Kabisa mwanamke ukishaachana nae hata siku moja tu , zile stress, kidume kingine kikiibuka kuichakata ni kugusa tu , akirudi ampime UTI, ngoma , mimba na kaswende, akae kimasta.Sawa bwashee ngoja atume tu maana kabanwa
MnoHaha ushauri nzuri, tena wapime wote
Changamoto sana😁Mwambie aache upuuzi na ujinga..., Ni busara na gharama ndogo kupoteza battle ili uweze kushinda Vita...
Yaani yeye ndio mpuuzi na kashikwa kwenye upuuzi bado anataka kujifanya hana makosa.. Na sababu waswahili wa pemba mnajuana kwa vilemba siku na wewe yakikukuta yamalize kwa kuyaoga baada ya kuyavulia nguo....
Sa laki na nusu akipewa ndo itamsaidia Nini?Kwa maelez jamaa anaoneka nimtu wamatukio😂 MKE kamind
kuinunua mbwasha tenaLaki na nusu ya kufanyiwa Nini?
Kujipoza machungu au?
Faini?
Ndo Hela kubwa kwake?
Ndo maana nikasema Kwa mke na mume Ni hela kubwa kwao,maana kuna njemba ukiiambia hivyo tu utasikia Kata simu,baada ya dakika 2,nimekuhamishia hapo haya Rudi nyumbani! Linaendelea kuchepuka Kwa speed ya 5g🤓🤓🤓🤓🤓KWamaelez nikama adhabu kwa jamaa
Sema ni wewe bwana..huyo mume ni weweMillion siatavunja nandoa yenyewe😂😂
Mbwasha ni Nini?kuinunua mbwasha tena
atume na ya kutoleaNdoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open
MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele,
Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi wakasuruhisha lakini mwanamke kagoma Rudi kwa jamaa mpaka ATUMIWE LAKI nanusu..
WAtoto kaachiwa jamaa, wawazazi wake wako upande wamwanamke, na hapa ndio kaja niomba ushauri amtumie au asitume....asiee changamoto sana
(Kazini hawezi kwenda mtoto mmoja anakamamwaka kama nanusu hivi).
Hii haina tofauti na kuiba pesa mfuko wa shati na kuweka mfuko wa suruali.., sasa akichaji pesa nyingi zaidi alafu ikapunguzwa kwenye matumizi faida au hasara ya nani ?Sa laki na nusu akipewa ndo itamsaidia Nini?
Kama ni fine si basi anagemchaji million Moja?
Kwamba Kila akikutwa na tukio mil Moja angalau itamtia adabu huyo bwana
Ila ndoa Zina vituko🤣