Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Exactly.....
 
Achana nae mkuu. Badala atoe hoja yake yeye maswali tu kama tuko shule. Tetea hoja kwa hoja sio maswali, akiulizwa hajibu anaibuka na swali
Kaa kimya huna unachojua zaidi ya ngonjera. Wewe ni mmoja kati ya wale vichaa wanaotaka Feisal aheshimu mkataba huku wao hawaheshimu.
 
Dah! Ila viongozi wa Yanga wamezidi kuparamia mambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…