingine!?
 
Wauza Pears kina Mgosi huwakuti wakishiriki kutoa maoni hapa.
Kazi yao kungoja kwa jirani kuna nini.
 
Kwa kuwa CAF wanatoa pesa, hiyo haikuwa sababu ya Yanga kutohangaika na udhamini mwingine!?
Nilitaka nimjibu hivyo nikampotezea maana kichwa chake ni kigumu sana.

Mods waongeze emoji za fimbo, kuna watu wanastahili bakora ndiyo wataelewa mambo.
 
We jamaa una akili mgando ndo maana Tz ni maskini wenye akili kama zako ni milion 60!
Yaani hata Yanga ichukue world cup bado utasema ni bahasha!
Hata tuwapige Makolo fc mara mia utasema ni hujma! Hivi hukuona Al Hilal walijiangusha dkk 80 Sasa utawafungaje na mpira Hawataki uchezwe? Hivi hukuona waarabu tuliwapiga kwao?
Hivi huoni possessing football ya Yanga Huwa unakuwa wapi?

Hii Yanga ingine boss unbeaten team! Amka!
Unbeaten hata Azam Fc timu ya juzi tu anayo.
 
Hata kichaa ukimwambia wewe ni kichaa anakataa maana anakuona wewe ndio kichaa sio yeye.
Cha ajabu Fei Toto anaonekana kichaa kutoheshimu mkataba huku anayemuona Feisal kichaa, naye haheshimu mkataba aliosaini kwa hiari yake mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hii ndiyo mfanano bora nimeuona mpaka sasa. Watu hawajui haya makampuni makubwa yanadili na makampuni mengi siyo wewe tu. SportPesa inawezekana huko kwingine anafanya kazi na washindani wa Haier kwa hiyo lazima awe na nafasi ya kutafakari na kuridhia. Wanaangalia mambo juu juu tu.
Inawezekana sera za ujamaa zimechangia sana kuchukuliana poa kwenye biashara.
 
Mi nimeuliza swali na wewe unauliza swali sasa nani atujibu?
Achana nae mkuu. Badala atoe hoja yake yeye maswali tu kama tuko shule. Tetea hoja kwa hoja sio maswali, akiulizwa hajibu anaibuka na swali
 
Back
Top Bottom