Hii haina tofauti na kuiba pesa mfuko wa shati na kuweka mfuko wa suruali.., sasa akichaji pesa nyingi zaidi alafu ikapunguzwa kwenye matumizi faida au hasara ya nani ?
Issue ni kwamba (kama ni kweli hii ni kahawa na sio chai); jamaa amatoka lightly kwahio aombe msamaha amsingizie shetani na aseme harudii tena (au katika wizi wake awe more careful) na kutoa chochote mke anataka. Pia katika mwezi mzima baada ya hili tukio awe anarudi mapema na ikibidi wikiendi anakaa home...; au kama mke amekasirika sana hata ajifanye ameokoka na kuanza kusoma Bible au Msahafu kila jioni