Upo sahihiMi kweli tishio la backlash ya mashabiki wa Yanga inaweza kuwafanya SportPesa kunywea hata kama kisheria wana madai yenye mashiko. Ila hizo ni mbinu za kihuni na siyo zinazotakiwa kufanywa na professional organisation.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihiMi kweli tishio la backlash ya mashabiki wa Yanga inaweza kuwafanya SportPesa kunywea hata kama kisheria wana madai yenye mashiko. Ila hizo ni mbinu za kihuni na siyo zinazotakiwa kufanywa na professional organisation.
Kipindi hiki wanatoa bonus kwa simba, je simba walivaa jezi za sportpesa?Kama sportpesa wangekuwa wanajitambua kuwa uwepo wao upo hadi kwenye michuano ya kimataifa kwa Yanga basi kungewwkwa vipengele vya bonus hadi kwenye michuano ya kimataifa.. lakini wamewekeana vipengele vya bonus endapo Yanga itafanya vizuri kwenye NBC na Azam Federation cup pekee.
Ni kwamba wapenzi wa yanga ni wale wale, anayenunua jezi mpya hawezi kuvaa ya zamani. Unajua demage yake kwa sportpesa inakuwaje mtaani?Uuzwaji wa jezi atayeathirika ni GSM, na hii ni kama ana akiba ya jezi za zamani store, vinginevyo Sportpesa ataathirika endapo kama jezi ya zamani itapotea kabisa mtaani na kusababisha nembo yake isionekane popote.
Yaani unakaa unajiuliza hawa jamaa kichwani kuna kitu, yaani sportpesa aweke mkataba ambao hauwaruhusu kwenye mashindano ya CAF kwa sababu ya muingiliano wa kimasrahi na kampuni nyenzie. Najiuliza kwa mfano ikitokea mwakani 1X bet wakiondoka wakadhamini cocacola yanga watawazuia sportpesa kukaa kwenye kit yao?Wewe itakuwa umebadili username. Kuna jamaa anaongeaga kama wewe ni mbishi kama shida zangu.
Kuna mnaosema Sportpesa hana mamlaka na Yanga kwenye mashindano ya CAF, mnakumbushwa mbona Yanga alikuwa wanavaa nembo yao kwenye hatua za awali, unarudi kuongelea sheria za hatua za makundi kama vile hakuna anayejua kuhusu sheria za CAF. Swali ni kama Sportpesa hausiki mashindano ya kimataifa kwenye mkataba na Yanga, mbona walivaa nembo yao hapo kabla?
Acha ubishi dogo.
Inaathiri kama mwaka jana na juzi, lakini ile visit tanzania ni mapendekezo ya sportpesa kama walivyopendekezewa yanga na kukaidi, visit tanzania haina masrahi kibiashara, sportpesa anaweza toa eneo lake kama zawadi kwa nchi sio kwa kampuni ya kibiashara. Suala la msingi ni kuwa ilo eneo ni la sportpesa hivyo wanahaki ya kulalamika kama hawajaridhikaHata ingekuwa visit Tanzania si bado nayo ingeathiri maana Kuna watu hawaamini mambo ya betting walikuwa wametengwa
Nadhani hili suala linazungumzika ila ukweli ni kuwa kuendesha Simba na Yanga ambazo wanachama wake wanachangia kidogo sana unahitaji akili kupata vyanzo vya mapato.
Binafsi naona bado sana
Ila yenyewe inamtaka Feitoto aheshimu mkataba. Hovyo kabisa haya mavi- ongozi yetu(kama ni kweli) Hii itatia doa klabu yetu kwani itaonekana haiheshimu mikataba
Sijazungumzia kutovaliwa kwa jezi bali nimezungumzia sportpesa kuishia kutaja tu bonus kwa Yanga katika mashindano mawili tu ambayo ni Azam federation na NBC premier league pekee kwenye mkataba wa wao na Yanga. Kwanini hawakuweka na bonus watakayotoa kwa Yanga endapo watafanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa?Kipindi hiki wanatoa bonus kwa simba, je simba walivaa jezi za sportpesa? View attachment 2502942
Mwanasheria yupi? Huyu ambaye aligalagazwa na morisson huko CAS?Kweli wenye akili ni 2
Sasa mpk mwanasheria wao anashindwa kung'amua vitu kama hivi kweli?
Wamekiuka mkataba sehemu ipi? Ulete basi tuuone walipokiukaTusitete upuuzi wa viongozi Kama huu, tunamlalamikia fei kuheshimu mkataba vipi sisi timashindwa kuheshimu mkataba wa sportpesa?. Tusiww wapuuzi kiwango hiki haifai na ni ujinga kuona viongozi wanakiuka mikataba na kuwatetea.
Umedandia madaMwenzio kaandika kampuni gani na wewe unaandika kampuni gani? Unavoambiwa pikipiki boxer ni Mo unazani anazalisha yeye? Dealer wa boxer tz nzima ni Mo
😅😅😅 Walijua sportpesa ni ya tarimbaHeshimuni mikataba utopolo...mmekaa washari Shari Sana nyie.we una mkataba una saini mkataba ndani ya mkataba kisa mnaona mnamuweza tarimba..ile ni international company tarimba ni mwakilishi tu
[emoji23][emoji23][emoji23] unajua umewaza ukweli.[emoji28][emoji28][emoji28] Walijua sportpesa ni ya tarimba
We jamaa una akili mgando ndo maana Tz ni maskini wenye akili kama zako ni milion 60!Sasa utavaaje visit Tanzania wakati utaishia kuburuza mkia?
We jamaa una akili mgando ndo maana Tz ni maskini wenye akili kama zako ni milion 60!
Yaani hata Yanga ichukue world cup bado utasema ni bahasha!
Hata tuwapige Makolo fc mara mia utasema ni hujma! Hivi hukuona Al Hilal walijiangusha dkk 80 Sasa utawafungaje na mpira Hawataki uchezwe? Hivi hukuona waarabu tuliwapiga kwao?
Hivi huoni possessing football ya Yanga Huwa unakuwa wapi?
Hii Yanga ingine boss unbeaten team! Amka!
Mkuu umenena vyema. Binafsi nahisi Kitengo cha Sheria katika Klabu ya Yanga kina walakini.Wewe ndio hujui. Sportpesa ndio mmiliki halali wa eneo la kifuani la jezi ya yanga. Yeye sportspesa ndio anaamua lile eneo litumike vp, hata akiamua libaki wazi ni maamuzi yake yeye. Sasa yanga kulitumia eneo lililonunuliwa na sportpesa bila ridhaa yake ni kosa na inaweza kupelekea mgogoro wa kisheria kama huo. Hapo yanga wamefeli na wale wakenya wa sportspesa lazima watadai fidia.
Mbona taarifa ya Sportpesa imeandika kabisa kua iliwataka watumie visit Tanzania?Yani kisheria Club ilipaswa kumshirikisha main sponsor kwanza na sio kama ilivyofanya Club, kwamaana kwamba jezi mpya yaweza valiwa zaidi kuliko yenye main sponsor mwisho wa siku ikawa biashara kichaa kwa main sponsor. Hili jambo sio jepesi kama wengi mdhaniavyo, SP kaweka pesa nyingi halafu anashindwa kuheshimiwa. Yaan kwa mfano mdogo tu, upange chumba/fremu kwa miaka 5 kwaajili ya biashara ya pombe na ulipe kodi yote kwa muda huo wa miaka 5 na kukubali kama kutatokea ongezeko lolote utalipa, lakini baada ya mwaka mmoja mtaa huo wakapiga marufuku uuzaji wa pombe kwa muda wa mwaka mzima, ukaamua kuicha fremu yako wazi mpaka watakapo ruhusu ufanyikaji wa biashara yako, sasa katika hiko kipindi cha mwaka mzima biashara yako inakuaimesimama ukute mwenye fremu amempangisha mtu mwingine kwa muda huo wa mwaka mmoja bila kukushirikisha eti kwakua wewe haufanyi biashara kwa muda huo na ni zuio la kisiri kali eti siyo yeye mwenye fremu.
Kuna jambo pale klabuni pale halipo sawa hasa kitengo cha sheria.
VISIT TANZANIA NI TANGAZO LA BIASHARA AISEE. NI TANGAZO LA KUVUTIA WATALII NA WAWEKEZAJI.Sportpesa hajalazmisha yawekwe maneno mengine ...lile eneo ni Mali ya sportpesa linatakiwa libaki plain..ikibidi wameshauri labda vitangazwe vivutio vya nchi sio kuweka biashara ya mtu mwingine ..
WIZARA WATAFUTE TIMU ZAO.. wanalipa mishahara au wanasajili???Hakuprint kimya kimya. Kulikuwa na majadiliano muda mrefu tuu. Sportpesa alishatoa mwongozo kifua ni chake na yanga anapaswa kuweka mzamini kwa muongozo wa sportspesa. Sportspesa alimtaka yanga kupromote utall kama serengeti, kilimanjaro au tz kwa ujumla. Yanga amekaidi, amejifanyia anavoona yeye inafaa. Kumbuka, hili ni ombi la wizara ya utalii kwa timu za tz kuutangaza utalii. Kiufupi yanga imemvimbia mama samia[emoji28]