Mke agoma kurudi hadi atumiwe Laki na nusu

Doji MD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,577
Reaction score
5,587
Ndoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open
MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele,

Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi wakasuruhisha lakini mwanamke kagoma Rudi kwa jamaa mpaka ATUMIWE LAKI nanusu..

WAtoto kaachiwa jamaa, wawazazi wake wako upande wamwanamke, na hapa ndio kaja niomba ushauri amtumie au asitume....asiee changamoto sana
(Kazini hawezi kwenda mtoto mmoja anakamamwaka kama nanusu hivi).
 
Mbona ndoa zingine na nyepesi sana laki na nusu tu, nakutumia kabisa laki tano af ananipa ruhsa kamiri ya kuchepuka.....
 
Halafu nayeye hiyo laki na nusu anaita BODANODA WAKE,wanajifungia ghetto,full kuchakatwa,mkirudi nyumbani kila huyo kasharidhika.Ndoa ya hivi inakua BAMBAM.Huyu anachakata nje,huyu anachakatwa nje,nyumbani ni kulea tu mtoto.UNA akili nyingi sana.
 
Back
Top Bottom