Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Rejea mkataba uko general/ wazi hakuna sehem umeyataja mashindano yapi anakaa kifuani. "Wote wana haki na wote hawana haki"
Okay, mi sijauona mkataba, ila basi itakuwa ajabu hawa SportPesa kufikia hatua ya kulalamika wakati hakuna kipengere kinachowazuia Yanga
 
Hivi CEO wa Yanga

SportPesa ndiye anatakiwa aridhie nani akae kwenye jezi ya Yanga ikitokea mwenye ligi akawa na mdhamini wanayegongana maslahi na SportPesa. Sasa Yanga hawakumshirikisha SportPesa wakaenda kuprint kimya kimya, hapo ndipo alipoamua kutoka na tamko
Hakuprint kimya kimya. Kulikuwa na majadiliano muda mrefu tuu. Sportpesa alishatoa mwongozo kifua ni chake na yanga anapaswa kuweka mzamini kwa muongozo wa sportspesa. Sportspesa alimtaka yanga kupromote utall kama serengeti, kilimanjaro au tz kwa ujumla. Yanga amekaidi, amejifanyia anavoona yeye inafaa. Kumbuka, hili ni ombi la wizara ya utalii kwa timu za tz kuutangaza utalii. Kiufupi yanga imemvimbia mama samia[emoji28]
 
Kimsingi spots pesa ana haki na jezi zinazotumika NBC tu. Ndio maana nimesema mkataba uko general sana, hautaji Azam wala Caf ila umetaja jezi za yanga za msimu ndio maana akapata misimu 5 means ni kwa NBC
Hayo ni matamanio yako wewe. Nafasi ya kifuani ilishauzwa kwa sportpesa mpk 2025.
 
Sasa si mnasema yanga ni timu ya serikali au unajisahaulisha
Mkuu umenikot mm ila unaongelea wengi.
1. Hebu nionyeshe nilipowahi kutoa kauli kama hiyo.
2. Sio kila anaechangia hoja hapa ni Yanga au Simba. Wengine ni mashabiki wa mpira tu sio timu
3. Shabiki anaejua mpira ni yule anaesimamia Ukweli hata kama timu yake imekosea bila kupepesa.

Njoo na hoja, acha ushabiki
 
Okay, mi sijauona mkataba, ila basi itakuwa ajabu hawa SportPesa kufikia hatua ya kulalamika wakati hakuna kipengere kinachowazuia Yanga
Kulalamika kwao ni vile walitafsri kiwa kwa kuwa wamezamini jez za yanga, basi wana haki zote.lakini platform zipi zinahusika mkataba uko kimya
 
Sportpesa kwenye michuano ya kimataifa kwanzia hatua ya makundi hakuna anachokiambulia kwa Yanga. Ila pia kama Yanga walivyoingia mkataba na sportpesa hawakuweza ku focus mbeleni endapo watacheza makundi michuano ya kimataifa, laiti kama wangeliwaza hilo basi wangesainiana mkataba ambao upo clear kuwaruhusu kufanya walichofanya. Ila kwasasa inaonekana kama tamaa na kutoheshimu mikataba. Yanga bado kuna tatuzo kubwa sana la mambo ya kimkataba, mikataba mingi sio ya kulinda maslahi ya mbeleni.
We jamaa ni mwehu, Mkataba mpya si wameingia mwaka jana?? Yanga si alikuwa ana Tiketi ya klabu bingwa Afrika??
 
yaani mnakiuka mkataba wa 4B kwa mwaka kwa kusaini mkataba wa 1.5B, halafu unasema mnataka pesa? Ni akili au matope?

Wewe Ndio Huna Akili, MBUMBUMBU Kabisaa Kolo Waheed Wewe, Yani Mtu Anakudhamini Kwa Mechi Sita Tu Za Uhakika Endapo Timu Haitafanikiwa Kuendelea Hatua Inayofata Unaingiza 1.5B…Sasa Huyu Mtu Ukimpa Mkataba Mrefu Itakuwaje ?, Si Kuna Mpunga Wa Maana Hapo..
 
Hakuna sehemu mkataba wao umetaja mashindano yote. Means wao (Yanga na Sportpesa) wanaweza kutafsiri yaonavyo wao. IIa caf na ligi ni platform tofauti mkuu.
Rejea kwa lugha ya kiingereza. Sportspesa is official main sponsor of young afrcn kits. Unaelewaje ?
 
Makataba wao uko General sana. Unasema sportpesa ndie mzamini wa jezi sawa, ila haukusema anamiliki katika mashindano gani. Kuna Caf, Nbc na Azam. Kwa sababu wote (Sportpesa na Yanga ) hawakuainisha hilo, na tayari CAF ilishamkataa Sportpesa kwa kuwa wanae mzanimi mwenye biashara sawa na sport pesa, ndio maana Yanga katafuta mdhamini tofauti kwa Jezi za Caf tu.

Kiamsingi ni kwamba wote hapo wanamakosa. Maana ilitakiwa wapate udhamini mara tatu kama wangekuwa makini Yanga. (kwa hayo mashindano matatu). Yanga wangeweza Kusema NBC tutatumia jezi hizi, Azam tutakuwa na tofauti na CaF zitakuwa tofaut hapo sport pesa wangeamua kununua haki kwa hizo jezi zote au ligi tu. Ila kwakuwa Wali generalize wakubaliane tu
Vip mkuu mkataba wao uliusoma?

Kama ni hvyo bc sportpesa anamakosa aisee [emoji1787]
 
Kumbe jamaa analeta jeuri kupitia Kinyago chake yaani Engine A Hese anajua ni maslahi yake, Utopolo wanachekelea tu hawajui nini anafanya. Wasubiri Supoti Feza achomoe mwiko awanyonye mtaro wa choo watakula mihogo mpaka wachanganyikiwe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Injinia hersi bado ni mkurugenzi wa uwekezaji wa gsm kampuni ambayo inamweka mjini. Yupo yanga kwa maslahi ya gsm zaidi kama ikivokuwa babra kwa mo. Mitopolo haiwlewi hilo.
 
Wewe ndio hujui. Sportpesa ndio mmiliki halali wa eneo la kifuani la jezi ya yanga. Yeye sportspesa ndio anaamua lile eneo litumike vp, hata akiamua libaki wazi ni maamuzi yake yeye. Sasa yanga kulitumia eneo lililonunuliwa na sportpesa bila ridhaa yake ni kosa na inaweza kupelekea mgogoro wa kisheria kama huo. Hapo yanga wamefeli na wale wakenya wa sportspesa lazima watadai fidia.
Mmepata pa kukatia viuono sasa
 
Back
Top Bottom