Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
We jamaaa...Mbona ndoa zingine na nyepesi sana laki na nusu tu, nakutumia kabisa laki tano af ananipa ruhsa kamiri ya kuchepuka.....
We jamaaa...Mbona ndoa zingine na nyepesi sana laki na nusu tu, nakutumia kabisa laki tano af ananipa ruhsa kamiri ya kuchepuka.....
Laki na nusu ndo hela kubwa Kwa mkewe,Yaani akitumiwa hiyo kiroho chake kwatuuu anakua kamkomesha mumewe!!!Laki na nusu ya kufanyiwa Nini?
Kujipoza machungu au?
Faini?
Ndo Hela kubwa kwake?
Sasa kumbe Laki na nusu ya Nini?Naona Unapaka mafuta kwa mgongo wachupa
Atafute mtu amlipe Ili amtunze huyo mtoto.Kaachiw mtoto mdogo, kazini hawezi hawezi anahatarisha kazi yake
Nikajua tanzia bwashe ,atume tu , tamu yake irudi nyumbani .Msaidie kijana😁
Atume tuuu kwani hizo anazotumia na michepuko isiyo na shukurani ina maana ganiii ,tena hiyo ni kidogo sanaaa anatakiwa apime faida za mke wakeee .Ndoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open
MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele,
Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi wakasuruhisha lakini mwanamke kagoma Rudi kwa jamaa mpaka ATUMIWE LAKI nanusu..
WAtoto kaachiwa jamaa, wawazazi wake wako upande wamwanamke, na hapa ndio kaja niomba ushauri amtumie au asitume....asiee changamoto sana
(Kazini hawezi kwenda mtoto mmoja anakamamwaka kama nanusu hivi).